Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
- Thread starter
-
- #881
Ni kweli hawa mabeberu, wanamuogopa sana, sasa wamemtungia zengwe...Bado anafaa sana uongozi wa Tanzania maana mabeberu yameonyesha kumuogopa
Deep politics baba.Imeandikwa wapi?
Ni kweli hawa mabeberu, wanamuogopa sana, sasa wamemtungia zengwe...
Mabeberu ni watu wabaya sana!.
P
kwa hiyo ww ndo makonda ?Raisi wa 2025 ni mimi
ni jicho lako ila usimdanganye wakampapasa kijana wa wenyewe,Huyu jamaa Nyota yake imesambaa Dunia nzima
Ameandikwa na vyombo vya habari Dunia nzima
Ni mtanzania wa Kwanza kijana kutambuliwa na Ikulu ya Marekani
Ina maanisha Marekani inamfahamu Makonda, Trump anamfahamu, Miche Pompeo anamfahamu Makonda
Huyu jamaa ni next level hashikiki kabisa
Denzel Washington aliwahi kusema FAIL BIG TO RISE BIG
Makonda akiongea haijalishi ameongea nn Marekani na Dunia imeshajua hongera sana
Kati ya watanzania millioni 60 wewe umeng'aa you are the chosen
tunasubiri watoeSoon watatoa kwenye mtao wa weakleaks idadi ya ngombe aliyewachinja
Kwenye siasa kila kitu kinawezekana!Huyu jamaa Nyota yake imesambaa Dunia nzima
Ameandikwa na vyombo vya habari Dunia nzima
Ni mtanzania wa Kwanza kijana kutambuliwa na Ikulu ya Marekani
Ina maanisha Marekani inamfahamu Makonda, Trump anamfahamu, Miche Pompeo anamfahamu Makonda
Huyu jamaa ni next level hashikiki kabisa
Denzel Washington aliwahi kusema FAIL BIG TO RISE BIG
Makonda akiongea haijalishi ameongea nn Marekani na Dunia imeshajua hongera sana
Kati ya watanzania millioni 60 wewe umeng'aa you are the chosen
Makonda next levelKwenye siasa kila kitu kinawezekana!
Lugha ya malkia hiyo"Senate na Congress The chosen.!!!"
Wa Tanzania tuna tatizo kubwa la ukosefu wa Elimu!!