Baada ya maneno haya ya Rais Samia, kama ni timamu, je, tumshauri to do "The needful?" au akomae nao, till they do him away?


Kufanya shouting match na mwanamke sijui kama kuna kushinda![emoji23]
 
Hiyo ndo siasa ya kibongo, ni kawaida. Si ni Kama walivomfamnyia magu akiwemo job mwemyewe...ref ujenz bandar bagamoyo
 

Kila mlamba asali huchonga mzinga. Huyo keshachonga mzinga tayari!
 

Tatizo la CDM ni tabia yao ya kubadili gia angani kwenye mambo makubwa na ya msingi!
 
Kila mlamba asali huchonga mzinga. Huyo keshachonga mzinga tayari!
Hata Trump aliachiwa agombee second term, hata biden kama atakuwa uzee haujamzidia, watamwachia agombee second term,,
This is common,, kwanini mtake yeye aishie one term?,, Hizi dharau kwa wanawake hazipaswi kuachiwa..
Enzi za Jpm hawa kina ndugai walikuwa wanyenyekevu sana,
Siku hizi eti hadi kina Pambalu wanaongea na taifa,, hizi ni dharau,, kila mtu karefusha mabega sababu Rais ni mwanamke,,, [emoji20]


Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Alikuwa na haki kama mkuu wa mhimili kutoa maoni yake but kosa alilofanya ni kuanza tena kuomba msamaha. Pamoja na kuomba msamaha amechambwa kisawasawa. Ili afe kishujaa anatakiwa arudi tena kuongea na waandishi wa habari na kurejesha msimamo wake wa awali kabla ya kuomba msamaha na kuchambua kauli za mama ambazo zinamshushia hadhi kama mkuu wa mhimili ktk katiba, vinginevyo anakufa kisiasa kwa aibu. Of course kwa option ya kukaa kimya au kuonesha msimamo tena, atashughulikiwa ndani ya chama na kupoteza uanachama na baadaye uspika. Achague zimwi lenye nafuu.

Kuhusu mbio za 2025, si lazima kuwa yeye ndiye atakaye gombea as anaweza kuwa na kundi/mtandao wake ambao una mgombea wao.
 
Niwafungueni tuu macho kama mlikua hamjui.....

2015 CCM walikuwa wamempitisha Emmanul Nchimbi ndio agombee uspika. But Kwa kuwa alitamka waziwazi kuwa hamtaki magufuli
Basi magufuli akalazimisha jina lake lienguliwe Katika kinyanganyiro Cha uspika ( Nani wa kimpinga rais??).... Sasa fununu kuwa JJ NCHIMBI karudishwa bongo tokea kule kifungoni ubalozini Brazil Ili aje kuchukua USPIKA wake Toka Kwa JOBO. Muelewe ndugai sio mjinga kuropoka vile. Yeye na timu yake walikua wanatafuta timing tuu ya kuuasoma mchezo... Na kingine timu MSOGA walikua wanatafuta tuu ajikanyage wamlipue.

N.b
Usishangae wabunge wa ccm wakaanzisha kampeni za kutokuwa na Imani na spika. ( Sababu kubwa ikiwa ni wale wabunge 19 maarufu kama COVID-19) yetu macho tuendelee kuusoma mchezo taratibu
 
Viongozi hawawazi shinda za wananchi lakin wanawaza uchunguzi wa 2025 ni aibu sana ,vijijin hakuna umeme ,maji ,hospital na madawa,watoto wanaenda peku mashulen ,wafanya Kazi mishahara haiongezek
 
Na utamaduni wetu binadamu,ukiombwa Radhi unamsitiri aliyekuomba manake unamsamehe. Ila kuendelea kumchamba na kumchambua ni kutokusamehe.

Joyce Banda

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Alikomaa kuwaita waty kuwahoji kwa kutoa maoni yao sasa na yeye jambo lile lile limemtokea.

Mbwa kala mbwa
 
Tukilipa LUKU tunakatwa hela ya kusambaza umeme.

Hiyo hela inaenda wapi?

Mama anakosea sana kuachana na kundi la wanyonge ambao ndiyo wengi na kuanza kukumbatia kundi la walichonacho ambao hawazidi hata millioni 3 nchi nzima
2024 Tukutane tubadilishe katiba Mama aendelee hadi 2040.

Makofi Papapapaaa!!!
 
Hakuna kosa la kufukuzwa uanachama hapo. Angekuwa mteule wa Rais, ingetosha tu kumtengua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…