Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
VAR inasema ni goal 😂😂Kuanzia suala Zima la imani, huku watu wengi hasa maeneo ya mjini na uswahilini hawana imani kabisa wako mbali na Mungu.
Suala la malezi ndio kabisaa mana watoto hujifunza kwa wanaowazunguka mtoto akikulia vingunguti Tabata au mbagala kazi ipo.
Suala la ajali ndo usiseme ajali za uzumbe kabisa kuanzia Bodaboda mpaka watembea kwa miguu. Ukikaa dar jiandae kuwa mlemavu mtarahiwa.
Uchafu, hapa sina maneno mengi kuanzia hewa mitaro mpaka makazi uchafu ndio uchafu.
Vyakula visivyo Bora kuanzia mboga za majani nk mambo hovyo kabisa
Pesa haina thamani kabisa, elfu 50k ya Dar sio sawa na Ile...
- Burn the bridge _Tz
- binafsi dar dar es salaam maisha maisha ya dar
- Replies: 21
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko