Baada ya Mapambano ya Kutafuta Uhuru wa Jimbo la Tibet-China Kushindikana , Kiongozi Mkuu Dalai Lama Aamua Kuuza Vitabu kama Yericko Nyerere

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Kupambania Uhuru wenu na Utamaduni wenu kwenye Nchi kubwa na yenya Nguvu kama China ni swala ambalo haiwezekani .Tibet Wameshindwa na pia Taiwani na Hong Kong walio na Maendeleo kushinda Tibet nao Wameshindwa pia.

Bora hata Wapalestina Huwa wanafikiriwa kupata uhuru na Israel ila sio Hawa Watibet.

Sasa baada ya Kiongozi wao Mkuu kuamua kunyanyua mikono Juu ameona Bora tuu aandike kitabu Cha Mapambano ya jamii yake na kuanza kukiuza Ili apate chochote kabla ya kufariki kama kina Yericko na wenzie kina Kabendera.
1737713031778.png

My Take
Kupambana na mwenye Nguvu utaumia Bure ,pole sana The Dalai Lama .

Cc Lisu & co.
 
Wewe kwa upumbavu wako unaamini huko kitabu anakiandika ili kupata pesa wakati yeye anarithisha falsafa za kudai uhuru kwa kizazi kijacho.
😂😂😂😂😂 Yeye Kushindwa wakati China inajitafuta,Sasa atarithisha kipi Kwa Vijana in modern era ambao wanaona Kila kitu kipo sawa?

Wacha ujinga ,ngoja apate hela za mwisho mwisho
 
Kupambania Uhuru wenu na Utamaduni wenu kwenye Nchi kubwa na yenya Nguvu kama China ni swala ambalo haiwezekani .Tibet Wameshindwa na pia Taiwani na Hong Kong walio na Maendeleo kushinda Tibet nao Wameshindwa pia.

Bora hata Wapalestina Huwa wanafikiriwa kupata uhuru na Israel ila sio Hawa Watibet.

Sasa baada ya Kiongozi wao Mkuu kuamua kunyanyua mikono Juu ameona Bora tuu aandike kitabu Cha Mapambano ya jamii yake na kuanza kukiuza Ili apate chochote kabla ya kufariki kama kina Yericko na wenzie kina Kabendera.
View attachment 3212381

My Take
Kupambana na mwenye Nguvu utaumia Bure ,pole sana The Dalai Lama .

Cc Lisu & co.
1737742803493.jpg
 
Babu zako wangekuwa na akili kama za kwako Leo hii Muingereza bado angekuwepo Tanganyika na Sultan angekuwepo kule Unguja na Pemba.
Mkwawa, akina Abushiri, kinjeketile walikufa kwenye mapambano lakini haikuwazuia akina Nyerere na Babu zetu wengine kudai uhuru.

Vita ya kudai haki haina mwisho, ndio maana Palestina alikufa Yassen Arafat, karibuni amekufa Hanniyah na Bwana Sinwar lakini bado wapalestina wanapambana.

Kuzeeka au hata kufa kwa Dalai hakuwafanyi Wana Tibet waache kudai haki yao.

Mkoloni mweupe aliondoka Tanganyika, hii haiwazuii watanganyika kupambana na mkoloni mpya mweusi CCM.
 
Uhuru wa vipi ....kwani hao wa tibeti ni watumwa au ardhi yao ni koloni la china ? Kama ardhi ya tibeti siyo koloni la china na watu wa tibeti siyo watumwa na china inaendelea vyemq kiuchumi na maendeleo kuliko nchi yoyote duniani hao wa tibeti wanataka uhuru hili wafanyenini kama siyo fitina za USA kuchochea mipasuko kwenye nchi za wenzake na kuzi tengenezea maadui ambao watakuwa vibaraka wa USA .
 
Sasa baada ya Kiongozi wao Mkuu kuamua kunyanyua mikono Juu ameona Bora tuu aandike kitabu Cha Mapambano ya jamii yake na kuanza kukiuza Ili apate chochote kabla ya kufariki kama kina Yericko na wenzie kina Kabendera.
Usichanganye mambo, Yeriko nyerere anaandika makaratasi
 
Babu zako wangekuwa na akili kama za kwako Leo hii Muingereza bado angekuwepo Tanganyika na Sultan angekuwepo kule Unguja na Pemba.
Mkwawa, akina Abushiri, kinjeketile walikufa kwenye mapambano lakini haikuwazuia akina Nyerere na Babu zetu wengine kudai uhuru.

Vita ya kudai haki haina mwisho, ndio maana Palestina alikufa Yassen Arafat, karibuni amekufa Hanniyah na Bwana Sinwar lakini bado wapalestina wanapambana.

Kuzeeka au hata kufa kwa Dalai hakuwafanyi Wana Tibet waache kudai haki yao.

Mkoloni mweupe aliondoka Tanganyika, hii haiwazuii watanganyika kupambana na mkoloni mpya mweusi CCM.
Kunywa soda huko uliko.Nalipa.
 
Back
Top Bottom