Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

Me naona ajae awe Membe,Mwinyi au Makamba wana kariba za uongozi hawana mihemuko,mikurupuko,wanapima mambo hasara na matokeo yao kabla hawajaongea,wana uzoefu wa uongozi uongozi ni kipaji,hawalewi sifa.tukitoka kwenye moto tukae kwenye baridi pia.
 
Wanabodi,
Kabla Magufuli hajawa rais wetu, sisi wengine wenu tulijua tangu mwaka 2014 na tukasema humu!.Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli

Miongoni mwa sifa zilizomuibua Magufuli ni sifa inayoitwa "uthubutu" unreasonably ambayo wengine huita ni udikiteta. Yaani kuachana na mambo ya kufuata sheria, taratibu na kanuni, ndiyo yametufikisha hapa, hawa viongozi wenye "uthubutu" hawahitaji kujua sheria, taratibu na kanuni, zinataka nini, bali hufanya lile linalowezekana,

Ndio maana tukasema humu, japo Magufuli kweli ni dikiteta, Tanzania mahali ilipofika ilimhitaji mtu kama Magufuli na Mwenyeenzi Mungu akaisikia sala yetu, akatupatia Magufuli!.
Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania Ilihitaji Dikiteta, Tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba!

Tukija kwa Makonda, muda mfupi baada ya kuteuliwa DC wa Kinondoni, akaonyesha uwezo, hivyo kama ilivyokuwa kwa Magufuli, mwaka 2014 tulisema ni Magufuli, na mwaka 2015 kweli akawa yeye. Vivyo hivyo kwa Makonda akiwa DC, akina sisi tukasema hivi Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
Na kweli haukupita muda akawa!.

Hivyo kwa hii kazi nzuri yote anayoifanya Magufuli, atakapoondoka ile 2025, kama hatamuachia nchi mtu mwenye kufuata nyayo zake, hii kazi nzuri yote ya Magufuli itakuwa ni kazi bure! . Hivyo nimeshauri Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?

Kwa vile katiba sio Msahafu, 2025 tuibadili katiba Magufuli aendelee indefinitely kama Mugabe, mpaka atakapo choka kabisa na kuwa hawezi tena kwa incapacitation, au tumsubirie Mungu, au Tanzania sasa na sisi tuanze mtindo wa spotting na headhunting na kumfantia grooming huyo headhunted.

Kwa maoni yangu Makonda atatufaa sana kumpokea Magufuli, maana kiukweli huyu Jamaa atatufaa sana kwa sababu ana uthubutu mkubwa zaidi kuliko hata Magufuli. Makonda akimpokea kiukweli kabisa Tanzania itanyooka.

Magufuli pamoja na mazuri yake, naye kama binadamu pia ana madhaifu na mapungufu yake, Vivyo hivyo Makonda pia sio malaika naye ana mapungufu yake, moja ya mapungufu makubwa ya Makonda ni inferiority complex inayopelekea ku practice superiority complex na kujikuta ana over do bila kujijua.

Mfano ni jinsi anavyojikomba komba kwa rais Magufuli mpaka kupindukia, karibu kila jambo lazima amtaje Magufuli tena kwa majina yake yote manne na sifa zake zote nne "Rais Wetu Mpendwa Mheshimiwa Dr. John Pombe Joseph Magufuli" (si mnajua watu wa Kanda yetu kwa kupenda masifa). Makonda lazima afike mahali aonyeshe anaweza kusimama on his own na sio kila wakati kutegemea apron strings za Magufuli.

2025 atatufaa sana. Kwa kuanzia 2020 akalichukue lile jimbo la yule mama pale, au akampumzishe Musukuma na kumshikisha adabu. Atashinda na kupewa moja ya portfolio zenye impact, ili 2025 ampokee Magufuli. Kitendo cha Magufuli kushika nchi, ni dalili ya Tanzania kutenda haki ya wengi wape, yaani wenye haki na uhalali wa kutawala nchi ni wale walio wengi. Baada ya Magufuli aje Makonda, na baada ya hapo kule kule mpaka na wengine wawe ni walio wengi! .

Makonda konyesha uwezo wa uthubutu, jee mnalionaje hili la kwanini asiwe Makonda kumpokea Magufuli?.

