Baada ya makamanda kuikwepa kesi sasa naona taswila ya kesi

Baada ya makamanda kuikwepa kesi sasa naona taswila ya kesi

We zombie ndiyo umeandika nini. Lissu anapenda sana sifa, nia yake aje kuwauliza yale maswali yake ya kipuuzi afurahishe mabwana zake na hao wafuasi wake nyumbu. Ningekuwa mshauri wao wampuuze huyo mwehu
Hivi wewe ***** mchafu kwa nini una hasira sana?
 
We zombie ndiyo umeandika nini. Lissu anapenda sana sifa, nia yake aje kuwauliza yale maswali yake ya kipuuzi afurahishe mabwana zake na hao wafuasi wake nyumbu. Ningekuwa mshauri wao wampuuze huyo mwehu
Hayo maswali ya kipuuzi hata Katuga aliwauliza Mnyika, Golugwa, Brenda na Heche, shida iko wapi kwa hao wengine?
 
Wandugu
Ilikuwa inanipa shida kufahamu taswila ya kesi ya Lissu lakini sasa taswila imeonekana .
Na hii ni baada ya makamanda kuikimbia kesi.
Maswali yalikuwa mengi je kesi ina taswira gani ???

1.serikali vs Lissu
2.serikali vs chadema
3.ccm vs Lissu
4. ccm vs chadema
5.wanzibara vs watanganyika
N:B(mwisho wa ubaya ni AIBU)
Mimi Kingai natokea mahakamani leo
 
Wandugu
Ilikuwa inanipa shida kufahamu taswila ya kesi ya Lissu lakini sasa taswila imeonekana .
Na hii ni baada ya makamanda kuikimbia kesi.
Maswali yalikuwa mengi je kesi ina taswira gani ???

1.serikali vs Lissu
2.serikali vs chadema
3.ccm vs Lissu
4. ccm vs chadema
5.wanzibara vs watanganyika
N:B(mwisho wa ubaya ni AIBU)
maajabu watu wanaanzisha KESI kumbe hawakujiandaa!
wanaishia kuomba POO na wengine KUKIMBIA kabisa
 
Back
Top Bottom