Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

Paskalia kwa mapenzi yako kwa Makonda tuikanyage katiba pamoja na kuwa ina viraka viraka!! ama kweli!! Katiba sio kitu cha kuchezea my friend!!
 
Omba omba wamemshinda.....
Shisha imemshinda.......
Mashoga wamemshinda....
Wanaolala gest wamemshinda.....
Na hii ya sembe tayari ameshashindwa vibaya...
Amebaki kukata viuno kwenye makamera tu

.........Leo unataka awe rais??????.......Paskali nimekuondolea ile heshima niliyokupa kipindi kile ulipomtwanga swali Pogba na moja kwa moja nimekuunganisha kwenye kundi la 1/4 ukaungane na kina Deo Kisandu wa ACA
 
Magufuli will go down as on of the worst president in our country.

Wewe unayejiita Paskali, naona unajaribu kujipendekeza kiujanja ujanja Makonda akuone.
Nyie watu mnashida kubwa.

Makonda ni mshamba kwelikweli anafanya hayo ku-boost personality yake tu.

Vipi jiji lenu la Darisalama limeshakuwa safi?

Vipi vipato vya watanzania vimeongezeka?

Wewe mzee Paskali inaonyesha ulitamani sana awamu hii upate hata kijinafasi lakini hamna kitu......mzee go home hizi hadithi zako kasimulie watoto wako au wajukuu kama unao
 
Back
Top Bottom