Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!



Nafikiri Makonda anafikiriwa sasa wale wanaofikiri tunahitaji Rais mkali na mjeshi. Lakini miaka mingi hivyo hutaweza kujua nchi itakuwa wapi na itahitaji Raisi wa namna gani maana matatizo yatakuwa tofauti. Inawezekana tukahitaji Rais anaeleta umoja zaidi au ambaye anaweza kuleta kazi za teknologia, au mbunifu, au diaspora atakayeleta wawekezaji. Magu alikuwa wa sasa kwa mazingira ya sasa rushwa, uzembe na umwinyi mwinyi wa viongozi ulizidi. Angalia Ethiophia amekuwa kiongozi kusaidia ukabila mkubwa nchini kwao
 
You said it well
 
Unauunga mkono wabakaji wa demokrasia, haki za binadamu na utawala bora, wavunjaji wa katiba, sheria na kanuni mbalimbali za nchi.
 
Nchi yetu sio MASKINI, bali Wananchi na "Wenye Nchi" wana "FIKRA ZA KIMASKINI" zinazotufanya tushindwe kuutumia na kufaidika na UTAJIRI wetu.
 
Halooo ni wewe kweli au bashite amedukua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…