kweleakwelea
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 3,072
- 1,545
Ileeee biashara ya magenerator?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uongo,,umeme unakatika kila siku..Kwa hapa mbeya tunashukuru umeme haukatiki sana saivi, hata jenereta imebidi niwe naliacha nyumbani.
Simtetei mleta Uzi ila nakazia, kipindi maza anaongea hayo pale tanga, marehemu dikiteta magufuli alikuwa tayari keshang'ata shuka, yule mlangira aliyekuwa katibu kiongozi alimpangia ziara za kanyaboya ili ajaribu kubinua meza aukwae urais, ndio maana ccm halisi walimpopoa yule mlangira.Matatizo ya umeme kukatikakatika yalianza toka mwaka jana mwezi wa kumi sijajua tatizo nini hata Rais Samia akiwa Makamu wa Rais alisema kukatikakatika umeme sasa basi maneno hayo aliyasema akiwa ziarani Mkoani Tanga tusipende kupotosha vitu bila sababu yoyote ya msingi
UpangaDar ipi hiyo umeme ulikua unakatika
Au ile ya JK na Lowasa 🙄🙄🙄
Sawa kabisa."Legasi haitetewi ,legasi inajitetea yenyewe" - Nape.
Na wewe utakufa kifo gani? Maana kama unajuwa na changu na cha kwako unakijua.mkuu nakutabiria utakufa kifo kibaya sana
Hapumziki popote Shetani mkubwa yule. Watu aliwadhuru wanaendelea kupiga spanna huko huko Jehanam alikopekekwa. DaadadekBaba pumzika mahali pema peponi , Aaaamen, tutakukumbuka kwa mengi .
Dar ya wapi hiyo?Huyo JPM angekuwa anafanana na mnavyomuandika basi asingekufa.
Kwa sisi wakazi wa Dar es Salaam miaka yote 5 ya Mwendazake umeme ulikuwa unakatika kwa kiwango hiki hiki cha wakati wa Samia
Ushahidi: Tafuta kauli za Kalemani akiwakaripia wafanyakazi wa TANESCO kwenye Google
Acha unafiki na kuzusha urongo usio na msingi... laiti kama mwendazake alitatua shida za umeme kukatika katika kusingekuwa na 'majenereta' madukani... kuna mada humu iliwekwa wakati mama Samia ameapishwa kwamba aanze na Tanesco kuna madudu pale...JPM aliwahi kujitabiria kwamba watanzania watamkumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya.
Hii katakata ya umeme hapa Iringa manispaa ambako tangu JPM afariki naona imekuwa kawaida kila siku umeme unakatwa, tena bila taarifa yoyote. Kata kata hii ilipigwa marufuku kipindi cha JPM na kauli yake mashuhuri kipindi akiwa hai ilikuwa "yeyote atakayekata umeme atakatika yeye" iliwafanya watendaji wa Tanesco kuwa makini muda wote, na ni kweli umeme ulikuwa stable sana enzi za JPM. Hii yote inadhihirisha umuhimu wa kuwa na kiongozi imara pale juu.
Mama Samia chonde chonde usifanye watanzania tummiss JPM zaidi ya ile kawaida. Uliahidi mwenyewe kwamba mazuri ya JPM utayaendeleza lakini tangu umekalia kiti haijasikika sauti yako thabiti juu ya upuuzi puuzi kama huu wa Tanesco kukata umeme mara kwa mara namna hii.
Nafikiri hiyo tabu ya umeme itakuwa ndio ticket ya kuondoka kwa RC/DC.JPM aliwahi kujitabiria kwamba watanzania watamkumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya.
Hii katakata ya umeme hapa Iringa manispaa ambako tangu JPM afariki naona imekuwa kawaida kila siku umeme unakatwa, tena bila taarifa yoyote. Kata kata hii ilipigwa marufuku kipindi cha JPM na kauli yake mashuhuri kipindi akiwa hai ilikuwa "yeyote atakayekata umeme atakatika yeye" iliwafanya watendaji wa Tanesco kuwa makini muda wote, na ni kweli umeme ulikuwa stable sana enzi za JPM. Hii yote inadhihirisha umuhimu wa kuwa na kiongozi imara pale juu.
