Hoja sio kuishia pazuri au pabaya bali hoja ni ikiwa pana kosa limetendeka au hapana!Mkuu kina tofauti ya punda milia kumrushia simba mateke na sungura kumpiga simba mateke!!! Na sungura Mara ngingi akiiga pundamilia kurushia simba mateke ataishia kubay
Ni utumwa kutaka kwavile mhusika ni kiongozi basi ni LAZIMA aongelewe kwa unyenyekevu as if ni Baba Paroko!
Mbaya zaidi; changamoto zote za tasnia zilizosemwa hawazizungumzii na hoja imekuwa eti kushindana na serikali!
Ni serikali ya aina gani hiyo inayotisha civilian opinions kwa hoja eti "kushindana" na serikali!
Ni ujinga kwa akina Mwakyembe wakidhani mtu ataongea kwa unyenyekevu hata baada ya ku-invest zaidi ya 50M kwenye kazi yake na kisha ukaifungia!!