Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
-
- #21
Maandamano gani yamewahi kuruhusiwa ukiacha yale ya mbowe?
🚮🚮🚮Nazungumzia ya D9 Mkuu.
Ndio uchambuzi wangu umejikita hapo
Punguza uchawa na undumilakuwili, wanaoandamana sio wasio na kazi au wafuasi wa CHADEMA.. Kila Mtanzania anayelitakia mema hili taifa lazima akatae uhuni.
Taratibu za kusalimiana zinaendelea kama kawaida hiyo Desemba 9Habari ya Sabato!
1. Nimesikia tamko na marufuku iliyotolewa na Jeshi la Polisi kuhusu maandamano yaliyopangwa huku mitandaoni na gen Z ambayo wameyaita D9.
2. Hoja za Jeshi la Polisi kwa kuyazuia zipo hoja kuu mbili nilizoziona. Hoja ya kwanza ni Hakuna barua yoyote ya kuomba uwepo wa hayo maandamano. Hoja ya pili ni Maandamano hayo malengo yake yanahatarisha usalama wa nchi na hivyo kuvunja Sheria za nchi. Nafikiri marufuku hiyo ni matokeo ya ripoti iliyotolewa Siku ya Jana kama sijakosea.
3. Swali linakuja tutarajie nini baada ya zuio au marufuku hiyo?
4. Kujibu swali hilo lazima tuwajue wahusika wa hayo maandamano, malengo yao, na mahusiano Yao na vyombo vya Dola au serikali.
5. RC Chalamila aliweza kueleza kwa kifupi baadhi ya maoni ya wanaoandamana waliokwisha kukamatwa. Ambapo maoni hayo na mengine ambayo tumeyaona mtandaoni, na pia Kwa kudodosa kwangu nitawagawanya katika makundi yafuatayo;
a) Wafuasi wa CHADEMA
Hawa ni wahusika wakuu katika sakata hili. Pia ndio kundi kubwa.
Hoja za wafuasi wa CHADEMA zinajulikana. Kwa kifupi wanahoja kuu ya kutaka haki sawa za kisiasa ambapo katika haki za kisiasa ili waipate itahitajika Katiba Mpya na tume Huru ya Uchaguzi. Katika kupigania Haki hiyo ya kisiasa ndipo mengine yote yakatokea kama kesi za hapa na pale, wafuasi wao kupotea au kutekwa, kuua n.k.
b) Wafuasi wa Magufuli.
Chunguzi zangu zinanionyesha Jambo hili. Wahusika kama Kina Polepole, Gwajima hao ni maarufu ila mtaani wapo pia. Wahusika hawa wanamawazo ya kimagufuli ingawaje mawazo ya kimagufuli yanapishana au kupingana na mawazo ya Chadema. Ila wameamua kuungana kwa sababu adui yao ni mmoja.
c) Gen Z wasio na Ajira au maisha.
Kundi hili ndilo nafikiri linatajwa linafuata Mkumbo. Tofauti na makundi mawili hapo juu. Lakini nalo lipo. Kundi hili ni vijana wasio na ajira, wasio na maisha ambao wanaona serikali imewatenga, kama alivyosema Chalamila.
Kundi hili haliaminiki Sana na uwezekano wa kutoka ni Mdogo sana. Tofauti na makundi Yale mawili kule juu ambayo yapo kisiasa.
d) Wapiganaji wa Haki.
Kundi hili ni wale wakereketwa wa haki ambao wao wanatetea haki kwa mtu yeyote au kundi lolote.
Kundi hili halina interest yoyote na Makundi mengine hapo juu wao interest yao ni HAKI na Uzalendo ndani ya nchi.
Kundi hili uwezekano wa kutoka upo pia.
6. Mbinu zinazotarajiwa kutumika. Tutaanza na mbinu za waandamanaji ili wafanikiwe. Kisha tutakuja mbinu za Polisi kuzuia Waandamanaji.
7. Mbinu za Waandamanaji;
a) Kutembea barabani kuelekea mjini watu wawili wawili au mmoja mbele mwingine nyuma.
Mbinu hii kama hakutakuwa na lockdown itafanikiwa na itajibu mapema kama ilivyofanyika MO29.
b) Kusimama Pembeni ya barabara.
