Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
Aint no easy- 2PacMaisha ya mkoani shikamooo
Hakuna connection
Hakuna dili za kutosha
Kazi ngumu malipo hafifu
Sasa nakuja Dar es salaam kutafuta
Nipe connection ushauri nk
Karibu
Karibu broo/jikeMaisha ya mkoani shikamooo
Hakuna connection
Hakuna dili za kutosha
Kazi ngumu malipo hafifu
Sasa nakuja Dar es salaam kutafuta
Nipe connection ushauri nk
Karibu
Nakubali mpambanajiKaribu broo/jike
DSM pepesi sanaaa tutatoboa Broo trust me
Absolutely 💯 😁Aint no easy- 2Pac
Ahsante kwa mchango wako.Yani dar unaenda kuwa masikini wa kutupwa nauhakika hakuna fursa kama ambako unapakimbia.
Ni vile umejawa na utahira unaamini daresalama ndio kuna maisha watu wanaishi maisha kama ya mbwa kutwa kukimbizana na mausafiri, kutwa kunukishana mijasho 🤮
Kumbe unadharau ndio maana unataabika na umasikini na bado nenda ukawe shogaAhsante kwa mchango wako.
Karibu tena.
Hahaha factZuia hasira zako bongo wagonjwa na wenye njaa ni wengi
Ukigusa tu paah tukutane muhimbili
VAR 🤣Kuanzia suala Zima la imani, huku watu wengi hasa maeneo ya mjini na uswahilini hawana imani kabisa wako mbali na Mungu.
Suala la malezi ndio kabisaa mana watoto hujifunza kwa wanaowazunguka mtoto akikulia vingunguti Tabata au mbagala kazi ipo.
Suala la ajali ndo usiseme ajali za uzumbe kabisa kuanzia Bodaboda mpaka watembea kwa miguu. Ukikaa dar jiandae kuwa mlemavu mtarahiwa.
Uchafu, hapa sina maneno mengi kuanzia hewa mitaro mpaka makazi uchafu ndio uchafu.
Vyakula visivyo Bora kuanzia mboga za majani nk mambo hovyo kabisa
Pesa haina thamani kabisa, elfu 50k ya Dar sio sawa na Ile...
- Burn the bridge _Tz
- binafsi dar dar es salaam maisha maisha ya dar
- Replies: 21
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Ninapo pakufikia ndugu yanguKarbu sana
Je pakufikia unapo au utakuwa unalala magufuri au utakuwa unalala kwa kijazi
Uwe makini sana usije ukavamia mji
Inatakiwa pakufikia uwe napo huku ukicheki michongo
Yote kwa yote nakuombea sana
Ila Binadamu si unaishi kwa kufuatilia my threadsVAR 🤣
Dar imebadilisha maisha ya watu wengi.Maisha ya mkoani shikamooo
Hakuna connection
Hakuna dili za kutosha
Kazi ngumu malipo hafifu
Sasa nakuja Dar es salaam kutafuta
Nipe connection ushauri nk
Karibu
Hahahh sasa unataka nikujibu vipi mkuuKumbe unadharau ndio maana unataabika na umasikini na bado nenda ukawe shoga
Na hivyo ndivyo maisha ya dar yalivyo unafatiliwa mpaka unapolalaIla Binadamu si unaishi kwa kufuatilia my threads
Thread hii iko chini hapo umeiandika mwenyewe mkuuIla Binadamu si unaishi kwa kufuatilia my threads