Waminepo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2019
- 374
- 254
Those unteachable being teachable now !😊Umefurahia nini sasa hapa ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Those unteachable being teachable now !😊Umefurahia nini sasa hapa ?
Mmh!Anataka abaki na wanaomwambia uchumi unapanda wakati unashuka.
Kuna balozi mmoja wa nchi jirani, ana kashfa nyingi sana aliwahi kushika nafasi ya juu kweny chama. Nasikia yuko kweny list ya wanaofuatiliwa na zamu yake kuliwa imefika. Maendeleo hayana vyama. Kudadadekiiiii
Haongei saa ya kula, yuko salama. Ntiti ni kwa Nchimbi
Huyu ameshadhibitiwa muache akae na tape records zakeHawa wote wakiamua kupambana na huyo nduli naamini kabisa wataibuka kidedea kabla ya October 2020 ila nina hofu huyo mwendawazimu kutangaza hali ya hatari nchini.
Huyu ameshadhibitiwa muache akae na tape records zake
huyu PhD. ni muoga wa Maisha ya Kula mihogoDr Slaa yuko upande gani this time around?
huyu jamaa siku akiondoka madarakani itakuwa kama "gombania goli", kila mtu akitaka pa kutoboa - mwenye kutaka kutoboa jicho haya, kata vidole haya, ng'oa meno haya.....
huyu jamaa siku akiondoka madarakani itakuwa kama "gombania goli", kila mtu akitaka pa kutoboa - mwenye kutaka kutoboa jicho haya, kata vidole haya, ng'oa meno haya.....
Mimi hapo kwenye upande vinne ndo sijamuelewa mheshimiwa jasusiWanaruka na kukanyaganaaa...safi sana!! Member kasema chama vipande vinne sio viwili na uzi na sindano yakuunganisha hamna kumbe walikua kama pazia dah.
Anataka abaki na wanaomwambia uchumi unapanda wakati unashuka.
Naona umefufukaha ha ha
koroshow huku alituambia atazinunua Hadi Leo tunashangaa shangaa nazo tuh hapa
yaani kulia tunataka na kucheka pia tunatakaa
hatari sana