Balozi wa nchi jirani! Tunasubiri taarifa ya uhakiki wa mali za Chama Cha Mapinduzi iwekwe wazi ili watu wakose pa kujificha. Nasikia litakuwa ni Bomunla Atomic, litapiga Baba, Mwana na Roho!! Baba, Mwana na Wafuasi wao. Mabalozi wetu kadhaa nao hawatatoka salama!!