Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

Ndio Rais wetu ajae huyu kijana. Amethubutu kwa kweli. Anatufaa sana huko mbele.
 
Watu wa kanda ya ziwa wakipata madaraka inakua taaaaabu sana aiseee!....cjui tatizo lao ni nini yan
 
utakuwa mchawi mkubwa ukizeeka
 
Makonda sio kiongozi wa kuongoza watu akiwa juu ,ni vyema sana awe chini ila asiwe kiongozi aliye juu ,atatung'oa roho sisi wazee tunaodai madeni yetu
 
Aamishiwe mvomero na kilosa sakata la wakulima na wafugaji akimudu hilo atafaa kua raisi LA pili akimwaga pesa wazi wazi kama kipndi kilichopita hapo sawa
 
Hi post ya MTU wa division 5
 
usituletee ukanda hapa. kwani maeneo mengine hakuna watu wa kutawala
 
Umetumwa kuja kusema haya au umefikiria kwa akili yaako! Na wasiwasi unaweza ukawa na matatizo katika ubongo wako
 
Amtaje kwanza kwanza mtuhumiwa yule aliekuwa anamkfunga Viatu!!!
 
Kweli kabisa, tunataka watu kama kina makonda

Tatizo watu wameingiza uvyama kwenye huu uzi
 
Wasukuma mmeonjeshwa mnataka kutawala wenyewe. Vita ya kikabila ikizuka nyie ndio mtamwaga Damu nyingi kwa vile mmetapakaa kila kona ya nchi. Mtachinjwa kama kuku
Mkuu Ulukolokwitanga, tumeonjeshwa na nani wakati ndio wenyewe wenye asili ya Tanzania?. Ile kuachia wakuja, kumepelekea wakuja kujiona ndio deserving kiasi cha kuwaona wenyeji ndio wameonjeshwa! .

Ikitokea chinja chinja, nani atathubutu kumchinja mwenye nchi yake?.

Kiukweli makabila mengi asili yao ni watu wa kuja tuu, sasa mtu wa kuja anapokuwa mwenyeji kuliko mwenye asili yake, leaves much to be desired.

Mwalimu Nyerere aliisha tuondoa huko, naomba msiturudishe.

Paskali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…