Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

Makonda ajiulize sana kwa nini kila mtu anampinga?
Kwa uongozi wa nchi Makonda bado sana [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Makonda ajiulize sana kwa nini kila mtu anampinga?
Kwa uongozi wa nchi Makonda bado sana [emoji23][emoji23][emoji23]

Apart from Makonda nani mwingine Mtanzania amepigwa marufuku kukanyaga ardhi ya U.S.A. kwa kukiuka haki za binadamu?
 
Yaani unawaza km mimi Makonda ntakuja kumpigia kampeni
 
Makonda ajiulize sana kwa nini kila mtu anampinga?
Kwa uongozi wa nchi Makonda bado sana [emoji23][emoji23][emoji23]
acha uongo hapingwi na kila mtu, wabongo hamnaga shukrani hata mpewe nini sasa tunamtaka huyohuyo
 
Huu uzi ni batili, FUTAAAAAAAAAAAAAAAA
 
Watu wakiwa wanakuheshimu kama mwandishi nguli na mchambuzi lakini kila wakati wakikuta unaandika upuuzi , masihara, na dhihaka wanakupuuza unakuwa kama wapuuzi wengine
Yaaani hata kama ni njaa ya Pascal imezidi!nilikua namuheshimu sana but nowadays amekua biased,kutetea vitu vya kijinga visivyo na mashiko!Kama ni mzuri kuna haja gani ya wewe kutuambia si tutamuona kwa matendo!Kaa tulia Pascal,umeshazeeka sasa,zeeka vizuri kwa heshima!
 
Labda awe wasukuma
hata wazaramo, hkn kitu mwanadamu atasema hiki kinanifaa na kweli ikawa hivo kisiwe na ksoro hkn duniani kote! cha zaidi ni kuweka mkorofi hasa amabae atawalazimisha wasugue meno ya nguruwe!
 
hata wazaramo, hkn kitu mwanadamu atasema hiki kinanifaa na kweli ikawa hivo kisiwe na ksoro hkn duniani kote! cha zaidi ni kuweka mkorofi hasa amabae atawalazimisha wasugue meno ya nguruwe!
Bora ya wazaramo ushaurika kuliko wajuaji wasiojua kitu
 
Bora ya wazaramo ushaurika kuliko wajuaji wasiojua kitu
Kigoma Malima? unajua yaliyo tokea kibiti/Lindi kisarawe au unasema tu!! wewe utampenda huyo mzaramo wengine je? huo siyo usimamizi, cha maana nikuweka lilioshindikana km Tata nyarusare liwandeshe mpaka mkome!

hizo brabara za kwenda uzaramoni mtazipiga brush mpka zing'ae
 

Why KILA kitu huko,kwani kisarawe nao hawataki kuwa international airport,uwanja Mkubwa wa kimataifa wa mpira?,mbuga za wanyama?
 
Why KILA kitu huko,kwani kisarawe nao hawataki kuwa international airport,uwanja Mkubwa wa kimataifa wa mpira?,mbuga za wanyama?
hawataki wazaramo waende wapi bana? mbuga wanazo miaka mingi hujawahi fika huko nini? msitu umeanzia pugu mnadani! uwanja wa kimataifa aingie nani bana richa ya kuutaka aingie? popo?

KIsarawe na JNIA hkn umbali wewe jiografia hujui nini? au naonge na mtoto?
 
Aiseee! This is hilarious! I can't take this, hivi huyu ndio yule Paschal wa kipindi kile?
 
Jknia ni dar na kisarawe ni pwani
 

Makabila makubwa hayafai kupewa uongozi tumeona madhara yake,yanauwa utaifa
 
Jknia ni dar na kisarawe ni pwani
Mkuu ulisoma zamani sana somo la jiografia au hukufaulu kabisa, au mwalimu alikuwa kilaza au yote mawili. DSM na Pwani havina umbali ni almost the same na Dsm iko ndani!! yaan run way inatokea mkoa wa pwani. ukiwa pugu ndo kisarawe inaanzia hapo!!

asa uweke uwanja wa ndege wa kimataifa hapo! na mwingine uwe kipawa au hujui mazingira ya Bongo nini unakaa wapi kwanza naweza kuwa naongea na mwanakijiji mtu yuko Bwai kwitururu huko!

Tatizo humu kila mtu anajifanya ni mbongo tajiri mara dereva
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…