Mama Samia chonde chonde usifanye watanzania tummiss JPM zaidi ya ile kawaida. Uliahidi mwenyewe kwamba mazuri ya JPM utayaendeleza lakini tangu umekalia kiti haijasikika sauti yako thabiti juu ya upuuzi puuzi kama huu wa Tanesco kukata umeme mara kwa mara namna hii.
HaswaaKuna wilaya moja nipo umeme unawaka nusu ya mji tu na kwingine ni kiza nadhani ni siku ya Saba Leo au zaidi.
JPM aliwahi kujitabiria kwamba watanzania watamkumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya.
Hii katakata ya umeme hapa Iringa manispaa ambako tangu JPM afariki naona imekuwa kawaida kila siku umeme unakatwa, tena bila taarifa yoyote. Kata kata hii ilipigwa marufuku kipindi cha JPM na kauli yake mashuhuri kipindi akiwa hai ilikuwa "yeyote atakayekata umeme atakatika yeye" iliwafanya watendaji wa Tanesco kuwa makini muda wote, na ni kweli umeme ulikuwa stable sana enzi za JPM. Hii yote inadhihirisha umuhimu wa kuwa na kiongozi imara pale juu.
Mama Samia chonde chonde usifanye watanzania tummiss JPM zaidi ya ile kawaida. Uliahidi mwenyewe kwamba mazuri ya JPM utayaendeleza lakini tangu umekalia kiti haijasikika sauti yako thabiti juu ya upuuzi puuzi kama huu wa Tanesco kukata umeme mara kwa mara namna hii.
Huyo ndiyo basha wako mpya??Mbinu za medani: Aida Khenan, Mbunge wa Nkasi ndiyo awe Mwenyekiti wa CHADEMA
Habari wanajukwaa, Kufuatia uchaguzi kuisha na CHADEMA kuambulia Mbunge mmoja huko Nkasi Kaskazini, Aida Khenan aliyeibuka mshindi kwa kumbwaga mbunge machachari wa CCM Ally kesi aliyeliongoza jimbo hilo kwa miaka kumi! Ikumbukwe Aida Khenan licha ya yeye kuibuka kidedea pia kwenye jimbo lake...www.jamiiforums.com
Mbinu za medani: Aida Khenan, Mbunge wa Nkasi ndiyo awe Mwenyekiti wa CHADEMA
tuliandika hapa kuhusu TANESCO wiki zilizopita wakatubeza eti sisi ni "sukuma gang".....muda si mrefu wale vichwa ngumu wa TANESCO wataanza kufungulia mabwawa ya maji ili kuwe na mgao...
Muda ni hakimu mzuri, tunarudi kulekule!
Siyo kweli hakuna mabadiliko kwa situation ya umeme. Kukatika ni kulekule. Mnaongeza chumvi ili kum discredit Rais SSH.tuliandika hapa kuhusu TANESCO wiki zilizopita wakatubeza eti sisi ni "sukuma gang".....muda si mrefu wale vichwa ngumu wa TANESCO wataanza kufungulia mabwawa ya maji ili kuwe na mgao...
Muda ni hakimu mzuri, tunarudi kulekule!
Hata wakati hayati yupo kulikua kunakatika umeme hilo mwenyew nililiona tang asubuh unarud jion. Hii kitu mliojijengea kua ni tu ndo mwenye uwezo wa kuongoza nchi wengine hawawez ni ujinga. Taifa letu lina watu wengi wenye uwezo huoHizo technical problems ambazo hazikujitokeza kipindi cha JPM ndio zimeanza kujitokeza mara tu baada ya JPM?
ngoja tukuitie wadau TANESCOJPM aliwahi kujitabiria kwamba watanzania watamkumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya.