Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

Nimekusoma kaka Pascal Mayalla kuna kitu nimekielewa afu kuna sehemu kama sijakielewa.

all in all tumtakie mapambano mema ndugu yetu wa Kolomije
 
Kwa mafanikio haya ya Taifa Stars chini ya Makonda, hii ni dalili nzuri ya organization and mobilization powers, kuna wats watasema, kuwamobilize watu na kuwaunganisha kwa lengo moja la kuishangilia Stars ni jambo dogo, hili sii jambo dogo, mambo makubwa yote huwa yanaanza na mambo madogo, hivyo mnaonaje baada ya Magufuli, kama aje tuu kijana?, Atatuunganisha Watanzania.
P
 
👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👍🏽

 
Kwa mafanikio haya ya Taifa Stars chini ya Makonda, hii ni dalili nzuri ya organization and mobilization, hivyo mnaonaje baada ya Magufuli, kama aje tuu kijana?.
P
Hahahaha yaani uongozi wa nchi uwe judged na influence ya matokeo ya mechi ya mpira, yenye complexities upande mmoja? Naona tumechoka hata kufikiri tumeshinda tanzania, lakini mganda hakushindwa na wala hakutakiwa kushinda. Ila kwa mtazamao wako basi kamati ituletee ushindi wa kombe la afrika
 
Nimekudharau sana Mkuu

Sent from my TECNO CX Air using Tapatalk
 
Kwa akili yako unadhani makonda ndie aliejaza uwanja?
 
Mpira always una unganisha watu bila influence yoyote kutoka nje.
Hili tukio lisitumiwe kuwa credit za kisiasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tena ushindi wenyewe uganda wameamua kutuachia tu kirafiki maana hawakua na maana ya kukaza wakati wao wameshafuzu
 
Unanisikitisha sana Pascal, naomba niishie hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Paschal, tunakupongeza kwa unabii. Sasa ishia hapo mwachie Mungu jukumu la kutuchagulia kiongozi wa Taifa letu ajaye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…