Kwa kwa wale mashabiki wa upinzani mtanisamehe bure, kwenye urais upinzani ni bado sana.

Paskali.
atatufahaa sana kwamana kiongozi wa akina chidi au wanyonge
 
Anajitahidi kutuonyesha na ajitahidi zaidi 2025 upinzani hauna mtu tutamkabidhi
 
Umri

Paskali

Nayaheshimu mawazo yako mkuu ila hilo haliwezekan
 
Kama mwanasheria mkuu wa serikali na mwendesha mashtaka mkuu ni kabila moja na raisi pamoja na wakuu wa mikoa 10 kati ya 30 na wengine wamejipa mamlaka kubwa kuliko waliyopewa na katiba kwa vile wako kabila moja na raisi sisi makabila madogo tunawaangalia tu. Huku kwetu Rujewa tunawaangalia tu
Mkuu Ulukolokwitanga, kwenye presidential appointment powers hakuna muongozo wowote wa wa kumuelekeza rais amteue nani, wala hakuna sifa wala vigezo. Rais anateua at his pleasure na kutengua at his pleasure. Hata akiteua vimada wake, hata akiteua watu wa kabila lake pekee hajavunja sheria yoyote, hajakiuka taratibu yoyote, wala kanuni yoyote.

Ila tukifuata haki bin haki bin haki, kwenye population ya milioni 50, Wasukuma ni milioni 10 ambayo ni equivalent ya 20% hivyo kwenye kila 5,mmoja lazima awe Msukuma, kwenye teuzi 10, wawili lazima wawe wawili, na, na kwenye teuzi 100, 20 lazima wawe Wasukuma, hii ni kwa kufuata propotion representation.

Muda fulani kabila fulani walipojazana TRA, watu hawakuliona, alipokuja fulani kina yakhe wakajazwa kila sehemu watu hawakuliona, sasa amekuja mtu wa charity begins at home, tunaanza kusema.

Paskali
 
Wanabodi,
Kabla Magufuli hajawa rais wetu, sisi wengine wenu tulijua tangu mwaka 2014 na tukasema humu!.Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli

Miongoni mwa sifa zilizomuibua Magufuli ni sifa inayoitwa "uthubutu" unreasonably ambayo wengine huita ni udikiteta. Yaani kuachana na mambo ya kufuata sheria, taratibu na kanuni, ndiyo yametufikisha hapa, hawa viongozi wenye "uthubutu" hawahitaji kujua sheria, taratibu na kanuni, zinataka nini, bali hufanya lile linalowezekana,

Ndio maana tukasema humu, japo Magufuli kweli ni dikiteta, Tanzania mahali ilipofika ilimhitaji mtu kama Magufuli na Mwenyeenzi Mungu akaisikia sala yetu, akatupatia Magufuli!.
Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania Ilihitaji Dikiteta, Tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba!

Tukija kwa Makonda, muda mfupi baada ya kuteuliwa DC wa Kinondoni, akaonyesha uwezo, hivyo kama ilivyokuwa kwa Magufuli, mwaka 2014 tulisema ni Magufuli, na mwaka 2015 kweli akawa yeye. Vivyo hivyo kwa Makonda akiwa DC, akina sisi tukasema hivi Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
Na kweli haukupita muda akawa!.

Hivyo kwa hii kazi nzuri yote anayoifanya Magufuli, atakapoondoka ile 2025, kama hatamuachia nchi mtu mwenye kufuata nyayo zake, hii kazi nzuri yote ya Magufuli itakuwa ni kazi bure! . Hivyo nimeshauri Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?

Kwa vile katiba sio Msahafu, 2025 tuibadili katiba Magufuli aendelee indefinitely kama Mugabe, mpaka atakapo choka kabisa na kuwa hawezi tena kwa incapacitation, au tumsubirie Mungu, au Tanzania sasa na sisi tuanze mtindo wa spotting na headhunting na kumfantia grooming huyo headhunted.

Kwa maoni yangu Makonda atatufaa sana kumpokea Magufuli, maana kiukweli huyu Jamaa atatufaa sana kwa sababu ana uthubutu mkubwa zaidi kuliko hata Magufuli. Makonda akimpokea kiukweli kabisa Tanzania itanyooka.

