Baada ya maneno haya ya Rais Samia, kama ni timamu, je, tumshauri to do "The needful?" au akomae nao, till they do him away?

Unakosea sana unaposema Rais ni boss wa Spika! Unbelievable!
sasa angesemaje ? Mwenyekiti wa CCM Samia Suluhu Hassan ni Boss wa Mjumbe wa CC ya CCM Job Ndugai na jua kiti anaweza Mnyang'anya Kadi ya Chama akaukosa Uspika na Ubunge?
Huyu Blai angetangulia tu CHADEMA alikomuandalia Tundu Lissu Hotuba ya Hayati na bado alimnyima kila kitu na mafao
Lissu hana kinyongo leo atamuunga mkono Ndugai km Mama alivyomtembelea Hosp Nairobi kwani Siasa haina rafiki wala adui
Ndugai ajue hilo atimke mapema tu
 
Naunga mkono
 
Tukilipa LUKU tunakatwa hela ya kusambaza umeme.

Hiyo hela inaenda wapi?

Mama anakosea sana kuachana na kundi la wanyonge ambao ndiyo wengi na kuanza kukumbatia kundi la walichonacho ambao hawazidi hata millioni 3 nchi nzima
Leo kaanzisha kuunganishiwa umeme tu kutoka 27,000 mpaka laki laki kibao. Katengua mara elfu zaidi. Hapa tumepigwa mchana kweupe
 
This time hata wanawake wenzie hawamtaki kabisa
 
Ni kweli maana jamaa angekomaa na msimamo wake huyu mdada mzee angetenguliwa Kama zuma j wa kusini
 
Luku tozo, benki tozo,miamala ya simu tozo, tumebanwa kila kona. Mfumuko wa bei upo juu, yaani kama haukujenga kipindi cha JK usahau
Exactly na huu mfumo huyu ni kutukandamiza wa hali ya chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…