Magufuli amefanya tujue wasukuma ni watu wa aina gani.Bandiko lilijaa usukuma...
Mkuu malantu, kiukweli sio najisifia najijua kabisa kuwa nafanya kazi nzuri na matokeo nayaona.Basi, haina maana kuleta mabandiko yasiyoeleweka kwa wengi. Lengo lako ni nini sasa. Ujumbe wako unaposhindwa kueleweka kwa wengi maana yake ni kushindwa kwa mwandishi kufikisha ujumbe. Naona unajisifia hilo, sio sifa hata kidogo.
Makonda mwendo ameshaumaliza, ni kuomba tu mama asimamishe vyombo vya dola vimsamehe, otherwise zile hips zinakwenda kuchezewa na manyapara ni swala la muda tu.Mkuu Sweet16, mimi humu jf, naandikia watu wa makundi 3, simple mind, ordinary mind, na great mind, sasa inapotokea bandiko ni la great mind, huku wewe ni mwenzangu na mimi, utaishia tuu kuingia chaka.
Hayo mabandiko ambayo unadhani nikiyarudia, najidharau, mfano bandiko hili, kama unaamini unachoamini, endelea kuamini unachoamini, ila kwa wale ma GT, wenye uwezo to read in between the lines, wanajua nazungumzia nini na haya niliyo yazungumza humu, baadhi yametokea!.
P
Ongeza na Humphrey polepole.Kama una maanisha Makonda atakua Nyampala mkuu gerezani hapo sawa! Lakini eti awe Rais hapo hapana ni BIG NO
Kwenye uso wa kisiasa bwana Makonda ndiyo bye bye,sasa hivi tunasubiri muda utimie,tumpandishe kwa Pilato,akakutane na mkono wa sheria!
Tumeanza na Lengai,anafata Makonda,anafata Mnyeti na baadae kabisa anafata bwana Gambo!
Baada ya kuona watu wamekutambua ulivyo mjinga.umemua kujificha kwenye kichaka cha kwamba umeandika kwa kutufumbia sio. Haya bwana njaa a.k.a mayala kwa kisukuma.Ziko poa kabisa. kunielewa baadhi ya mabandiko yangu, inakubidi uwe na kiwango fulani cha uelewa na uwezo wa to read in between the lines .
P
Wanabodi,
Kabla Magufuli hajawa rais wetu, sisi wengine wenu tulijua tangu mwaka 2014 na tukasema humu!.Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli
Miongoni mwa sifa zilizomuibua Magufuli ni sifa inayoitwa "uthubutu" unreasonably ambayo wengine huita ni udikiteta. Yaani kuachana na mambo ya kufuata sheria, taratibu na kanuni, ndiyo yametufikisha hapa, hawa viongozi wenye "uthubutu" hawahitaji kujua sheria, taratibu na kanuni, zinataka nini, bali hufanya lile linalowezekana,
Ndio maana tukasema humu, japo Magufuli kweli ni dikiteta, Tanzania mahali ilipofika ilimhitaji mtu kama Magufuli na Mwenyeenzi Mungu akaisikia sala yetu, akatupatia Magufuli!.
Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania Ilihitaji Dikiteta, Tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba!
Tukija kwa Makonda, muda mfupi baada ya kuteuliwa DC wa Kinondoni, akaonyesha uwezo, hivyo kama ilivyokuwa kwa Magufuli, mwaka 2014 tulisema ni Magufuli, na mwaka 2015 kweli akawa yeye. Vivyo hivyo kwa Makonda akiwa DC, akina sisi tukasema hivi Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
Na kweli haukupita muda akawa!.
Hivyo kwa hii kazi nzuri yote anayoifanya Magufuli, atakapoondoka ile 2025, kama hatamuachia nchi mtu mwenye kufuata nyayo zake, hii kazi nzuri yote ya Magufuli itakuwa ni kazi bure! . Hivyo nimeshauri Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Kwa vile katiba sio Msahafu, 2025 tuibadili katiba Magufuli aendelee indefinitely kama Mugabe, mpaka atakapo choka kabisa na kuwa hawezi tena kwa incapacitation, au tumsubirie Mungu, au Tanzania sasa na sisi tuanze mtindo wa spotting na headhunting na kumfanyia grooming huyo headhunted?.
