Baada ya maisha kunichapa haswa mkoani, sasa nakuja Dar es Salaam kuanza from zero. Nipe neno lolote

Baada ya maisha kunichapa haswa mkoani, sasa nakuja Dar es Salaam kuanza from zero. Nipe neno lolote

Maisha ya mkoani shikamooo
Hakuna connection
Hakuna dili za kutosha
Kazi ngumu malipo hafifu

Sasa nakuja Dar es salaam kutafuta

Nipe connection ushauri nk
Karibu
Karibu broo/jike
DSM pepesi sanaaa tutatoboa Broo trust me
 
Yani dar unaenda kuwa masikini wa kutupwa nauhakika hakuna fursa kama ambako unapakimbia.

Ni vile umejawa na utahira unaamini daresalama ndio kuna maisha watu wanaishi maisha kama ya mbwa kutwa kukimbizana na mausafiri, kutwa kunukishana mijasho 🤮
 
Ahsante kwa mchango wako.
Karibu tena.
 
Zuia hasira zako bongo wagonjwa na wenye njaa ni wengi

Ukigusa tu paah tukutane muhimbili
 
Karbu sana

Je pakufikia unapo au utakuwa unalala magufuri au utakuwa unalala kwa kijazi

Uwe makini sana usije ukavamia mji
Inatakiwa pakufikia uwe napo huku ukicheki michongo

Yote kwa yote nakuombea sana
 
VAR 🤣
 
Karbu sana

Je pakufikia unapo au utakuwa unalala magufuri au utakuwa unalala kwa kijazi

Uwe makini sana usije ukavamia mji
Inatakiwa pakufikia uwe napo huku ukicheki michongo

Yote kwa yote nakuombea sana
Ninapo pakufikia ndugu yangu
 
Maisha ya mkoani shikamooo
Hakuna connection
Hakuna dili za kutosha
Kazi ngumu malipo hafifu

Sasa nakuja Dar es salaam kutafuta

Nipe connection ushauri nk
Karibu
Dar imebadilisha maisha ya watu wengi.
Hata samia baada ya kuja dar ameweza kuwa malkia
 
Back
Top Bottom