Magufuli pamoja na mazuri yake, naye kama binadamu pia ana madhaifu na mapungufu yake, Vivyo hivyo Makonda pia sio malaika naye ana mapungufu yake, moja ya mapungufu makubwa ya Makonda ni inferiority complex inayopelekea ku practice superiority complex na kujikuta ana over do bila kujijua.

Mfano ni jinsi anavyojikomba komba kwa rais Magufuli mpaka kupindukia, karibu kila jambo lazima amtaje Magufuli tena kwa majina yake yote manne na sifa zake zote nne "Rais Wetu Mpendwa Mheshimiwa Dr. John Pombe Joseph Magufuli" (si mnajua watu wa Kanda yetu kwa kupenda masifa). Makonda lazima afike mahali aonyeshe anaweza kusimama on his own na sio kila wakati kutegemea apron strings za Magufuli.

2025 atatufaa sana. Kwa kuanzia 2020 akalichukue lile jimbo la yule mama pale, au akampumzishe Musukuma na kumshikisha adabu. Atashinda na kupewa moja ya portfolio zenye impact, ili 2025 ampokee Magufuli. Kitendo cha Magufuli kushika nchi, ni dalili ya Tanzania kutenda haki ya wengi wape, yaani wenye haki na uhalali wa kutawala nchi ni wale walio wengi. Baada ya Magufuli aje Makonda, na baada ya hapo kule kule mpaka na wengine wawe ni walio wengi! .

Makonda konyesha uwezo wa uthubutu, jee mnalionaje hili la kwanini asiwe Makonda kumpokea Magufuli?.

Kwa kwa wale mashabiki wa upinzani mtanisamehe bure, kwenye urais upinzani ni bado sana.

Paskali.
Wewe pasco unaelekea kachanganyikiwa Kama Deogratius kisandu.
Urais siyo uthubutu wa kijinga jinga, urais ni hekima Sana, hata Hitler, Saddam, idd amin, Bokasaa na makatili wengine walikuwa na uthubutu na majasiri kuliko hata huyu mnayemsifia usiku kucha, eti Makonda awe rais, sijui nchi itafananaje, na ikitokea ujue Mungu kaichoka kabisa hii nchi na anataka kuiangamiza.
Uraisi siyo kushiba mayai na keki halafu unakuja na mihemko ya chuki Kwa watu wanaokukosoa, pasco acha kujikomboa Kwa watawala hawatakusaidia lolote bro, duniani tunapita, jikombe Kwa Mungu.
 
Mkuu Living Kereth, kwani kuna mtu anaandika humu kumshawishi mtu, au jf ni ukumbi huru kila mtu yuko huru to express his/her opinion, na kama umenisoma mwanzo nimesema, everyone has the right to his/her own opinions, hivyo hayo ndio mawazo yangu, baada ya Magufuli, Makonda atatufaa sana na sababu kubwa ni kuwa na uthubutu kuliko hata Magufuli.

Hili la mimi kuijua siasa au kutoijua ni relative, mimi nakiri siasa siijui siasa na ndio maana mpaka sasa, mimi sio mwanachama wa chama chochote cha siasa, ila pamoja na kutoijua siasa lakini niliisha wahi kuajiriwa mahali kama mshauri wa siasa, wa ubalozi fulani wa maana tuu, na kupewa nishani ya utumishi uliotukuka, jee wewe mwenzangu unaoijua siasa, umewahi kuwa nani kwenye siasa? . Hala hala usije kuniambia umewahi kuwa mjumbe wa nyumba kumi!.

Paskali
Mpaka sasa ni mwenyekiti Wa vijana Wa chama kikubwa cha siasa mkoa Wa pwani hapa Tanzania ndo maana nikakwambia naijua siasa na hata kama Jf haina mipaka ya kutoa maoni hayo nayaafiki naunga mkono hoja yako ila unikera kidogo pale unaponiambia makonda anatakiwa awe Rais after magufuli 2025 ni Nani aliyekuambia Tanzania ni nchi ya chama kimoja CCM ...ikumbukwe kwamba hii nchi hakuna taasisi yenye hati miliki ya kumiliki hii nchi milele wala hatuna utawala Wa kiimla ...so unapotamka kitu au kutoa maoni hujazuiwa kutoa maoni ila jaribu kutambua hii nchi sio Mali ya ccm ni Mali ya wananchi wote ...mwisho Wa kuwasilisha
 
