Baada ya Magufuli, TANESCO wanaanza kata kata ya umeme

Matatizo ya umeme kukatikakatika yalianza toka mwaka jana mwezi wa kumi sijajua tatizo nini hata Rais Samia akiwa Makamu wa Rais alisema kukatikakatika umeme sasa basi maneno hayo aliyasema akiwa ziarani Mkoani Tanga tusipende kupotosha vitu bila sababu yoyote ya msingi
Simtetei mleta Uzi ila nakazia, kipindi maza anaongea hayo pale tanga, marehemu dikiteta magufuli alikuwa tayari keshang'ata shuka, yule mlangira aliyekuwa katibu kiongozi alimpangia ziara za kanyaboya ili ajaribu kubinua meza aukwae urais, ndio maana ccm halisi walimpopoa yule mlangira.
 
"Legasi haitetewi ,legasi inajitetea yenyewe" - Nape.
Sawa kabisa.
Ukifanya jema huna haja ya kusimama kwenye majukwaa na kuanza kutangaza mema uliyoyafanya kwani watu wstayaona tu.
Ukiwa muuaji lazima uwe unasemasema sana kufukia uovu wako.
Kama vile hatujawahi kumsikia mtu akitangaza sukari au asali
 
mkuu nakutabiria utakufa kifo kibaya sana
Na wewe utakufa kifo gani? Maana kama unajuwa na changu na cha kwako unakijua.

Kumbukeni Magufuli alikuwa analindwa na kikosi Maalum cha Askari wenye sare na wasio na sare, Askari wenye mabastola na AK 47, Askari wenye ving'amuzi vya kwenye laptop, magari ya Internet Jammer na utambuzi wa vilipuzi.

Lakini akafa kwa mafua ya Corona aliyoyadharau.

Usinitishe
 
Baba pumzika mahali pema peponi , Aaaamen, tutakukumbuka kwa mengi .
Hapumziki popote Shetani mkubwa yule. Watu aliwadhuru wanaendelea kupiga spanna huko huko Jehanam alikopekekwa. Daadadek
 
tuliandika hapa kuhusu TANESCO wiki zilizopita wakatubeza eti sisi ni "sukuma gang".....muda si mrefu wale vichwa ngumu wa TANESCO wataanza kufungulia mabwawa ya maji ili kuwe na mgao...
Muda ni hakimu mzuri, tunarudi kulekule!
 
Kwani humu jf si kuna uzi wa tanesco?!
Embu nenda kachungulie uone trend ya umeme enzi za jpm ilikuwaje.
 
Huyo JPM angekuwa anafanana na mnavyomuandika basi asingekufa.

Kwa sisi wakazi wa Dar es Salaam miaka yote 5 ya Mwendazake umeme ulikuwa unakatika kwa kiwango hiki hiki cha wakati wa Samia
Ushahidi: Tafuta kauli za Kalemani akiwakaripia wafanyakazi wa TANESCO kwenye Google
Dar ya wapi hiyo?
 
umeme miaka yoote ya mwenda zake ni tatizo ila watu walikua hawsubutu kusema.
 
JPM aliwahi kujitabiria kwamba watanzania watamkumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya.

Hii katakata ya umeme hapa Iringa manispaa ambako tangu JPM afariki naona imekuwa kawaida kila siku umeme unakatwa, tena bila taarifa yoyote. Kata kata hii ilipigwa marufuku kipindi cha JPM na kauli yake mashuhuri kipindi akiwa hai ilikuwa "yeyote atakayekata umeme atakatika yeye" iliwafanya watendaji wa Tanesco kuwa makini muda wote, na ni kweli umeme ulikuwa stable sana enzi za JPM. Hii yote inadhihirisha umuhimu wa kuwa na kiongozi imara pale juu.

Mama Samia chonde chonde usifanye watanzania tummiss JPM zaidi ya ile kawaida. Uliahidi mwenyewe kwamba mazuri ya JPM utayaendeleza lakini tangu umekalia kiti haijasikika sauti yako thabiti juu ya upuuzi puuzi kama huu wa Tanesco kukata umeme mara kwa mara namna hii.
Acha unafiki na kuzusha urongo usio na msingi... laiti kama mwendazake alitatua shida za umeme kukatika katika kusingekuwa na 'majenereta' madukani... kuna mada humu iliwekwa wakati mama Samia ameapishwa kwamba aanze na Tanesco kuna madudu pale...
Jisahaulishe kwa maana kujitoa akili pia ni akili... ila unafanya hivyo kwa maslahi ya nani? Je ndio ile 'legacy' itaonekana? Vema kusimama katika ukweli ili uwe huru kuliko kujitesa nafsi kwa alinacha na ndoto mfu.
 
