Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Wanabodi
Nimeona taarifa ya Mkutano huu humu Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa tarehe 3 na 4 Januari, 2024
Ila to be honest, nina wasiwasi na baadhi promo za Mkutano huu, kama baadhi ya washiriki hawa
kama kweli watashiriki mkutano huu this time, na kama walishirikishwa na kuridhia picha zao zitumike kuupromote huu mkutano, kwasababu huko nyuma, walisusaga na kuzira!.
Hawa jamaa, hawanaga mchezo mchezo, maana hawachelewi kuita press conference na kutangaza bado wamesusa, bado wamezira, na hawatashiriki!.
Swali ni licha ya maridhiano na kukubaliana kugawana nusu mkate! baada ya maridhiano na CCM, na kukubaliana kugawana Nusu Mkate, bado kuna haja ya wao kuendelea kususa na kuzira mikutano na vyama vingine?.
Baada ya kuususa ule Mkutano wa kwanza wa Dodoma, nikawaomba msisuse, Chadema, P'se, Msisusie Mkutano wa Vyama, Wasilisheni Hoja Zenu Mezani, Zitamfikia Samia, Ana Nia Njema na Nchi Hii, Mpeni Ushirikiano!.
Ila kususa kule kukawa na faida kwenu, kukazaa matunda ya maridhiano ambayo mmekubaliana kugawana nusu mkate, lakini Mkutano wa pili wa JNICC Dar es Salaam, mlisusa tena na kuzira!,
Nawaombeni sana, msiendelee kususa na kuzira, Please, hata kama mna hoja, njooni mezani, zileteni mezani, tukae pamoja, tuzijadili pamoja, tukiwa wamoja, ili twende pamoja!. Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu, kuna vitu, ili ufanikiwe, vinahitaji a team spirit na team work, hivyo you have to be a team player and it's only if you are together, you can!.
Nawatakia Mkutano Mwema!.
Mungu Ibariki Tanzania
Paskali
Nimeona taarifa ya Mkutano huu humu Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa tarehe 3 na 4 Januari, 2024
Mkuu Venus Star , asante sana kwa taarifa, hii sio ya kukosa!,MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA
Kauli Mbiu;
" TOA MAONI YAKO KUIMARISHA DEMOKRASIA "
MGENI RASMI;
Mhe. Othman Masoud Othman
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar
🗓️ Tarehe 3 na 4 Januari, 2024
📍Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City - Dar es salaam
#ImarishaDemokrasia
#TunzaAmani