Baada ya Maridhiano ya Watanganyika na Watanganyika ndio tutafikiria Mazungumzo na Wazanzibari

MlimaSayuni

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2013
Posts
7,285
Reaction score
13,703
Zanzibar walifanya mazungumzo yao chini ya Wazanzibari.

Hakutakuwa na maridhiano ya Tanzania, hadi Watanganyika tutakapo ridhiana kwanza.

Wazanzibari lazima wajue ni wakati wa kurudi kwao, siku kadhaa zijazo itabidi tutumie kitabu cha Rwanda, kuidai Tanganyika.
 
'Kitabu cha Rwanda' kina maudhui gani yenye kufaa ambayo nasi waTanganyika inatupasa tuyafuate?
 
Back
Top Bottom