Inside10
Platinum Member
- May 20, 2011
- 34,776
- 42,933
Kura 2 apewe na nani?!Kujipendekeza mode apate ubunge kawe.
Akapata kura 2 yaani hata CCM wenyewe hawamuelewi[emoji1787]
Alipata1
Kura 2 apewe na nani?!Kujipendekeza mode apate ubunge kawe.
Akapata kura 2 yaani hata CCM wenyewe hawamuelewi[emoji1787]
HahahahahKura 2 apewe na nani?!
Alipata1
Yeah sure utawala wa mwendazakeUtawala wa jiwe umefanya tuwafaham watu rangi zao zote, kilikua ni kipindi cha siasa za kujipendekeza kuliko kipindi chochote kile ktk nchi yetu, ndio wakati kilizalisha wanasiasa makanjanja
Ninaimani CCM wamejifunza kupitia mwendazake, hamna kipindi nchi ilipitia siasa za kuumizana na siasa za ovyo kama kipindi cha marehemu
Sorry you have missed the point!. Nimesema nilipomtaja, nilitoa sababu, nakuuliza tena, hiyo sababu kwanini baada ya JPM, Makonda atatufaa sana!. Kwa vile kuweza kusoma kitu in between the line ni uwezo, na sio wote wana uwezo huo, kama wewe hujaweza kuziona sababu nilizoweka, its just fine, I will help you.Pascal hakuna cha sababu wala nini, bashite hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba10
Bashite ni Sabaya type, aliyemuaribu bashite ni mwendazake full stop, na bashite bila ya magufuri ni toilet paper tu
bashite huyu anayevamia ofc za watu usiku wa manane na mitutu ya bunduki kunikiza takwa lake? Huyu akiwa rais hata wew pascal utakua mkimbizi wa kisiasa
Mpaka sasa bashite anasubiri huruma ya Salum Hamduni
Wanabodi,
Kabla Magufuli hajawa rais wetu, sisi wengine wenu tulijua tangu mwaka 2014 na tukasema humu!.Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli
Miongoni mwa sifa zilizomuibua Magufuli ni sifa inayoitwa "uthubutu" unreasonably ambayo wengine huita ni udikiteta. Yaani kuachana na mambo ya kufuata sheria, taratibu na kanuni, ndiyo yametufikisha hapa, hawa viongozi wenye "uthubutu" hawahitaji kujua sheria, taratibu na kanuni, zinataka nini, bali hufanya lile linalowezekana,
Ndio maana tukasema humu, japo Magufuli kweli ni dikiteta, Tanzania mahali ilipofika ilimhitaji mtu kama Magufuli na Mwenyeenzi Mungu akaisikia sala yetu, akatupatia Magufuli!.
Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania Ilihitaji Dikiteta, Tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba!
Tukija kwa Makonda, muda mfupi baada ya kuteuliwa DC wa Kinondoni, akaonyesha uwezo, hivyo kama ilivyokuwa kwa Magufuli, mwaka 2014 tulisema ni Magufuli, na mwaka 2015 kweli akawa yeye. Vivyo hivyo kwa Makonda akiwa DC, akina sisi tukasema hivi Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
Na kweli haukupita muda akawa!.
Hivyo kwa hii kazi nzuri yote anayoifanya Magufuli, atakapoondoka ile 2025, kama hatamuachia nchi mtu mwenye kufuata nyayo zake, hii kazi nzuri yote ya Magufuli itakuwa ni kazi bure! . Hivyo nimeshauri Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Kwa vile katiba sio Msahafu, 2025 tuibadili katiba Magufuli aendelee indefinitely kama Mugabe, mpaka atakapo choka kabisa na kuwa hawezi tena kwa incapacitation, au tumsubirie Mungu, au Tanzania sasa na sisi tuanze mtindo wa spotting na headhunting na kumfanyia grooming huyo headhunted?.
Kwa maoni yangu Makonda atatufaa sana kumpokea Magufuli, maana kiukweli kwa sababu ana uthubutu mkubwa zaidi kuliko hata Magufuli. Makonda akimpokea Magufuli ile 2025, kiukweli kabisa Tanzania itanyooka!.
