Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

wasukuma mna matatizo, sijui mnatumia pombe gani. Mnapenda ufisadi na kujificha kwenye kichaka cha uchapa kazi. Watanzania sio wanawake wakisukuma ..
 
Mzee Kassanda Tumbo Aliwahi Kusema Ili Umtawale Muafikra Kifikra Kwanza Mnyime Chakula Pia Na Mbinu Zote Zinazoweza Kufanikisha Hilo Basi Atakuwa Mtumwa Wako Milele.

Pili Muonyeshe Kwamba Wewe Ni "Antidote" Ya Matatizo Yake Na Ni Wewe Pekee Unao Uwezo Wa Kuyatatua Baaaaaaaaaaaasi Kwisha Kazi.

Hata Ukimwambia Ning'inia Kwenye Mti Afanya Tu Na Kukuheshimu Na Kukuogopa Zaidi Ya Mungu Wake.

Akiwa Na Maana Ukili-control Tumbo La Mtu Basi Ushamshika Kiakili Na Atakuheshimu Milele Kama Utamnyima Fursa Ya Uhakika Wa Kula

Na Kama Ukiwa Na Madaraka Na Kuyatumia Kwenye Mfumo Huo Utaongoza Milele Kama Utakosa Busara Ya Utawala

Hivyo Sishangai Sana Nikiona Mtu Kama Pascal Mayalla Akiandika Vitu Kama Hivi Kwa Kuwa Sababu Ziko Wazi

Mfano Mzuri Huu Uzi Wa Pascal Tayari Kisaikolojia Anajifanya Kama Vile Anajua CCM Haiwezi Kutoka Madarakani Ndiyo Maana Leo Anathubutu Kuzungumzia Uchaguzi Wa Uraisi Wa Mwaka 2025.

Na Hizi Ndiyo Changamoto Kubwa Vyama Vya Upinzani Wanatakiwa Watambue Kwanza Kwenye Jamii Yetu

Ili Kutawala Wanatakiwa Kwanza Kuweza Kuwekeza Kwenye Miradi, Elimu Na Uchumi Ili Wazee, Wakina Mama Na Vijana Wasiwe Na Akili Tegemezi

Waweze Kuwajengea Misingi Mizuri Ya Kuondokana Na Umaskini Badala Kuwekeza Nguvu Nyingi Kwenye Uwashawishi Wa Maandamano Na Mikutano Pekee

Swali Litakuja Watawezeshaje? Wawakusanye Vijana, Wazee Na Wakina Mama Kwa Makundi

Chama Kiwe Na Miradi Yake Kwenye Kila Tawi Itakayotoa Ajira Na Kuwapa Fursa Wengine Kujifunza Huku Wakieneza Sera Zao Kwa Vitendo Na Nadharia

Chama Pia Ki-support Na Kiwe Na Fungu La Kuwawezesha Hao Wenye Mafunzo Wajiajili Au Waajiliwe Kujikwamua Na Njaa

Watanzania Wanataka Mafanikio Ila Pa Kuyapata Ni Shida Hususani Ukiwa Na Njaa,

Tumeona Mifano Mingi Vijana Wakiwaona Viongozi Kwenye Maeneo Yao Cha Kwanza Kulia Ni Njaa Au Serikali Tusaidie Na Wao Wanafurahi Sababu Waanona Dawa Kweli Inawaingia

Kisaikolojia Vijana Hawajitambui Kuwa Wanaweza Kubadili Maisha Yao Na Kufanya Maamuzi Yao Bila Shuruti La Njaa

Na Hata Kama Wanajitambua Zile Njia Za Kujiwezesha Zimebanwa Ili Njaa Iwazofishe Kifikra Na Kuamini Serikali Ikiamua Kitu Haishindwi Hata Kukufirisi Ikiwezekana Hata Kama Umefanikiwa Kiuchumi

Ndiyo Maana Leo Tunaona Wenye Weredi Na Ushawishi MKubwa Kwenye Jamii Wanapoteza Mwelekeo Ili Wakae Mstari Mmoja Na Nyie Tayari Njaa Imewapoteza

Njaa Inakufanya Usifikiri Kwa Marefu, Njaa Inaweza Kukutia Upofu Usione Mbali, Njaa Inaweza Kukushawishi Ukafanya Mambo Ya Ajabu Sana

Leo Hii Ni Mwaka Na Miezi Kadhaa Pascal Mayalla Ameandika Uzi Huu Kwa Mawili Kwanza Kwa Mafumbo Pili Kama Vile Njaa Imempitia Hivyo Anashindwa Kifikiri

Najiaminisha Kwamba Alichoandika Sicho Alichomaanisha Sababu Pascal Mayalla Anamng'ong'a Tu Raisi Na Makonda

Sababu Sifa Kama Hizi Wale Mabwana Wakubwa Ndizo Wanazopenda Kusikia Na Ikiwezekana Pascal Akafanikisha Anayoyataka
​

​
 
Eti mwandishi wa habari!!! Jesus!!! Kweli nimeamini Tanzania hatuna waandishi Wa habari tuna katuni!!! Eti nina shahada ya sheria!!!!! Sheria my ass!!!!
 
E

Mkuu kula like zangu 1000 uvunje rekodi za like!!!!!!
 
Role ya Paulo na Gambo katika hii serikali inataka sana matumizi ya jicho la tatu kuitambua they are strongest figures in underground and long and short term political operations katika kuilinda na kuisafisha magogoni wanayaish maagizo wanapumua maagizo wanatembelea maagizo ya bwana mkubwa nafasi zao haziwez kuwa hatarini by any means coz mchango wao ni mkubwa katika kucheza na akili za watanzania
 
Unaandika kwa kujikanyaga kanyaga hueleweki unasimamia nini hasa.Au ndukusema mnatoka sehemu moja so akili zenu moja? Au unatumia makondra so akili hazipoapa
 
Urais sio sehemu ya majaribio, Makonda hana sifa yakua Rais wala uwaziri hana sifa, abakie na blah blah zake huku huku chini.
 
Eti mwandishi wa habari!!! Jesus!!! Kweli nimeamini Tanzania hatuna waandishi Wa habari tuna katuni!!! Eti nina shahada ya sheria!!!!! Sheria my ass!!!!
Waandishi njaa hawa, we have a long way to go asee,..
 
Back
Top Bottom