displayname
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 1,972
- 1,085
Katika kile kinachoonekaonekana Vita ya wasaliti ndani ya chama kupamba Moto tayari baadhi ya mabaloz wameonekana kuhusika mojamoja na mgawanyiko ndani ya chama na hivyo hivi karibuni watarejeshwa nchini.
Pia wapo wakuu wa mikoa waliojipanga kugombea ubunge na wakuu wa mikoa wanaohisiwa wapo timu Membe..
Mwenzako akinyolewa wewe tia maji
Si nimesikia Ole Sabaya DC Hai ametoweka wiki tatu sasa!!! Sijui ni uvumi au pana watenda kazi wapo kazini