Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

Unaongea pumba huna unachoweza kunishawishi katika maswala ya kidiplomasia ,pia wewe siasa huijui ...kaa kimya
 
Mkuu umesahau Ile naona aibu kuchafua darisalaam iliishia wapi? Vipi na Ile ya mti wangu
 
It's high time now ka ya mgombea yoyote
La kwanza kabisa.. Makonda hatufai hata kidogo.
Sababu ni nyingi mnoo.
Aende huko akatafute kazi nyingine za kufanya.. lakini Urais HATUFAI.

La pili ni nyongeza tu kwenye uzi wako.. Presidential Aspirants wote wawe WANAPIMWA AKILI kwenye very Independent Medical Institution na Mtaalam wa Magonjwa ya Akili mwenye kutambulika Kimataifa.
Na baada ya ku qualify vipimo ndio awe anaidhinishwa na NEC.
Hatutaki tena matatizo yaliyotokea yajirudie.

Ni hayo tu Mkuu Paskali.
 
Hivi wewe paskali
Toka huyu pauli awe mkuu wa mkoa, amekuwa effective and efficient kwa kiasi gani? Unaweza kumpima kwa namna yoyote? Vipi kuhusu jumamosi siku ya usafi? Vipi kuhusu dar ya kijani? Vipi kuhusu shisha? Vipi kuhusu machangudoa wa ke/me?
Mtu anabwabwaja tu kama kichaa, halafu anafaa kuwa raisi. Loh! 😛😛😛
 
Unaongea pumba huna unachoweza kunishawishi katika maswala ya kidiplomasia ,pia wewe siasa huijui ...kaa kimya
Mkuu Living Kereth, kwani kuna mtu anaandika humu kumshawishi mtu, au jf ni ukumbi huru kila mtu yuko huru to express his/her opinion, na kama umenisoma mwanzo nimesema, everyone has the right to his/her own opinions, hivyo hayo ndio mawazo yangu, baada ya Magufuli, Makonda atatufaa sana na sababu kubwa ni kuwa na uthubutu kuliko hata Magufuli.

Hili la mimi kuijua siasa au kutoijua ni relative, mimi nakiri siasa siijui siasa na ndio maana mpaka sasa, mimi sio mwanachama wa chama chochote cha siasa, ila pamoja na kutoijua siasa lakini niliisha wahi kuajiriwa mahali kama mshauri wa siasa, wa ubalozi fulani wa maana tuu, na kupewa nishani ya utumishi uliotukuka, jee wewe mwenzangu unaoijua siasa, umewahi kuwa nani kwenye siasa? . Hala hala usije kuniambia umewahi kuwa mjumbe wa nyumba kumi!.

Paskali
 
Makonda ana kipi special kiasi cha kumuona anafaa?
anza na mwaka wake mmoja wa ukuu wa mkoa ni innovation idea gan iliyowasaidia wananchi zaidi ya siasa za muda mfupi?
Makonda ana uthubutu kuliko hata Magufuli!. Kwake Bunge na Mahakama sii lolote sii chochote. Yeye ndio Mahakama anatoa verbal summon, saa hizi Manji ana ... debe! . Magufuli ameisigina katiba, Makonda akimpokea, ataiweka kabisa kando katiba na kuinyoosha nchi.

Paskali.
 
Haya sawa,naona unaamini kwako kiongozi bora ni yule mwenye uwezo mkubwa wa kuisigina katiba!Pascal,JF ya leo si Jambo forum!Watu hawajui fasihi,unatafuta vita ya bure!Akisoma Makonda au Magu basi kama bado zimo kidogo,watajirekebisha!
 
Pascal hebu jaribu kumuogopa Mungu.
Yaani unamzungumzia Makonda huyu huyu alotupigia mzee wetu Warioba!
kampiga mzee tena jaji na waziri mkuu mstaafu sa unazani atashindwa nini kutukandamiza wanyonge.
Mkuu Expedition, it's vice versa, Makonda ndio aliyekuwa anazuia Warioba asipigwe! ,ndie aliyemkingia kifua na kumtoa nje salama, japo waliotaka kumpiga Warioba ni vijana wa Makonda, unatengeneza scene kisha unageuka a savior, unakuwa a hero!.

Makonda is a hero! .

Paskali
 
......
......utumwa wa Fikra
Mkuu Msukuma Dunia, huu utumwa wa fikra kwa mmoja ndio free thinking kwa mainline, mlitaka wote tufikiri kile kile? . Makonda atatufaa sana baada ya Magufuli.

Paskali
 
Wasukuma mmeonjeshwa mnataka kutawala wenyewe. Vita ya kikabila ikizuka nyie ndio mtamwaga Damu nyingi kwa vile mmetapakaa kila kona ya nchi. Mtachinjwa kama kuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…