Mbinu hii ni nzuri kama hakutakuwa na lockdown. Lakini inategemea mbinu ya tatu hapo chini nitakayoieleza.
Kusimama barabarani kunaleta uhai kwamba watu wapo wanachohitaji ni hamasa. Mbinu hii ilitumika MO29.
c) Wageni kuchukua guest au nyumba za wageni.
Mbinu hii ilifanya kazi MO29. Waandamanaji hasa Wafuasi wa CHADema na Magufuli hawa kwao haya maandamano yanamaana kubwa na wako na maslahi makubwa kuliko makundi mengine.
Vijana wanatoka mtaa A labda quite Magomeni wanaenda Buguruni. Wanachukua chumba cha lodge eneo Hilo lakini lodge ya ndanindani kidogo na sio barabarani.
Kisha baada ya hapo mengine ni rahisi tuu.
Wanaenda barabarani wanasimama barabani wakiona wamejaa au wale wanaotembea kwa miguu wakipita wanaenda nao.
Mbinu hii ilifanikiwa kwa kiasi kikubwa.
Askari wanapokuja wanakimbia mtaani wao wanaingia ndani zaidi kulikokuwa na lodge waliyochukua. Wanatulia. Sio rahisi Askari kuja kwenye lodge. Na hata akija kwenye lodge bado muandamaji anakuwa na nafasi ya kuwa salama.
Hapo wakazi wa mtaa huo watajikuta kwenye hali ngumu pia wakishuhudia ugeni mkubwa wa vijana unknown.
Hata ukiwauliza vijana hao wananafasi ya kujitetea na hoja zao ziko wazi na zina mashiko. Watakuambia nilikuwa natoka point A kwenda B maandamano yakatokea njia hazipitiki ndio nimekwama hapa.
d) Kutumia Mtandao kuhamasisha wengine.
Hii ipo wazi. Lengo la kutumia maandamano ni kuwatia hamasa wale waliokuwa wanasita nao watoke.
e) Kutumia Bodaboda.
Bodaboda no usafiri wa kimedani kwenye shughuli za namna hizi. Chocho kwa chocho kusafirisha watu kutoka pointi A kwenda B.
f) Kuchoma Barabarani na kuweka Vizuizi.
Mbinu hii inapendwa na ikifanikiwa hurahisha waandamanaji na vyombo vya dola hupata KAZI ya ziada kufanya movements
Makosa pekee yatakayoamsha maandamano ni shughuli ziendelee kama zilivyo.
8. Mbinu za Askari zinazotarajiwa kutumika kuzuia maandamano;
a) Kuzuia makundi ya watu kutembea au kusimama barabarani.
b) kuufanya mtandao kuwa mzito au kuuzima kabisa.
c) Kupiga lockdown kama kutakuwa na viashiria vya maandamano makubwa au kukosa udhibiti.
d) Kutumia Mabomu ya machozi, maji washa kutawanya waandamanaji au watu wanaoshangaa shangaa barabarani hata kama sio waandamaji.
e) Kuweka Askari kanzu kwenye maeneo korofi. Askari hao watajifanya wenyewe no wakali na wanachochea maandamano yaani kuwa sehemu ya waandamaji kumbe ni kanyaboya.
f) kukagua vitambulisho kwa waendesha bodaboda
g) kupiga risasi za Moto maeneo korofi kama sehemu ya kutoa onyo na kutoa mfano mmoja au watu kadhaa.
h) kutumia Darubini tokea mbali kuona sura halisi za waandamaji wenye msimamo mkali au wenye kuleta vurugu kama kuchoma Moto, kuzuia barabara, kurusha mawe. Hivyo unaweza ukawa upo kituo cha Shekilango Polisi wakawa Big Brother wakawa wanaona kupitia Darubini. Wakakukariri. Wakija shekilango wakati mnakimbiakimbia wao target yao ni wewe. Wanaweza kukariri nguo hasa ya juu ndio rahisi kwenye mambo ya kimedani.
