Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
VAR inasema ni goal ππKuanzia suala Zima la imani, huku watu wengi hasa maeneo ya mjini na uswahilini hawana imani kabisa wako mbali na Mungu.
Suala la malezi ndio kabisaa mana watoto hujifunza kwa wanaowazunguka mtoto akikulia vingunguti Tabata au mbagala kazi ipo.
Suala la ajali ndo usiseme ajali za uzumbe kabisa kuanzia Bodaboda mpaka watembea kwa miguu. Ukikaa dar jiandae kuwa mlemavu mtarahiwa.
Uchafu, hapa sina maneno mengi kuanzia hewa mitaro mpaka makazi uchafu ndio uchafu.
Vyakula visivyo Bora kuanzia mboga za majani nk mambo hovyo kabisa
Pesa haina thamani kabisa, elfu 50k ya Dar sio sawa na Ile...
- Burn the bridge _Tz
- binafsi dar dar es salaam maisha maisha ya dar
- Replies: 21
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
KWAIYO kuscreenshoot na kutuma hapa unakuwa na maana gani...Thread hii iko chini hapo umeiandika mwenyewe mkuu
Hahaha VRAVAR inasema ni goal ππ
Huyu huwaga ni wa hiv hiv. Thread take kibao hum ni za kuomba ushaur tu wa maisha na maeneo, maamuz aliyowah kuyafanya na mengine anayotaka kufanya. Hapo keshi atafungua kashafika dar apamge wapi.Na hivyo ndivyo maisha ya dar yalivyo unafatiliwa mpaka unapolala
Karibu dar muhimu usitoke kwenye malengo
KwaniniUSIJE
Dah bro bora ungeenda majiji kama mbeya na mwanza ila dar pesa utapata ila vitu viko juu gharama π€£π€£Maisha ya mkoani shikamooo
Hakuna connection
Hakuna dili za kutosha
Kazi ngumu malipo hafifu
Sasa nakuja Dar es salaam kutafuta
Nipe connection ushauri nk
Karibu
Kwahiyo upo dar au upo mkoa tukuagize uje na unga wa mhogo, make ushatuvuruga ndugu zakoHahaha VRA
Dar vitu gani vipo juu bro?Dah bro bora ungeenda majiji kama mbeya na mwanza ila dar pesa utapata ila vitu viko juu gharama π€£π€£
Nipo Tabora unga wa muhogo upo sana mkuuKwahiyo upo dar au upo mkoa tukuagize uje na unga wa mhogo, make ushatuvuruga ndugu zako
AhsanteKaribu
Facts sanaHakuna ushauri mkuu ....zaidi zaidi jua ktk chini ya hili paa la dunia ..MAISHA NI MAPAMBANO.
Uje na asali mkuu hela utaikuta huku huku mjini πNipo Tabora unga wa muhogo upo sana mkuu
Uje na asali mkuu hela utaikuta huku huku mjini π