ok taswila, sawa. 🐒Wandugu
Ilikuwa inanipa shida kufahamu taswila ya kesi ya Lissu lakini sasa taswila imeonekana .
Na hii ni baada ya makamanda kuikimbia kesi.
Maswali yalikuwa mengi je kesi ina taswila gani ???
1.serikali vs Lissu
2.serikali vs chadema
3.ccm vs Lissu
4. ccm vs chadema
5.wanzibara vs watanganyika
N:B(mwisho wa ubaya ni AIBU)
Hapo ni taswila gani?Wandugu
Ilikuwa inanipa shida kufahamu taswila ya kesi ya Lissu lakini sasa taswila imeonekana .
Na hii ni baada ya makamanda kuikimbia kesi.
Maswali yalikuwa mengi je kesi ina taswila gani ???
1.serikali vs Lissu
2.serikali vs chadema
3.ccm vs Lissu
4. ccm vs chadema
5.wanzibara vs watanganyika
N:B(mwisho wa ubaya ni AIBU)
Kumbe lugha unaijua vizuri kwa nini uliamua kujizima data?TASWIRA
Wamemtuma DCI kupima upepo!DCI muda huu wako na Lissu, kujadiliana kuhusu kesi yao,ili saa 8 mchana waweze kuja Mahakamani
Upepo haupimiki! Waliyataka wenyeweWamemtuma DCI kupima upepo!
We zombie ndiyo umeandika nini. Lissu anapenda sana sifa, nia yake aje kuwauliza yale maswali yake ya kipuuzi afurahishe mabwana zake na hao wafuasi wake nyumbu. Ningekuwa mshauri wao wampuuze huyo mwehuWandugu
Ilikuwa inanipa shida kufahamu taswila ya kesi ya Lissu lakini sasa taswila imeonekana .
Na hii ni baada ya makamanda kuikimbia kesi.
Maswali yalikuwa mengi je kesi ina taswira gani ???
1.serikali vs Lissu
2.serikali vs chadema
3.ccm vs Lissu
4. ccm vs chadema
5.wanzibara vs watanganyika
N:B(mwisho wa ubaya ni AIBU)
Sasa hapo wameyataka kitu gani, tumia akili badala ya makalio, sasa mtu anaenda kutoa ushahidi ameyataka kitu gani.Upepo haupimiki! Waliyataka wenyewe
Unaonekana umejaa chuki, hasira kwa sababu tu Lissu atawabania msiibe wala kula rushwa atakapo kuwa rais wa nchiWe zombie ndiyo umeandika nini. Lissu anapenda sana sifa, nia yake aje kuwauliza yale maswali yake ya kipuuzi afurahishe mabwana zake na hao wafuasi wake nyumbu. Ningekuwa mshauri wao wampuuze huyo mwehu
ndiyo taswiraTaswila ndio nini?
Huyo hana anachoiba. Kijamaa kimechoka tu ni type ya akina Juma Lokole.Unaonekana umejaa chuki, hasira kwa sababu tu Lissu atawabania msiibe wala kula rushwa atakapo kuwa rais wa nchi
ingekuwa rahisi wangejificha?Sasa hapo wameyataka kitu gani, tumia akili badala ya makalio, sasa mtu anaenda kutoa ushahidi ameyataka kitu gani.