JPM aliwahi kujitabiria kwamba watanzania watamkumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya.

Hii katakata ya umeme hapa Iringa manispaa ambako tangu JPM afariki naona imekuwa kawaida kila siku umeme unakatwa, tena bila taarifa yoyote. Kata kata hii ilipigwa marufuku kipindi cha JPM na kauli yake mashuhuri kipindi akiwa hai ilikuwa "yeyote atakayekata umeme atakatika yeye" iliwafanya watendaji wa Tanesco kuwa makini muda wote, na ni kweli umeme ulikuwa stable sana enzi za JPM. Hii yote inadhihirisha umuhimu wa kuwa na kiongozi imara pale juu.

Mama Samia chonde chonde usifanye watanzania tummiss JPM zaidi ya ile kawaida. Uliahidi mwenyewe kwamba mazuri ya JPM utayaendeleza lakini tangu umekalia kiti haijasikika sauti yako thabiti juu ya upuuzi puuzi kama huu wa Tanesco kukata umeme mara kwa mara namna hii.
Nafikiri hiyo tabu ya umeme itakuwa ndio ticket ya kuondoka kwa RC/DC.
 
Mbinu za medani: Aida Khenan, Mbunge wa Nkasi ndiyo awe Mwenyekiti wa CHADEMA
 
Huyo ndiyo basha wako mpya??
 
tuliandika hapa kuhusu TANESCO wiki zilizopita wakatubeza eti sisi ni "sukuma gang".....muda si mrefu wale vichwa ngumu wa TANESCO wataanza kufungulia mabwawa ya maji ili kuwe na mgao...
Muda ni hakimu mzuri, tunarudi kulekule!

Kama umeme unajitosheleza basi kusingeanzishwa "Stegolaz goji"........Kama kukatika umeme ni mgao basi hadi enzi za mwendazake umeme ulikuwa unakatika...watu wakilalamika ndio Tanesco wanakuja na taarifa kwamba walikuwa wanasafisha visima vya gesi.

Hata Ungekuwa wewe Meneja mkuum,mkurugenzi mkuu,meneja usambazaji,meneja manunuzi etc umeme ungekuwa unakatika tu ,hata tukiwa na Megawati elfu 40 bado umeme ungekatika....Umeme unakatika kwa mambo mengi sio tu kwasababu ya mgao.
 
tuliandika hapa kuhusu TANESCO wiki zilizopita wakatubeza eti sisi ni "sukuma gang".....muda si mrefu wale vichwa ngumu wa TANESCO wataanza kufungulia mabwawa ya maji ili kuwe na mgao...
Muda ni hakimu mzuri, tunarudi kulekule!
Siyo kweli hakuna mabadiliko kwa situation ya umeme. Kukatika ni kulekule. Mnaongeza chumvi ili kum discredit Rais SSH.

Mwacheni Mama atawale kwa hekima na uungwana. Yule wa mihemuko Mwendazake haamuki tena. Kama mnampenda kufeni na nyie!!! Daaadadekkki
 
Hizo technical problems ambazo hazikujitokeza kipindi cha JPM ndio zimeanza kujitokeza mara tu baada ya JPM?
Hata wakati hayati yupo kulikua kunakatika umeme hilo mwenyew nililiona tang asubuh unarud jion. Hii kitu mliojijengea kua ni tu ndo mwenye uwezo wa kuongoza nchi wengine hawawez ni ujinga. Taifa letu lina watu wengi wenye uwezo huo
 
JPM aliwahi kujitabiria kwamba watanzania watamkumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya.

Hii katakata ya umeme hapa Iringa manispaa ambako tangu JPM afariki naona imekuwa kawaida kila siku umeme unakatwa, tena bila taarifa yoyote. Kata kata hii ilipigwa marufuku kipindi cha JPM na kauli yake mashuhuri kipindi akiwa hai ilikuwa "yeyote atakayekata umeme atakatika yeye" iliwafanya watendaji wa Tanesco kuwa makini muda wote, na ni kweli umeme ulikuwa stable sana enzi za JPM. Hii yote inadhihirisha umuhimu wa kuwa na kiongozi imara pale juu.

Mama Samia chonde chonde usifanye watanzania tummiss JPM zaidi ya ile kawaida. Uliahidi mwenyewe kwamba mazuri ya JPM utayaendeleza lakini tangu umekalia kiti haijasikika sauti yako thabiti juu ya upuuzi puuzi kama huu wa Tanesco kukata umeme mara kwa mara namna hii.
ngoja tukuitie wadau TANESCO

Ova
 
Back
Top Bottom