9. Taikon Vipi kama Waandamanaji wakiwa nao wanasilaha za moto?
a) Kwa kweli siombei lakini ikitokea hivyo Hali itakuwa mbaya Sana.
b) kwa sababu raia watakuwa wahanga kwa sehemu kubwa hasa waliobaki majumbani.
c) Askari nao watakuwa kwenye Hali ngumu kwani watakuwa wanapigana na ghost. Na hii itachochea mauaji zaidi mitaani kwani muandamaji mwenye silaha hatothubutu kutumia silaha yake mtaani kwake bali ataitumia mitaa ya wenzake Jambo ambalo Askari wakidhurika eneo hilo wakazi wake watajikuta kwenye shida kubwa wakti muandamaji mwenye silaha alishaondoka.
Hivyo siombei hilo. Na ni muhimu vyombo vya Dola viwe tayari vinajua chakufanya ikitokea hali kama hiyo ili wasidhurike wasiohusika.
d) Waandamanaji pia wanaweza kutumia silaha kufanya uhalifu ili mwisho wa Siku serikali ichafuke.
10. Je tutarajie chochote kuhusu maandamano kutokea?
a) Kwa intelejensia yangu ndogo kama hakutakuwa na lockdown ni wazi wahusika wa makundi mawili kule juu lazima watatoka.
b) Ni muhimu Siku zilizobakia Madhehebu ya dini hasa Katoliki kutoa tamko kuwasihi watu wasiandamane ili kupunguza nguvu au kukatisha tamaa waandamanaji.
C) Kukaa kimya kwa waumini wengine wataelewa kwamba viongoi wao wa Dini wapo upande wa maandamano.
d) viongozi wa chadema wao najua hawawezi kutoa tamko watu wasiandamane na hiyo ni tafsiri kuwa wafuasi wa Chadema wataandamana.
11. Mimi kama mchambuzi binafsi lazima nichukue ripoti. Najua lolote laweza kutokea.
Kufikia hapo sina la ziada.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam.
Ninatarajia kuona askari wasiwe na huruma na Nyumbu wahalifu wezi na waharibifu wa mali nataka kuona wakichapwa risasi mbele ya mali watakazoiba au kuharibu
Taratibu za kusalimiana zinaendelea kama kawaida hiyo Desemba 9
haya maandamano hayana uhusiano wowote na chadema, na wala sio ya haki bali yana mkono mrefu nyuma ila mwishon utauona huo mkono unaishia kwa nanHabari ya Sabato!

We endelea kuwa chawa. Hakuna dola za kudhibiti nguvu ya Umma.Msifanye uhalifu tuu. Mnatetea haki zenu lindeni na zawengine
We endelea kuwa chawa. Hakuna dola za kudhibiti nguvu ya Umma.

hicho unachoombea kinaweza kumkuta mzazi wako, ndugu au mtoto .... kuwa makini na maneno yako, watu walikuwa majumbani lakini wakawa wahangaNinatarajia kuona askari wasiwe na huruma na Nyumbu wahalifu wezi na waharibifu wa mali nataka kuona wakichapwa risasi mbele ya mali watakazoiba au kuharibu
We endelea kuwa chawa. Sisi tunadai Tanganyika huru.Nakukumbusha wajibu wako tuu mkuu. Ukitetea haki yako usiguse za wengine.
haya maandamano hayana uhusiano wowote na chadema, na wala sio ya haki bali yana mkono mrefu nyuma ila mwishon utauona huo mkono unaishia kwa nan
We endelea kuwa chawa. Sisi tunadai Tanganyika huru.
yes ni kawaida, mfano wakati nyerere aliivamia uganda alitumia wapinzani wakina m7 na wenzake obote, maisha ndo yako ivo! kwa macho unaweza kuona wananchi wanagombania haki lakini wananchi wengi ni wajinga so watafuata trelaNami nataka niuone huo Mkono.
Ila huo mkono unatumia matatizo tuliyo nayo baina yetu. Kama upo
Aikooo.
Eti kama mchambuzi binafsi, wewe unaweza kuchambua Maharage na mchele tu, wanaume wenzako wapo front wanacharge wewe unalegeza vidole tu hapa🤣🤣🤣
Points zako ziko mbali kabisa na uhalisia, maandamano yatakuwepo(kwa amani) ila polisi watayavuruga kwa makusudi ili vurugu zitokee na zitatokea. The unexpected(kwa vyombo vya dola) ni kwamba they don't have the slightest idea on how this shit will be burning, hiyo ndiyo silaha ya raia.Habari ya Sabato!
