Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,103
- 6,700
Baada ya kuumiza kichwa siku nzima lumumba wamekuja kwa style hii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Mabeberu hizi ndio zao, wakimuona mtu nyota inangaa, ni mzalendo wa kweli, then wanamuundia zengwe, na hapa mlengwa sio makonda ni Mzee Baba!.Wazungu huwa hawakurupuki, investigation haijaanza leo ndugu, ukiona hadi wamefikia uamuzi basi ujue wana uhakika na wanachokisema. Siyo dalili nzuri hizi acha kutetea ujinga ni bora ukae kimya.
Ni kweli hawa mabeberu, wanamuogopa sana, sasa wamemtungia zengwe...
Mabeberu ni watu wabaya sana!.
P
Magufuli ameletwa na MUNGU wala wasijisumbue kwanza hataki kuzurura kwao watampata wapi angekuwa anadhurura kuwaabudu hapo sawa kinachowaleta huku ni miradi yao wala si vingineMabeberu hizi ndio zao, wakimuona mtu nyota inangaa, ni mzalendo wa kweli, then wanamuundia zengwe, na hapa mlengwa sio makonda ni Mzee Baba!.
P
Hizi kauli hizi jamani...tusije kumkufuru MUNGUMagufuli ameletwa na MUNGU wala wasijisumbue kwanza hataki kuzurura kwao watampata wapi angekuwa anadhurura kuwaabudu hapo sawa kinachowaleta huku ni miradi yao wala si vingine
Ifike mahali tuache kusifia pasipofaa na tusifie panapofaa. Hivi mzalendo wa kweli anatakiwa kukaa kimya bunge na viongozi wa ccm wakitamka matamko ya kudhuru na kuuwa watu?? Mzalendo wa kweli hataki kukosolewa anapokosea? Mzalendo wa kweli anajiona yeye ni masihi? Hebu acha banah.Mabeberu hizi ndio zao, wakimuona mtu nyota inangaa, ni mzalendo wa kweli, then wanamuundia zengwe, na hapa mlengwa sio makonda ni Mzee Baba!.
P
HUYU MWINYI TENA WATARUDI ATAWAUZIA KILA KITU MABEBERU! ANATAKIWA AJE MTU MWINGINE KABISA KAMA KABUDI ,BITEKO AU LUKUVI.Enzi za kina Makamba kwishneNOOOOOOOOOOOOO! Huyu hapana, labda Majaliwa k. Majaliwa
Tena mmoja wa wanae yumo mwenyewe atathibitisha mtagPascal Mayalla Kama anao watoto wenye akili timamu wakisoma uzi huu watajuta kuwa na baba wa aina ya baba yao .
Funzo : Maandishi hayaozi tujitahidi kuandika huku tukiangalia familia zetu zitaathirika vipi na maandishi yetu .
Mungu hadhihakiwi.Magufuli ameletwa na MUNGU wala wasijisumbue kwanza hataki kuzurura kwao watampata wapi angekuwa anadhurura kuwaabudu hapo sawa kinachowaleta huku ni miradi yao wala si vingine
Pascal Mayalla Kama anao watoto wenye akili timamu wakisoma uzi huu watajuta kuwa na baba wa aina ya baba yao .
Funzo : Maandishi hayaozi tujitahidi kuandika huku tukiangalia familia zetu zitaathirika vipi na maandishi yetu .
Nina 8 kidsTena mmoja wa wanae yumo mwenyewe atathibitisha mtag
Pole mzee, I know how you feel! Kuondoa hali hiyo unatakiwa sometimes asiyekuelewa na akikuletea dharau unampa za uso kidogo!Nina 8 kids
2 ni graduates, one of them ni Jf member
3 wako Universities one is jf members.
I thank God some of my kids hao wawili waliojiunga jf, uwezo wa akili zao ni kama za baba yao, they can read in between the lines, its very unfortunately humu jf tuna ma empty shells mengi kuliko tunavyo jidhania!. Watu wana macho lakini hawaoni!, wana masikio lakini hawasikii, wanasoma maandishi lakini hawaelewi wanachosoma. I thank God humu jf kuna wanachache wanaonielewa na hao hao wachache wananitosha.
P
Kumbe wanaosema baada ya Magufuli, Makonda atatufaa, siko peke yangu,
Msikilize kiongozi huyu wa dini, msikilize mpaka mwisho
Viongozi wakuu wa dini, wanaletwa na MWENYEWE YEYE, hivyo baada ya kuisikia kauli kama hiyo ya kiongozi wako wa dini, wewe kama ni muumini safi na wa kweli, ni kuikubali, hiyo ni sauti ya Mungu ikineno kupitia vinywa vya Manabii, wewe ni nani upinge?.
Kiukweli baada ya dua kama hizi kutoka kwa Masheikh na maulamaa wa ukweli wa Allah, ukijumlisha na kule kuwekewa mikono na maaskofu wa Mungu, wakiongozwa na Muadhama mwenyewe wa lile kanisa kuu, takatifu, Katoliki la Mitume, huyo Pompeo, mabeberu wa Marekani na vibaraka wao, wakiwemo puppets wao waliotamalaki kwenye mitandao ya kijamii, watasubiri sana!.
P
Ameshapoteza sifa kwa kupigwa ban,labda rais wa koromije.Hapo atujui kama fatou bensuda ajatuma waraka hitajika wa kuwanyima watu haki ya kuishiNimemsikiliza Makonda alipokuwa akizungumzia fedha za TASAF, kusema ukweli huyu jamaa ni akili kubwa!, yaani ana akili kuliko hata...
pale alikuwa anatania tuu, kasema alikwenda kwa Mkapa kuomba nauli ya Dodoma akapewa, akatania ni fedha za TASAF.
Hivi fedha za TASAF zinagaiwa na rais?.
Ila of all the people ambao hawakutambua that was joke, walionisikitisha sana ni media!, hivi ni kweli kwenye newsrooms zetu tumejaza Wahariri vilaza wa kiwango hicho cha kuipa prominent kiasi hicho hiyo joke ya Makonda?.
Au kwa vile rais mwenyewe hakujua kuwa ni joke, this, is excusable, lakini kwa Wahariri?!. No please!, siamini hapa ndipo tulipofika!.
Baada ya Magufuli, huyu dogo, atatufaa sana.
P
P