ya wajinga na ya madikteta ukipenda kusifiwa na ukipigwa dingo pokea usipende mazur tuHuwezi kushindana na siri kali ukabaki salama hapo dawà ni dogo achutame tu.
Au aputukeHuwezi kushindana na siri kali ukabaki salama hapo dawà ni dogo achutame tu.
utasikia tafaran DIAMOND KWA ZARI AMEMWAGWAAAAA[emoji23] [emoji23] [emoji23] ...Oooh ghafla visenti sina nimerudi tandale,
Nimeshindwa kulipa bima nimeuza madale,
radio nyimbo wamezima TV ndiyo hataree,
Umeneja umebaki jina hanitaki hata tataleee
Ooh wale mashabiki zangu walionisifu kwa maneno matamu, leo ndiyo maadui zangu ni mitusi tu kwa Jamii forum,
Kimwana si dada yangu eti naye hanifahamu,
Hata WCB nikiwapigia wananifokea hata salamu.
[emoji4] [emoji441] [emoji444]
Yametimiaaaaaaa..... !!
Kwan umekaa karbu na chamber ya choo?Kuna harufu fulani si nzuri naisikia
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kama nchi ingekua shati wengi wangevua wakabaki matumbo wazi.
Redio nyimbo wamezima Tv ndo hataree yametimia...utasikia tafaran DIAMOND KWA ZARI AMEMWAGWAAAAA[emoji23] [emoji23] [emoji23] ...
yametimia
Mkuu kina tofauti ya punda milia kumrushia simba mateke na sungura kumpiga simba mateke!!! Na sungura Mara ngingi akiiga pundamilia kurushia simba mateke ataishia kubayHamna kitu hapo!
Kwanza hoja inayotumika; kwamba eti "kushindana na serikali" ni baseless argument inayoashiria kwamba serikali ni bubwashwa kubwa na lenye maguvu lisilostahili kuwa challenged na raia!!
Ni ile kudhani only politicians ndio wanaoweza kuisakama serikali kwa maneno makali!
Aliyoongea Diamond endapo angeongea Mwanasiasa ingeonekana ni kawaida lakini kv limeongelewa na raia; inaonekana HAPANA na huo ni utovu wa nidhamu!!
Na raia wenyewe tunaona ni kweli hatuna hiyo haki as if nchi hii ina katiba mbili... za raia na wanasiasa!