Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

Mkuu nadhani huyo mzee asingelimsifia siku ya pili angepotezwa, hii ni sawa na kumteka mtu ukamueka chini ya ulinzi halafu ukamlazimisha akumwagie misifa 🙂
 
Huu ulikuwa ni UCHIMVI
 
Kumbe wakati mwingine huwa kuna KUPWA na KUJAA kwa akili za waandishi wa habari kama wewe Paschal Mayalla, au siyo...?

Ni afadhali hata wewe uwe Rais wa nchi hii kuliko huyu ambaye from A to Z ya kila kitu chake na akili zake na jinsi alivyo tu kwa ujumla ni fabrication tupu....

We need a president who is a real person, who is an actual person and not fake one....!!
 
Hapa Paskali "amepuyanga"?

Sioni kinachoweza kufanya Bashite kuwa Rais come 2025. Hata kupata Ubunge tu, itambidi afanye kazi kubwa.

Anyway, labda miujiza inaweza kutokea!
Mkuu SMU, anayemfanya mtu kuwa rais ni Mungu, hivyo kisichowezekana kwa binadamu, kwa Mungu, kinawezekana, nisome kwa makini hapa, nimesema nini kumhusu Makonda,
P
 
Mzee kubali tu ulipuyanga wakati unaandika huu uzi wako! Makonda kwa sasa ni historia! Nguvu na kiburi cha Makonda kilitokana na Magufuli!

Makonda bila Magufuli ni sawa tu na kiwiliwili pasipo na kichwa! Na bahati nzuri Baba yake Magufuli kama aliota vile kumtelekeza mapema kabla ya kifo chake! Kwa kiasi fulani hiki kitendo kimemsaidia mpaka leo kuishi maisha yenye unafuu tofauti na wenzake akina Sabaya, Polepole, Chalamila, Heri James, Doto James, na Mataga wengine.
 
Mkuu Tate Mkuu , kumbe hata wewe, uwezo wa kusoma in between the lines ni issue!. Naomba nikusaidie, hiki ulichokisema, nimekisema tena vizuri kabisa...soma kwa makini hii para...
Mkuu Tate Mkuu , kumbe hata wewe, uwezo wa kusoma in between the lines ni issue!. Naomba nikusaidie, hiki ulichokisema, nimekisema tena vizuri kabisa...soma hii para...
P.
 
Kuhusu bashite kuwa rais hapa uliandika upuuzi mpaka nikashangaa pascal umepatwa na nini, hakuna cha between the lines wala nini, huyu vyeti feki awe rais wetu kweli pascal ulitukosea sana wana JF

Huyu aliyetajwa na Mike Pompeo anadhurumu haki za watu kuishi wew ulitaka awe rais wetu watanzania? Kweli pascal??
 
Mkuu mozila firefox , hakuna kitu nakipenda kama watu wanao hoji kwa hoja. Nimependa hoja zako.

Sasa naomba nikuulize kitu, jee kwenye hii hoja yangu ya kijana atatufaa, umesoma nimesema ni kwanini atatufaa kumpokea JPM?. Nimeweka sababu, jee umeisoma hiyo sababu?.
P
 
Pascal hakuna cha sababu wala nini, bashite hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba10
Bashite ni Sabaya type, aliyemuaribu bashite ni mwendazake full stop, na bashite bila ya magufuri ni toilet paper tu

bashite huyu anayevamia ofc za watu usiku wa manane na mitutu ya bunduki kunikiza takwa lake? Huyu akiwa rais hata wew pascal utakua mkimbizi wa kisiasa

Mpaka sasa bashite anasubiri huruma ya Salum Hamduni
 
Wenye uthubutu Kama jpm Ni wengi ila daudi Albert bashite alias Paulo makonda hafai kuwa rais wa JMT Wala hata kuwa rais from the beginning labda president of toilets .He will go nowhere ,he is finished politically

You wasted your time to decorate that hooligan,a gangster politician .

May be when you wrote these craps you were under influence,pressure,threats , emotions or kujipendekeza mode,who know!?!![emoji849]

This is my hoja and simply like that .

There is no need for brainstorming for something involve bashite ,no need for that ,it's waste of energy and time .

President my foot[emoji1]
 
Kipindi cha jiwe sijui pascal alipatwa na nin? Sielewi
Bashite alipaswa awe jela kabla ya sabaya
 
Kujipendekeza mode apate ubunge kawe.

Akapata kura 2 yaani hata CCM wenyewe hawamuelewi[emoji1787]
Utawala wa jiwe umefanya tuwafaham watu rangi zao zote, kilikua ni kipindi cha siasa za kujipendekeza kuliko kipindi chochote kile ktk nchi yetu, ndio wakati kilizalisha wanasiasa makanjanja

Ninaimani CCM wamejifunza kupitia mwendazake, hamna kipindi nchi ilipitia siasa za kuumizana na siasa za ovyo kama kipindi cha marehemu
 
Kweli kabisa naamini Makonda anatufaa.Tatizo moja sio Mkristu mkatoliki! Rais wa nchi hii lazima awe Mkatoliki.Refer uteuzi wa VP kama isingekuwa kigezo cha ukatoliki wengi walikuwa na sifa akiwemo Kabudi.Ila Kigezo cha ukatoliki kiliwakosesha uVP.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…