Mlisema watajwe mapapa, wamitajwa mumeanza kulialia

Acha umbulula.
List ipo ikulu,kaamua kuchafua watu.
Unafikiri washirika wa Gwajima wanamwomba shetani?
Subiri wana maombi wafunge mfungo wa 3 kavu utaskia Mungu wa Israeli akijibu kwa moto:Yani unamlaza ndani mpakwa mafuta wa bWana?Okay,time will tell
 
Upo sahihi ndugu Makonda atatufaa kuwa rais 2025 ila CCM wawe makini wapizani wanaweza leta pressure ili aende kwao Makonda niadhina adimu sana kwa CCM
 
Mpaka sasa ni mwenyekiti Wa vijana Wa chama kikubwa cha siasa mkoa Wa pwani hapa Tanzania ndo maana nikakwambia naijua siasa na hata kama Jf haina mipaka ya kutoa maoni hayo nayaafiki naunga mkono hoja yako ila unikera kidogo pale unaponiambia makonda anatakiwa awe Rais after magufuli 2025 ni Nani aliyekuambia Tanzania ni nchi ya chama kimoja CCM ...ikumbukwe kwamba hii nchi hakuna taasisi yenye hati miliki ya kumiliki hii nchi milele wala hatuna utawala Wa kiimla ...so unapotamka kitu au kutoa maoni hujazuiwa kutoa maoni ila jaribu kutambua hii nchi sio Mali ya ccm ni Mali ya wananchi wote ...mwisho Wa kuwasilisha
Living, hongera kuwa mwanasiasa.
Kiukweli nafasi ya urais wa Tanzania, CCM ndicho chama pekee chenye hatimiliki ya kutawala Tanzania milele kwenye nafasi ya urais kufuatia ni CCM ndicho chama chenye long experience ya uzoefu wa muda mrefu kutoa rais, safari ya upinzani kwenye urais bado ni ndefu sana unless kama tunataka kufanya majaribio ya urais.

Hili la CCM, kutawala milele nimelizungumza sana humu.
Wenye Matumaini na Upinzani Kushika Dola!, Sahauni! CCM Inajiandaa Kuua Kabisa na Kuuzika Jumla !.

Balozi Karume: ‘CCM pekee iwe inasimamisha mgombea urais Zanzibar’

Paskali
 
safari hii tunahamia zanzibar! mnata msitake. tukitoka huko sasa inaweza kuwa zamu ya january kama atatunza nidhamu naona ndiye anayeweza kuwa rais wa awamu ya saba kwakuwa wakati huo ujana utakuwa umeisha atakuwa anaweza kutuendesha kwa busara zaidi. sio sasa bado anaweza kuwa anamakundi watakao hitaji fadhira kutoka kwake.
tuwe makini uzoefu unaonyesha marais waliopata madaraka wakiwa na umri wa chini ya miaka hamsini kwa miongo hii ya karibu wamekuwa wasumbufu na hawako tayari kutoka hivyo ni hatari kuwapa vijana katika umri huo kwa kuwa nafasi inahitaji busara zaidi kuliko akili.
ukitumia akili zaidi lazima itakusumbua tu hivyo makonda pamoja na kufanya vizuri bado hawezi kupata nafasi hiyo.
kingine mazingira yanaonyesha hizi nafasi mbili japo sio rasmi sana kuna kila dalili za kuachiana kwa zamu na kwa kanda hivyo hakuna atakayekubali kufanya upuuzi huo wa kuachia kanda yake ifanye kwa mfululizo (hii haiitaji usalama wa taifa ila tunaona busara ikitumika).
 
