Baada ya maneno haya ya Rais Samia, kama ni timamu, je, tumshauri to do "The needful?" au akomae nao, till they do him away?

Naunga mkono hoja,
 
Tukilipa LUKU tunakatwa hela ya kusambaza umeme.

Hiyo hela inaenda wapi?

Mama anakosea sana kuachana na kundi la wanyonge ambao ndiyo wengi na kuanza kukumbatia kundi la walichonacho ambao hawazidi hata millioni 3 nchi nzima
Ukiwa hao wasiozidi million 3 ni TUME ya Uchaguzi, JWTZ, Polisi, Mahakama. TISS sidhani kama kuna shida
 
Magufuli gang tumetumia huu mzozo wa huyu zuzu ndugai kumponda zuzu na mama katuita ikulu akidhani ni team wahuni,mama katutolea meno hadi jino la 32 akidhani ni team wahuni sasa tuta ua wahuni wawili kwa jiwe moja
 
Watu ambao chama kiliwashinda hadi sekretariat ikavunjika, kina Mangula wakaja kuokoa jahazi, ndio leo wanarudi kukumbatiana.
 
Ndugai kwenye utawala wa SSH ni "a square peg in round holes"
Inabidi akatwe kichwa tu!
 
Kama kiongozi wa muhimili kamili unaojitegemea Ndugai boss wake sio Samia, spika kwa kutumia wabunge ana uwezo wa kumuengua Rais. Technically,Rais nae anaweza kutumia chama kumuengua spika...so it's a matter of timing and support!
 
AJIUZULU TU
 
Yaani Mama akiitisha uchaguzi sasa anashindwa vibaya mno, hakuna anayempenda kabisa huku mitaani, ila kwa wale matajiri wasiopiga kura watamshangilia. Kwa ufupi Mama hana ushawishi kabisa. Yeye alipaswa atulie kwanza kuangalia upepo, sasa sijui nani alimdanganya kuanza kuonesha uchu wa madaraka ya urais na kuanza kukandia yale ya mwenzake. Na lingine baya kabisa ni kuonesha chuki ya wazi kwa utawala wa Dkt Magufuli ambao na yeye alikuwa sehemu ya hiyo serikali.
 
Kama kiongozi wa muhimili kamili unaojitegemea Ndugai boss wake sio Samia, spika kwa kutumia wabunge ana uwezo wa kumuengua Rais. Technically,Rais nae anaweza kutumia chama kumuengua spika...so it's a matter of timing and support!
Hapo patamu kabisa. Ila Ndugai akimuengue Mama itakuwa bonge la hasara maana itabidi tukope tena kufanya uchaguzi. Ila Mama akiondolewa atasumbuliwa sana maana uhakika hawezi kushinda uchaguzi
 
Hapo patamu kabisa. Ila Ndugai akimuengue Mama itakuwa bonge la hasara maana itabidi tukope tena kufanya uchaguzi. Ila Mama akiondolewa atasumbuliwa sana maana uhakika hawezi kushinda uchaguzi
Kwani Maguguli alishinda?

CCM haijawahi kushinda uchaguzi tangu mwaka 2010,uko nchi gani mkuu?
 
Nadhani dhana nzima imejikita ktk kuonyesha ufinyu wa mawazo kwa Watanzania tulio wengi. Kama nchi kila mtu kwa nafasi yake ana vision yake. Hatuna Vision ya pamoja kama Nchi. Ndio maana kila siku kwa miaka mingi, siasa zetu ni za vijembe au za taarabu tu. Nasi Watanzania tulio wengi...tunaicheza tu, si vijana si wazee......

Tufike mahali tujitathmini na kupata visio ya pamoja....hayo ni mawazo yangu.
 
Unaweza kufuga viumbe vyote lakin huwezi kufuga binadamu.

Samia atashinda leo lakini hatashinda wakati wote.

Amuulize Alexender the great.
Bila kuangalia who is right and who could be wrong, haiwezekani kwa afya ya kisiasa katika nchi yetu Mama na Ndugai wakafanya kazi ceremoniously . Mmoja kati yao ammue aondoke. Nani sasa?
 
Bila kuangalia who is right and who could be wrong, haiwezekani kwa afya ya kisiasa katika nchi yetu Mama na Ndugai wakafanya kazi ceremoniously . Mmoja kati yao ammue aondoke. Nani sasa?
Kutokana na mawazo ya kijima tuliyo nayo
Kutofautiana ni kawaida Sita alitofautiana na Kikwete na haikuwa tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…