Baada ya mahojiano na Diamond, Times FM wawekwa kikaangoni na kamati ya maudhui ya TCRA

Baada ya mahojiano na Diamond, Times FM wawekwa kikaangoni na kamati ya maudhui ya TCRA

hili linchii banaa..kila kitu linataka kuharibu....msanii anapambana na hali yake ngumu ya maisha kutoka liserikali linataka kumshushaa badala ya kumsupport....mkiambiwa ukweli mnapanic! si muende mkawapambne na watoto wenu na wake zenu ndo hawata wachallange sababu mnawalisha..
 
Wasanii ngoja tu wasomeshwe namba maana waliipa support kubwa sana CCM ikafanya waty wengi wenye elimu duni wakaipigia ccm kura kwa kuwashabikia hao wasanii.

Na waisome namba tu
 
Hamna kitu hapo!

Kwanza hoja inayotumika; kwamba eti "kushindana na serikali" ni baseless argument inayoashiria kwamba serikali ni bubwashwa kubwa na lenye maguvu lisilostahili kuwa challenged na raia!!

Ni ile kudhani only politicians ndio wanaoweza kuisakama serikali kwa maneno makali!

Aliyoongea Diamond endapo angeongea Mwanasiasa ingeonekana ni kawaida lakini kv limeongelewa na raia; inaonekana HAPANA na huo ni utovu wa nidhamu!!

Na raia wenyewe tunaona ni kweli hatuna hiyo haki as if nchi hii ina katiba mbili... za raia na wanasiasa!
 
Hii Kikk usidhani itaisha hivihivi bila bila mwenye nyumba kutembea nayo mbele kwa mbele, na kwa kuzingatia nyuma ya kauli za kishujaa za Simba yupo rais wa Darelesama mda si mrefu atasikika baba J akimtetea Simba na mjadala utakuwa umefungwa rasmi. My take Shonza ajitafakali labda aachie ngazi au asubiri kuumbuka asidhani baba J, atafurahia Simba akiendewa kombo na sakata hili kwa kuwa alihusika kwa asilimia kubwa kumjazia watu viwanja vya kampeni.
 
Oooh ghafla visenti sina nimerudi tandale,
Nimeshindwa kulipa bima nimeuza madale,

radio nyimbo wamezima TV ndiyo hataree,
Umeneja umebaki jina hanitaki hata tataleee

Ooh wale mashabiki zangu walionisifu kwa maneno matamu, leo ndiyo maadui zangu ni mitusi tu kwa Jamii forum,

Kimwana si dada yangu eti naye hanifahamu,
Hata WCB nikiwapigia wananifokea hata salamu.

[emoji4] [emoji441] [emoji444]
Yametimiaaaaaaa..... !!
utasikia tafaran DIAMOND KWA ZARI AMEMWAGWAAAAA[emoji23] [emoji23] [emoji23] ...
yametimia
 
Batalokota benyewe kunyavu.batanzani mlipewa uhuru wa kujieleza matokeo yake mkavuka mipaka na sasa mnarudishwa kwenye mipaka yenu.tulieni dawa iwaingia japo najua sindano inauma na kamwe haijawahi kua rafiki kwa mtto yeyote.amin
 
Hamna kitu hapo!

Kwanza hoja inayotumika; kwamba eti "kushindana na serikali" ni baseless argument inayoashiria kwamba serikali ni bubwashwa kubwa na lenye maguvu lisilostahili kuwa challenged na raia!!

Ni ile kudhani only politicians ndio wanaoweza kuisakama serikali kwa maneno makali!

Aliyoongea Diamond endapo angeongea Mwanasiasa ingeonekana ni kawaida lakini kv limeongelewa na raia; inaonekana HAPANA na huo ni utovu wa nidhamu!!

Na raia wenyewe tunaona ni kweli hatuna hiyo haki as if nchi hii ina katiba mbili... za raia na wanasiasa!
Mkuu kina tofauti ya punda milia kumrushia simba mateke na sungura kumpiga simba mateke!!! Na sungura Mara ngingi akiiga pundamilia kurushia simba mateke ataishia kubay
 
Lips Denda Angeacha Mabishano Na Hao Jamaa Yeye Angefanya Kazi Tuuu

Kubishana Nao Ndio Kuzid Kuwatengeneza Maadui Wengi Ambao Wapo Katika Secta Muhim

Wakizitumia Vzr Unaweza Kuangushwa Mchana Kweupe
 
Hivi ni "dharau na kejeli" zipi alizotoa Diamond wakati akimjibu Shonza?
 
First they came for the Socialists, and I did not speak out—
Because I was not a Socialist.

Then they came for the Trade Unionists, and I did not speak out—
Because I was not a Trade Unionist.

Then they came for the Jews, and I did not speak out—
Because I was not a Jew.

Then they came for me—and there was no one left to speak for me.

Martin Niemöller

Diamond alisema yeye hasemi. Sasa anasena?
 
Swali la msingi lijibiwe kwanza... Huyo NW ana msaada gani kwa wasanii?
 
Back
Top Bottom