Baada ya maneno haya ya Rais Samia, kama ni timamu, je, tumshauri to do "The needful?" au akomae nao, till they do him away?

Huo uwezo ungekuwepo tungekuwa kama dubai.
Tiss ambayo mpaka barua za ikulu zilikuwa zinavuja.
You don't look at it realistically brother kuhusu issue ya kuwa kama Dubai. Too many factors are involved. It's a discussion for another day!

Kuhusu barua za ikulu kuvuja ile on it's own ilikuwa ni strategy.

Same way Kigogo2014 was!
 
Hakuna mwenyekiti aliyeungwa mkono na watu wote. Hata Nyerere alipingwa kwa siri na wazi.
 
Paskali, aliyeanzisha vita anaondokaje bila pigano la knockout. Kuna raundi zinakuja. Inaweza ikawa vita fupi tu kabla ya saa za kazi. Uzuri mshindi anajulilana japo haijulikani kama ushindi ni wa kudumu.
 
Co bongo,Rais is everything ndugu wala ucjidanganye
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tukilipa LUKU tunakatwa hela ya kusambaza umeme.

Hiyo hela inaenda wapi?

Mama anakosea sana kuachana na kundi la wanyonge ambao ndiyo wengi na kuanza kukumbatia kundi la walichonacho ambao hawazidi hata millioni 3 nchi nzima
Nyie ndiyo WANYONGE Acha muisome namba,maana Chadema walituchelewesha Sana kupata maendeleo.
 
Binamu upo sahihi kabisa hawajui vyema shati la kijani ni wanafiki hatari. Huyo 2024 watamvagaa hatoamini macho yake.
 
Tukilipa LUKU tunakatwa hela ya kusambaza umeme.

Hiyo hela inaenda wapi?

Mama anakosea sana kuachana na kundi la wanyonge ambao ndiyo wengi na kuanza kukumbatia kundi la walichonacho ambao hawazidi hata millioni 3 nchi nzima
Leo akili zimekurudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…