Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,262
- 18,713
uvi uchaguzi ujao utafanyika lini?Rais Ajaye ni Mwigulu Nchemba
Sisi EM wakimkata atahamia CDM na atashinda...
Ethos
uvi uchaguzi ujao utafanyika lini?Rais Ajaye ni Mwigulu Nchemba
Sisi EM wakimkata atahamia CDM na atashinda...
Ethos
Hiyo laana ya kumpiga mzee Warioba ataingia nayo kiblaPascal hebu jaribu kumuogopa Mungu.
Yaani unamzungumzia Makonda huyu huyu alotupigia mzee wetu Warioba!
kampiga mzee tena jaji na waziri mkuu mstaafu sa unazani atashindwa nini kutukandamiza wanyonge.
hahahahha oh yes!Pasco is good.Inabidi uwe na utulivu kidogo kumsoma.Pasco, hii ni Sarcasm?
Teuzi zinaendelea.paschal mayalla , naona ukwenda kwenye ukomo kifikra.
Kama mwanasheria mkuu wa serikali na mwendesha mashtaka mkuu ni kabila moja na raisi pamoja na wakuu wa mikoa 10 kati ya 30 na wengine wamejipa mamlaka kubwa kuliko waliyopewa na katiba kwa vile wako kabila moja na raisi sisi makabila madogo tunawaangalia tu. Huku kwetu Rujewa tunawaangalia tuMkuu Ulukolokwitanga, tumeonjeshwa na nani wakati ndio wenyewe wenye asili ya Tanzania?. Ile kuachia wakuja, kumepelekea wakuja kujiona ndio deserving kiasi cha kuwaona wenyeji ndio wameonjeshwa! .
Ikitokea chinja chinja, nani atathubutu kumchinja mwenye nchi yake?.
Kiukweli makabila mengi asili yao ni watu wa kuja tuu, sasa mtu wa kuja anapokuwa mwenyeji kuliko mwenye asili yake, leaves much to be desired.
Mwalimu Nyerere aliisha tuondoa huko, naomba msiturudishe.
Paskali
Hatuchagui kiongozi kutokana na dini au kabila lake bali uwezo alionao kuliongoza taifa mkuu.NI ZAMU YA RAISI MUISLAMU; PUNGUZA MAPENZI PASCO
He will be material president,uko sahihiTUNAHITAJI RAISI MWENYE AKILI TIMAMU NA ASIYEKUWA NA PAPARA, I WISH AWE HUSSEIN MWINYI
Uzuri wenu mkiongoza mzunguko wa hela unakuwa mkubwa sana mtaani kila mtu anapata riziki kwa ajitumae rejea hawamu zilizopita,me nasubiria 25 nawezapata japo kibanda.2025 kumbuka ni zamu ya wezetu Waislamu.
Tupe sababu ya kupinga ,mi namkubali kwa uzoefu wake ,ameongoza wizara nyeti na shule ipo,pia hana papara .NOOOOOOOOOOOOO! Huyu hapana, labda Majaliwa k. Majaliwa
Ngosha nationMayalla huwa ni watu wa asili ya mkoa gani?
What's wrong with your ass?Eti mwandishi wa habari!!! Jesus!!! Kweli nimeamini Tanzania hatuna waandishi Wa habari tuna katuni!!! Eti nina shahada ya sheria!!!!! Sheria my ass!!!!