Wanabodi,
Kabla Magufuli hajawa rais wetu, sisi wengine wenu tulijua tangu mwaka 2014 na tukasema humu!.Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli

Miongoni mwa sifa zilizomuibua Magufuli ni sifa inayoitwa "uthubutu" unreasonably ambayo wengine huita ni udikiteta. Yaani kuachana na mambo ya kufuata sheria, taratibu na kanuni, ndiyo yametufikisha hapa, hawa viongozi wenye "uthubutu" hawahitaji kujua sheria, taratibu na kanuni, zinataka nini, bali hufanya lile linalowezekana,

Ndio maana tukasema humu, japo Magufuli kweli ni dikiteta, Tanzania mahali ilipofika ilimhitaji mtu kama Magufuli na Mwenyeenzi Mungu akaisikia sala yetu, akatupatia Magufuli!.
Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania Ilihitaji Dikiteta, Tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba!

Tukija kwa Makonda, muda mfupi baada ya kuteuliwa DC wa Kinondoni, akaonyesha uwezo, hivyo kama ilivyokuwa kwa Magufuli, mwaka 2014 tulisema ni Magufuli, na mwaka 2015 kweli akawa yeye. Vivyo hivyo kwa Makonda akiwa DC, akina sisi tukasema hivi Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
Na kweli haukupita muda akawa!.

Hivyo kwa hii kazi nzuri yote anayoifanya Magufuli, atakapoondoka ile 2025, kama hatamuachia nchi mtu mwenye kufuata nyayo zake, hii kazi nzuri yote ya Magufuli itakuwa ni kazi bure! . Hivyo nimeshauri Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?

Kwa vile katiba sio Msahafu, 2025 tuibadili katiba Magufuli aendelee indefinitely kama Mugabe, mpaka atakapo choka kabisa na kuwa hawezi tena kwa incapacitation, au tumsubirie Mungu, au Tanzania sasa na sisi tuanze mtindo wa spotting na headhunting na kumfantia grooming huyo headhunted.

Kwa maoni yangu Makonda atatufaa sana kumpokea Magufuli, maana kiukweli huyu Jamaa atatufaa sana kwa sababu ana uthubutu mkubwa zaidi kuliko hata Magufuli. Makonda akimpokea kiukweli kabisa Tanzania itanyooka.

Magufuli pamoja na mazuri yake, naye kama binadamu pia ana madhaifu na mapungufu yake, Vivyo hivyo Makonda pia sio malaika naye ana mapungufu yake, moja ya mapungufu makubwa ya Makonda ni inferiority complex inayopelekea ku practice superiority complex na kujikuta ana over do bila kujijua.

Mfano ni jinsi anavyojikomba komba kwa rais Magufuli mpaka kupindukia, karibu kila jambo lazima amtaje Magufuli tena kwa majina yake yote manne na sifa zake zote nne "Rais Wetu Mpendwa Mheshimiwa Dr. John Pombe Joseph Magufuli" (si mnajua watu wa Kanda yetu kwa kupenda masifa). Makonda lazima afike mahali aonyeshe anaweza kusimama on his own na sio kila wakati kutegemea apron strings za Magufuli.

2025 atatufaa sana. Kwa kuanzia 2020 akalichukue lile jimbo la yule mama pale, au akampumzishe Musukuma na kumshikisha adabu. Atashinda na kupewa moja ya portfolio zenye impact, ili 2025 ampokee Magufuli. Kitendo cha Magufuli kushika nchi, ni dalili ya Tanzania kutenda haki ya wengi wape, yaani wenye haki na uhalali wa kutawala nchi ni wale walio wengi. Baada ya Magufuli aje Makonda, na baada ya hapo kule kule mpaka na wengine wawe ni walio wengi! .

Makonda konyesha uwezo wa uthubutu, jee mnalionaje hili la kwanini asiwe Makonda kumpokea Magufuli?.

Kwa kwa wale mashabiki wa upinzani mtanisamehe bure, kwenye urais upinzani ni bado sana.

Paskali.
Hivi una watoto wa kike hapo nyumbani ?[emoji12]
Tuanzie hapo kwanza.!
 
Hahaha,

Kweli Makonda anafaa kabisa kuwa mkuu wa nchi. Na uzoefu atapata wa kutosha tu. kiitifaki sasa hivi ni kama namba 2 baada ya mwenye nchi.
Aendelee kuachiwa nafasi zaidi za kuonesha makeke yake.

Nakushukuru sana Pascal Mayalla kwa kunionjesha ulichokunywa.

Si kwa maono haya!
 