Magufuli pamoja na mazuri yake, naye kama binadamu pia ana madhaifu na mapungufu yake, vivyo hivyo Makonda pia sio malaika naye ana mapungufu yake, moja ya mapungufu makubwa ya Makonda ni inferiority complex inayopelekea ku practice superiority complex na kujikuta ana over do things bila kujijua!.
Psychoanalysis: Superiority Complex ni Dalili ya Inferiority Complex!. Maneno Mafupi Vitendo Virefu.
Mfano ni jinsi anavyojikomba komba kwa rais Magufuli mpaka kupindukia, karibu kila jambo lazima amtaje rais Magufuli tena kwa majina yake yote manne na sifa zake zote nne "Rais Wetu Mpendwa Mheshimiwa Dr. John Pombe Joseph Magufuli" (si mnajua watu wa Kanda yetu kwa kupenda masifa). Makonda lazima afike mahali aonyeshe anaweza kusimama on his own na sio kila wakati kutegemea apron strings za rais Magufuli.
Hivyo 2025 rais Magufuli asipoongeza muda, Makonda atatufaa sana. Kwa vile Makonda ni Mkolomije, kwa kuanzia 2020 akalichukue lile jimbo la yule chapombe, pale Kolomije na atashinda kwa kishindo na kupewa moja ya important portfolio zenye impact, ili 2025 ampokee Magufuli.
Kitendo cha mtu wa Kanda ya Ziwa kushika urais kama alivyo rais Magufuli, ni dalili ya Tanzania kutenda haki ya wengi wape, yaani wenye haki na uhalali wa kutawala nchi ni wale walio wengi!. Hivyo baada ya rais Magufuli aje rais Makonda, na baada ya hapo tuendelee kule kule mpaka na makabila mengine nao wawe ni walio wengi ndipo nao watastahiki! .
Makonda konyesha uwezo wa uthubutu, jee mnalionaje hili la kwanini asiwe Makonda kumpokea Magufuli?.
Kwa kwa wale mashabiki wa upinzani mtanisamehe bure, kwenye urais wa Tanzania, upinzani ni bado sana.
Paskali.
Update,
Kumbe wanaoesema baada ya Magufuli, Makonda atatufaa, siko peke yangu,
Msikilize kiongozi huyu wa dini, msikilize mpaka mwisho
Viongozi wakuu wa dini, wanaletwa na MWENYEWE YEYE, hivyo baada ya kuisikia kauli kama hiyo ya kiongozi wako wa dini, wewe kama ni muumini safi na wa kweli, ni kuikubali, hiyo ni sauti ya Mungu ikinena kupitia vinywa vya Manabii, wewe ni nani upinge?.
P
SureHahahahah
Pascal mim sijaona hizo sababu, na nashangaa kwann unafanya masihara na taasisi ya urais, kwangu binafsi toka moyoni ni bora wew Pascal uwe rais wa Tanzania kuliko uyo bashite wakoSorry you have missed the point!. Nimesema nilipomtaja, nilitoa sababu, nakuuliza tena, hiyo sababu kwanini baada ya JPM, Makonda atatufaa sana!. Kwa vile kuweza kusoma kitu in between the line ni uwezo, na sio wote wana uwezo huo, kama wewe hujaweza kuziona sababu nilizoweka, its just fine, I will help you.
To start with niliposema Makonda atatufaa, jee nilitoa sababu gani?. Usipoiona sababu niliyoitoa, nitasaidia.
P
Sababu ni hiiPascal mim sijaona hizo sababu, na nashangaa kwann unafanya masihara na taasisi ya urais, kwangu binafsi toka moyoni ni bora wew Pascal uwe rais wa Tanzania kuliko uyo bashite wako
Narudia tena, bashite endapo akiwa rais hata wew pascal utakua mkimbizi wa kisiasa uko ulaya
Pia niliuzungumzia huo uthubutu,Kwa maoni yangu Makonda atatufaa sana kumpokea Magufuli, maana kiukweli kwa sababu ana uthubutu mkubwa zaidi kuliko hata Magufuli. Makonda akimpokea Magufuli ile 2025, kiukweli kabisa Tanzania itanyooka!.
