Baada ya makamanda kuikwepa kesi sasa naona taswila ya kesi

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,840
Reaction score
8,202
Wandugu
Ilikuwa inanipa shida kufahamu taswila ya kesi ya Lissu lakini sasa taswila imeonekana .
Na hii ni baada ya makamanda kuikimbia kesi.
Maswali yalikuwa mengi je kesi ina taswira gani ???

1.serikali vs Lissu
2.serikali vs chadema
3.ccm vs Lissu
4. ccm vs chadema
5.wanzibara vs watanganyika
N:B(mwisho wa ubaya ni AIBU)
 
Maswali yalikuwa mengi je kesi ina taswila gani ???

1.serikali vs Lissu
2.serikali vs chadema
3.ccm vs Lissu
4. ccm vs chadema
5.wanzibara vs watanganyika
N:B(mwisho wa ubaya ni AIBU)
ok taswila, sawa. 🐒
 
Hapo ni taswila gani?
 
Wandugu
Ilikuwa inanipa shida kufahamu taswila ya kesi ya Lissu lakini sasa taswila imeonekana .
Na hii ni baada ya makamanda kuikimbia kesi.
Maswali yalikuwa mengi je kesi ina taswira gani ???

1.serikali vs Lissu
2.serikali vs chadema
3.ccm vs Lissu
4. ccm vs chadema
5.wanzibara vs watanganyika
N:B(mwisho wa ubaya ni AIBU)
We zombie ndiyo umeandika nini. Lissu anapenda sana sifa, nia yake aje kuwauliza yale maswali yake ya kipuuzi afurahishe mabwana zake na hao wafuasi wake nyumbu. Ningekuwa mshauri wao wampuuze huyo mwehu
 
Unaonekana umejaa chuki, hasira kwa sababu tu Lissu atawabania msiibe wala kula rushwa atakapo kuwa rais wa nchi
 
Huyo hana anachoiba. Kijamaa kimechoka tu ni type ya akina Juma Lokole.
 
We mwanasiasa gani hujui kuandika TASWIRA? eti taswila
 
Back
Top Bottom