Kwa maoni yangu Makonda atatufaa sana kumpokea Magufuli, maana kiukweli kwa sababu ana uthubutu mkubwa zaidi kuliko hata Magufuli. Makonda akimpokea Magufuli ile 2025, kiukweli kabisa Tanzania itanyooka!.
Magufuli pamoja na mazuri yake, naye kama binadamu pia ana madhaifu na mapungufu yake, vivyo hivyo Makonda pia sio malaika naye ana mapungufu yake, moja ya mapungufu makubwa ya Makonda ni inferiority complex inayopelekea ku practice superiority complex na kujikuta ana over do things bila kujijua!.
Psychoanalysis: Superiority Complex ni Dalili ya Inferiority Complex!. Maneno Mafupi Vitendo Virefu.
Mfano ni jinsi anavyojikomba komba kwa rais Magufuli mpaka kupindukia, karibu kila jambo lazima amtaje rais Magufuli tena kwa majina yake yote manne na sifa zake zote nne "Rais Wetu Mpendwa Mheshimiwa Dr. John Pombe Joseph Magufuli" (si mnajua watu wa Kanda yetu kwa kupenda masifa). Makonda lazima afike mahali aonyeshe anaweza kusimama on his own na sio kila wakati kutegemea apron strings za rais Magufuli.
Hivyo 2025 rais Magufuli asipoongeza muda, Makonda atatufaa sana. Kwa vile Makonda ni Mkolomije, kwa kuanzia 2020 akalichukue lile jimbo la yule chapombe, pale Kolomije na atashinda kwa kishindo na kupewa moja ya important portfolio zenye impact, ili 2025 ampokee Magufuli.
Kitendo cha mtu wa Kanda ya Ziwa kushika urais kama alivyo rais Magufuli, ni dalili ya Tanzania kutenda haki ya wengi wape, yaani wenye haki na uhalali wa kutawala nchi ni wale walio wengi!. Hivyo baada ya rais Magufuli aje rais Makonda, na baada ya hapo tuendelee kule kule mpaka na makabila mengine nao wawe ni walio wengi ndipo nao watastahiki! .
Makonda konyesha uwezo wa uthubutu, jee mnalionaje hili la kwanini asiwe Makonda kumpokea Magufuli?.
Kwa kwa wale mashabiki wa upinzani mtanisamehe bure, kwenye urais wa Tanzania, upinzani ni bado sana.
Paskali.
Update,
Kumbe wanaoesema baada ya Magufuli, Makonda atatufaa, siko peke yangu,
Msikilize kiongozi huyu wa dini, msikilize mpaka mwisho
Viongozi wakuu wa dini, wanaletwa na MWENYEWE YEYE, hivyo baada ya kuisikia kauli kama hiyo ya kiongozi wako wa dini, wewe kama ni muumini safi na wa kweli, ni kuikubali, hiyo ni sauti ya Mungu ikinena kupitia vinywa vya Manabii, wewe ni nani upinge?.
P
Jamaa mnafiki Sana huyuBaada ya kuona watu wamekutambua ulivyo mjinga.umemua kujificha kwenye kichaka cha kwamba umeandika kwa kutufumbia sio. Haya bwana njaa a.k.a mayala kwa kisukuma.
Haswa Hawa watani zangu wasukuma, hawafai kupewa Nchi kabisa, tushajifunzaMakabila makubwa hayafai kupewa uongozi tumeona madhara yake,yanauwa utaifa
Kipindi cha marehemu kilituwezesha kuwatambua wazi watu wanafiki, ambao wapo tayari kunena lolote ili tu kuona kama watapewa nafasi za kutunza matumbo yao.Enzi za kusifu na kuabudu![emoji3][emoji2][emoji2]
Nchi hii ina wapumbavu wa viwango vya juu sanaKipindi cha marehemu kilituwezesha kuwatambua wazi watu wanafiki, ambao wapo tayari kunena lolote ili tu kuona kama watapewa nafasi za kutunza matumbo yao.
Mayala ili apate faraja ya moyo, aikabidhi familia yake kwa Makonda ili angalao ndoto yake itimie kwa kiwango fulani kuwa Makonda aliwahi kuwa Rais (wa familia yake).
