Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
CCM mnapumulia mashine sasa hivi
baada ya mahojiano na vikongwe kumchafua Lissu kubuma sasa mmekuja na matembezi.
Yaani mnahangaika, moja haisimami mbili hailališ¤£š¤£, Lissu amewashika pabaya.
=====
Umoja wa Makundi Mbalimbali nchini Tanzania Chini ya Mwamvuli wa Generation Samia (GEN S) kwa ushirikiano na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya na Ofisi ya Mkurugenzi Singida wamefanya matembezi makubwa kuelekea Kongamano kubwa la Biashara na Fursa zilizoletwa na Samia mkoani humo.
Kongamano hilo limefanikiwa kuudhuliwa na wafanyabiashara kutoka vikundi mbalimbali Mkoa wa Singida.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Katika hatua nyingine, kongamano hili liliambatana na uzinduzi rasmi wa dirisha la utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwa kila halmashauri za Mkoa wa Singida, ikiwa ni hatua muhimu katika kuwawezesha wananchi, hususan vijana na wanawake kujikwamua kiuchumi huku mgeni Rasmi akiwa Mkuu wa Mkoa wa Singida Halima Omary Dendego.
CCM mnapumulia mashine sasa hivi
baada ya mahojiano na vikongwe kumchafua Lissu kubuma sasa mmekuja na matembezi.Yaani mnahangaika, moja haisimami mbili hailališ¤£š¤£, Lissu amewashika pabaya.