Baada ya mahojiano na Diamond, Times FM wawekwa kikaangoni na kamati ya maudhui ya TCRA

Baada ya mahojiano na Diamond, Times FM wawekwa kikaangoni na kamati ya maudhui ya TCRA

Mkuu kina tofauti ya punda milia kumrushia simba mateke na sungura kumpiga simba mateke!!! Na sungura Mara ngingi akiiga pundamilia kurushia simba mateke ataishia kubay
Hoja sio kuishia pazuri au pabaya bali hoja ni ikiwa pana kosa limetendeka au hapana!

Ni utumwa kutaka kwavile mhusika ni kiongozi basi ni LAZIMA aongelewe kwa unyenyekevu as if ni Baba Paroko!

Mbaya zaidi; changamoto zote za tasnia zilizosemwa hawazizungumzii na hoja imekuwa eti kushindana na serikali!

Ni serikali ya aina gani hiyo inayotisha civilian opinions kwa hoja eti "kushindana" na serikali!

Ni ujinga kwa akina Mwakyembe wakidhani mtu ataongea kwa unyenyekevu hata baada ya ku-invest zaidi ya 50M kwenye kazi yake na kisha ukaifungia!!
 
Batalokota benyewe kunyavu.batanzani mlipewa uhuru wa kujieleza matokeo yake mkavuka mipaka na sasa mnarudishwa kwenye mipaka yenu.tulieni dawa iwaingia japo najua sindano inauma na kamwe haijawahi kua rafiki kwa mtto yeyote.amin
Hahaha haha Batayamba na kukoyola [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Nilichogundua Diamond ni kijana mwenye nguvu na ushawishi sana hapa TZ.

Interview aliyofanya imezidisha umaarufu kwa Times fm, mtangazaji Lil Ommy, Juliana Shonza na Basata. Hasa hasa hiyo radio na mtangazaji wake kuna watu naamini walikuwa hawaijui kabisa au kuisikia hiyo radio pamoja na mtangazaji huyo ila wiki hii wanazungumziwa kutokana na Diamond.
Tunaheshimu kama maoni yako
 
hili linchii banaa..kila kitu linataka kuharibu....msanii anapambana na hali yake ngumu ya maisha kutoka liserikali linataka kumshushaa badala ya kumsupport....mkiambiwa ukweli mnapanic! si muende mkawapambne na watoto wenu na wake zenu ndo hawata wachallange sababu mnawalisha..
sheria zimewekwa ili zifuatwe kulinda maslahi ya wananchi
 
Hoja sio kuishia pazuri au pabaya bali hoja ni ikiwa pana kosa limetendeka au hapana!

Ni utumwa kutaka kwavile mhusika ni kiongozi basi ni LAZIMA aongelewe kwa unyenyekevu as if ni Baba Paroko!

Mbaya zaidi; changamoto zote za tasnia zilizosemwa hawazizungumzii na hoja imekuwa eti kushindana na serikali!

Ni serikali ya aina gani hiyo inayotisha civilian opinions kwa hoja eti "kushindana" na serikali!

Ni ujinga kwa akina Mwakyembe wakidhani mtu ataongea kwa unyenyekevu hata baada ya ku-invest zaidi ya 50M kwenye kazi yake na kisha ukaifungia!!
Pawe pana kosa au hakuna mm nataka waende na huo huo mwendo mpaka wa kukimbia wakimbie na kujiuzuru au kutumbuliwa watumbuliwe !!! Yaan mm napenda kuona ugomvi wa adui zangu kwel wakiwa kweny ugomvi mztol!!!! Kwa nn diamond amuongelee vbay shonza wakat ni serikali? Na kwa nn shonza hakumwandikia barua kijana na kipenzi cha watz muuza karanga? Hapo ndo tutajua nan atakua mshind kweny huo ugomvi.
 
wachunguze na interview y Roma jna clouds fm..
 
Wanaogopa kumfungia diamond kisa shoo ya urusi, na dogo kasema kashapigiwa simu na mkulu kupongezwa, na ataenda jumba jeupe kuaga wakati wa safari
 
"Hakuna atakayebaki salama"
Naona BASATA wanajiandaa kupiga tu anayeinua domo.
 
Naona wanataka wazime maandamano shenx.

Hii ni mipango diamond hawez kuijib serikali vile ila tatizo tanzania wengi akili kijiko cha chAi
 
Back
Top Bottom