ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kupambania Uhuru wenu na Utamaduni wenu kwenye Nchi kubwa na yenya Nguvu kama China ni swala ambalo haiwezekani .Tibet Wameshindwa na pia Taiwani na Hong Kong walio na Maendeleo kushinda Tibet nao Wameshindwa pia.
Bora hata Wapalestina Huwa wanafikiriwa kupata uhuru na Israel ila sio Hawa Watibet.
Sasa baada ya Kiongozi wao Mkuu kuamua kunyanyua mikono Juu ameona Bora tuu aandike kitabu Cha Mapambano ya jamii yake na kuanza kukiuza Ili apate chochote kabla ya kufariki kama kina Yericko na wenzie kina Kabendera.
My Take
Kupambana na mwenye Nguvu utaumia Bure ,pole sana The Dalai Lama .
Cc Lisu & co.