Mwamba kanasa kwenye mkuundu wa ndovu chini akanyagi maini ayagusiBaada ya kuona watu wamekutambua ulivyo mjinga.umemua kujificha kwenye kichaka cha kwamba umeandika kwa kutufumbia sio. Haya bwana njaa a.k.a mayala kwa kisukuma.
Hivi na sabaya nae ni msukuma?Magufuli amefanya tujue wasukuma ni watu wa aina gani.
Hapo nimetoa somo la kufuata katiba sheria, taratibu na kanuni.Miongoni mwa sifa zilizomuibua Magufuli ni sifa inayoitwa "uthubutu" unreasonably ambayo wengine huita ni udikiteta. Yaani kuachana na mambo ya kufuata sheria, taratibu na kanuni, hawa viongozi wenye "uthubutu" hawahitaji kujua sheria, taratibu na kanuni, zinataka nini, bali hufanya lile linalowezekana,
Hapo kuna kitu nilimtaja Mungu na kweli Mungu akatenda.Magufuli, atakapoondoka ile 2025, kama hatamuachia nchi mtu mwenye kufuata nyayo zake, hii kazi nzuri yote ya Magufuli itakuwa ni kazi bure! .
Kwa vile katiba sio Msahafu, 2025 tuibadili katiba Magufuli aendelee indefinitely kama Mugabe, mpaka atakapo choka kabisa na kuwa hawezi tena kwa incapacitation, au tumsubirie Mungu, au Tanzania sasa na sisi tuanze mtindo wa spotting na headhunting na kumfanyia grooming huyo headhunted?.
Hapa nimezungumzia Tanzania kunyookaKwa maoni yangu Makonda atatufaa sana kumpokea Magufuli, maana kiukweli kwa sababu ana uthubutu mkubwa zaidi kuliko hata Magufuli. Makonda akimpokea Magufuli ile 2025, kiukweli kabisa Tanzania itanyooka!.
Kujikomba komba kulipunguaMakonda pia sio malaika naye ana mapungufu yake, moja ya mapungufu makubwa ya Makonda ni inferiority complex inayopelekea ku practice superiority complex na kujikuta ana over do things bila kujijua!.
Mfano ni jinsi anavyojikomba komba kwa rais Magufuli mpaka kupindukia,
Hii pia ilipunguakaribu kila jambo lazima amtaje rais Magufuli tena kwa majina yake yote manne na sifa zake zote nne "Rais Wetu Mpendwa Mheshimiwa Dr. John Pombe Joseph Magufuli" (si mnajua watu wa Kanda yetu kwa kupenda masifa).
Hili alishindwaMakonda lazima afike mahali aonyeshe anaweza kusimama on his own na sio kila wakati kutegemea apron strings za rais Magufuli.
Kuna kitu nilikisema hapo...Hivyo 2025 rais Magufuli asipoongeza muda,
Natumaini nimeeleweka.Kwa kwa wale mashabiki wa upinzani mtanisamehe bure, kwenye urais wa Tanzania, upinzani ni bado sana.
Paskali.
Soma historia ya Hitlar alitumia kabila gani kuangamiza mayuda. Someni jamani..!Hivi na sabaya nae ni msukuma?
Tumekuelewa lakini haya ndio mambo yamekunyima tunzo ya heshima hapa JF na badala yake ametunukiwa Mzee Mohammed Said.Japo jf was meant to be a home to Great Minds, as days go by, ma GT wa ukweli wa Jeiefu, wanazidi kupungua huku average people wakiongezeka kwa wingi na miongoni mwao, vilaza ni wengi na sasa ndio wanatamalaki zaidi humu jeiefu, hivvo mtu ukipandisha bandiko kama hili linalohitaji uwezo wa to read in between the lines wengi wanatoka kapa na wengine kuishia chaka, hivyo nikipata muda nitakuwa naendesha darasa la to read in between the lines, hivyo kuwaa transform from hawa average jf members from ordinary into great mind.
Hapo nimetoa somo la kufuata katiba sheria, taratibu na kanuni.
Hapo kuna kitu nilimtaja Mungu na kweli Mungu akatenda.
Hapa nimezungumzia Tanzania kunyooka
Kujikomba komba kulipungua
Hii pia ilipungua
Hili alishindwa
Kuna kitu nilikisema hapo...
Natumaini nimeeleweka.
P