Can you connect the dots?.Miongoni mwa sifa zilizomuibua Magufuli ni sifa inayoitwa "uthubutu" unreasonably ambayo wengine huita ni udikiteta. Yaani kuachana na mambo ya kufuata sheria, taratibu na kanuni, ndiyo yametufikisha hapa, hawa viongozi wenye "uthubutu" hawahitaji kujua sheria, taratibu na kanuni, zinataka nini, bali hufanya lile linalowezekana,
I have respect for you Ila kwa hizi sababu zako aisee hebu jiulize Mara mbili kama ni kweli hiki ulichoandika ndio unachoamini. Sitaki kuamini kwamba ulikuwa serious brother maana you are better than this.Sababu ni hii
Pia niliuzungumzia huo uthubutu,
Can you connect the dots?.
P
Aisew bado unatamani Makonda awe President wa hii nchi ?Mkuu SMU, anayemfanya mtu kuwa rais ni Mungu, hivyo kisichowezekana kwa binadamu, kwa Mungu, kinawezekana, nisome kwa makini hapa, nimesema nini kumhusu Makonda,
PMafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni
Wanabodi, Ukiisikia simulizi za historia ya Mkuu wa Dar es Salaam, Paul Makonda, tangu kuzaliwa, alipotoka, mapito aliyopitia na hadi sasa alipo, na kuifikiria picha ya anapokwenda, baada ya kusoma makala hii na kusikiliza masimulizi haya, mtakubaliana na mimi kuwa, huyu Paul Makonda ni...www.jamiiforums.com
😂😂😂 johnthebaptist alisema eti p alishika nafasi ya 176 pale kaweKujipendekeza mode apate ubunge kawe.
Akapata kura 2 yaani hata CCM wenyewe hawamuelewi[emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji849][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] johnthebaptist alisema eti p alishika nafasi ya 176 pale kawe
Moja ya sifa kubwa ya Jf, ni kubishana kwa hoja na sio kwa viroja. Kwenye bandiko hili, nimempendekeza Makonda kwa hoja, na hoja zangu nimeziweka, pangua hoja, kwa hoja au kwa hoja mbadala na sio kuendelea kunisakama mimi mtoa hoja!.I have respect for you Ila kwa hizi sababu zako aisee hebu jiulize Mara mbili kama ni kweli hiki ulichoandika ndio unachoamini. Sitaki kuamini kwamba ulikuwa serious brother maana you are better than this.
Moja ya sifa kubwa ya Jf, ni kubishana kwa hoja na sio kwa viroja. Kwenye bandiko hili, nimempendekeza Makonda kwa hoja, na hoja zangu nimeziweka, pangua hoja, kwa hoja au kwa hoja mbadala na sio kuendelea kunisakama mimi mtoa hoja!.Aisew bado unatamani Makonda awe President wa hii nchi ?
Are you serious.
Mungu ninayemuamini mimi hawezi kuruhusu hilo, kama aliingilia kati na kutuondolea Dikteta, hawezi kuruhusu Chizi ku command Bunduki za hii nchi kwa kuwa CinC.
Mkuu, hoja yako haipo , wala siwezi kuiita hoja dhaifuMoja ya sifa kubwa ya Jf, ni kubishana kwa hoja na sio kwa viroja. Kwenye bandiko hili, nimempendekeza Makonda kwa hoja, na hoja zangu nimeziweka, pangua hoja, kwa hoja au kwa hoja mbadala na sio kuendelea kunisakama mimi mtoa hoja!.
Boss kama sijakubaliana na hoja zako Ina maana zangu ni tofauti za hizo ulizoweka Yani kama ilikuwa Yes we chukulia ni No.Moja ya sifa kubwa ya Jf, ni kubishana kwa hoja na sio kwa viroja. Kwenye bandiko hili, nimempendekeza Makonda kwa hoja, na hoja zangu nimeziweka, pangua hoja, kwa hoja au kwa hoja mbadala na sio kuendelea kunisakama mimi mtoa hoja!.
P
Shida sio uthubutu anaweza thubutu maupimbavu kibao kama aliyokwisha thubutu mwendazakeSababu ni hii
Pia niliuzungumzia huo uthubutu,
Can you connect the dots?.
P
AHaa ! kwani kuua na uongo ni ipi dhambi kubwa mkuu!!Mbowe hatasamehewa na watanzania kwa kitendo chake cha kuangushwa na konyagi alafu akaitangazia dunia amepigwa na wasiojulikana ili kumchafua mwendazake.
Uongo uongo tu