Wanabodi,
Kabla Magufuli hajawa rais wetu, sisi wengine wenu tulijua tangu mwaka 2014 na tukasema humu!.Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli

Miongoni mwa sifa zilizomuibua Magufuli ni sifa inayoitwa "uthubutu" unreasonably ambayo wengine huita ni udikiteta. Yaani kuachana na mambo ya kufuata sheria, taratibu na kanuni, ndiyo yametufikisha hapa, hawa viongozi wenye "uthubutu" hawahitaji kujua sheria, taratibu na kanuni, zinataka nini, bali hufanya lile linalowezekana,

Ndio maana tukasema humu, japo Magufuli kweli ni dikiteta, Tanzania mahali ilipofika ilimhitaji mtu kama Magufuli na Mwenyeenzi Mungu akaisikia sala yetu, akatupatia Magufuli!.
Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania Ilihitaji Dikiteta, Tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba!

Tukija kwa Makonda, muda mfupi baada ya kuteuliwa DC wa Kinondoni, akaonyesha uwezo, hivyo kama ilivyokuwa kwa Magufuli, mwaka 2014 tulisema ni Magufuli, na mwaka 2015 kweli akawa yeye. Vivyo hivyo kwa Makonda akiwa DC, akina sisi tukasema hivi Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
Na kweli haukupita muda akawa!.

Hivyo kwa hii kazi nzuri yote anayoifanya Magufuli, atakapoondoka ile 2025, kama hatamuachia nchi mtu mwenye kufuata nyayo zake, hii kazi nzuri yote ya Magufuli itakuwa ni kazi bure! . Hivyo nimeshauri Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?

Kwa vile katiba sio Msahafu, 2025 tuibadili katiba Magufuli aendelee indefinitely kama Mugabe, mpaka atakapo choka kabisa na kuwa hawezi tena kwa incapacitation, au tumsubirie Mungu, au Tanzania sasa na sisi tuanze mtindo wa spotting na headhunting na kumfantia grooming huyo headhunted.

Kwa maoni yangu Makonda atatufaa sana kumpokea Magufuli, maana kiukweli huyu Jamaa atatufaa sana kwa sababu ana uthubutu mkubwa zaidi kuliko hata Magufuli. Makonda akimpokea kiukweli kabisa Tanzania itanyooka.

Magufuli pamoja na mazuri yake, naye kama binadamu pia ana madhaifu na mapungufu yake, Vivyo hivyo Makonda pia sio malaika naye ana mapungufu yake, moja ya mapungufu makubwa ya Makonda ni inferiority complex inayopelekea ku practice superiority complex na kujikuta ana over do bila kujijua.

Mfano ni jinsi anavyojikomba komba kwa rais Magufuli mpaka kupindukia, karibu kila jambo lazima amtaje Magufuli tena kwa majina yake yote manne na sifa zake zote nne "Rais Wetu Mpendwa Mheshimiwa Dr. John Pombe Joseph Magufuli" (si mnajua watu wa Kanda yetu kwa kupenda masifa). Makonda lazima afike mahali aonyeshe anaweza kusimama on his own na sio kila wakati kutegemea apron strings za Magufuli.

2025 atatufaa sana. Kwa kuanzia 2020 akalichukue lile jimbo la yule mama pale, au akampumzishe Musukuma na kumshikisha adabu. Atashinda na kupewa moja ya portfolio zenye impact, ili 2025 ampokee Magufuli. Kitendo cha Magufuli kushika nchi, ni dalili ya Tanzania kutenda haki ya wengi wape, yaani wenye haki na uhalali wa kutawala nchi ni wale walio wengi. Baada ya Magufuli aje Makonda, na baada ya hapo kule kule mpaka na wengine wawe ni walio wengi! .

Makonda konyesha uwezo wa uthubutu, jee mnalionaje hili la kwanini asiwe Makonda kumpokea Magufuli?.

Kwa kwa wale mashabiki wa upinzani mtanisamehe bure, kwenye urais upinzani ni bado sana.

Paskali.
Nnaimani unatambua uwepo wa sheria/taratibu ambazo hazijaandikwa lakini zisipo fuatwa zina athari kubwa hasa katika tanzania hii.

Kwa mtazamo wako,inatakiwa abadilishe dini awe muisilamu.......!
 
Back
Top Bottom