1. Nimesikia tamko na marufuku iliyotolewa na Jeshi la Polisi kuhusu maandamano yaliyopangwa huku mitandaoni na gen Z ambayo wameyaita D9.
2. Hoja za Jeshi la Polisi kwa kuyazuia zipo hoja kuu mbili nilizoziona. Hoja ya kwanza ni Hakuna barua yoyote ya kuomba uwepo wa hayo maandamano. Hoja ya pili ni Maandamano hayo malengo yake yanahatarisha usalama wa nchi na hivyo kuvunja Sheria za nchi. Nafikiri marufuku hiyo ni matokeo ya ripoti iliyotolewa Siku ya Jana kama sijakosea.
3. Swali linakuja tutarajie nini baada ya zuio au marufuku hiyo?
4. Kujibu swali hilo lazima tuwajue wahusika wa hayo maandamano, malengo yao, na mahusiano Yao na vyombo vya Dola au serikali.
5. RC Chalamila aliweza kueleza kwa kifupi baadhi ya maoni ya wanaoandamana waliokwisha kukamatwa. Ambapo maoni hayo na mengine ambayo tumeyaona mtandaoni, na pia Kwa kudodosa kwangu nitawagawanya katika makundi yafuatayo;
a) Wafuasi wa CHADEMA
Hawa ni wahusika wakuu katika sakata hili. Pia ndio kundi kubwa.
Hoja za wafuasi wa CHADEMA zinajulikana. Kwa kifupi wanahoja kuu ya kutaka haki sawa za kisiasa ambapo katika haki za kisiasa ili waipate itahitajika Katiba Mpya na tume Huru ya Uchaguzi. Katika kupigania Haki hiyo ya kisiasa ndipo mengine yote yakatokea kama kesi za hapa na pale, wafuasi wao kupotea au kutekwa, kuua n.k.
b) Wafuasi wa Magufuli.
Chunguzi zangu zinanionyesha Jambo hili. Wahusika kama Kina Polepole, Gwajima hao ni maarufu ila mtaani wapo pia. Wahusika hawa wanamawazo ya kimagufuli ingawaje mawazo ya kimagufuli yanapishana au kupingana na mawazo ya Chadema. Ila wameamua kuungana kwa sababu adui yao ni mmoja.
c) Gen Z wasio na Ajira au maisha.
Kundi hili ndilo nafikiri linatajwa linafuata Mkumbo. Tofauti na makundi mawili hapo juu. Lakini nalo lipo. Kundi hili ni vijana wasio na ajira, wasio na maisha ambao wanaona serikali imewatenga, kama alivyosema Chalamila.
Kundi hili haliaminiki Sana na uwezekano wa kutoka ni Mdogo sana. Tofauti na makundi Yale mawili kule juu ambayo yapo kisiasa.
d) Wapiganaji wa Haki.
Kundi hili ni wale wakereketwa wa haki ambao wao wanatetea haki kwa mtu yeyote au kundi lolote.
Kundi hili halina interest yoyote na Makundi mengine hapo juu wao interest yao ni HAKI na Uzalendo ndani ya nchi.
Kundi hili uwezekano wa kutoka upo pia.
6. Mbinu zinazotarajiwa kutumika. Tutaanza na mbinu za waandamanaji ili wafanikiwe. Kisha tutakuja mbinu za Polisi kuzuia Waandamanaji.
7. Mbinu za Waandamanaji;
a) Kutembea barabani kuelekea mjini watu wawili wawili au mmoja mbele mwingine nyuma.
Mbinu hii kama hakutakuwa na lockdown itafanikiwa na itajibu mapema kama ilivyofanyika MO29.
b) Kusimama Pembeni ya barabara.
Mbinu hii ni nzuri kama hakutakuwa na lockdown. Lakini inategemea mbinu ya tatu hapo chini nitakayoieleza.
Kusimama barabarani kunaleta uhai kwamba watu wapo wanachohitaji ni hamasa. Mbinu hii ilitumika MO29.
c) Wageni kuchukua guest au nyumba za wageni.
Mbinu hii ilifanya kazi MO29. Waandamanaji hasa Wafuasi wa CHADema na Magufuli hawa kwao haya maandamano yanamaana kubwa na wako na maslahi makubwa kuliko makundi mengine.
Vijana wanatoka mtaa A labda quite Magomeni wanaenda Buguruni. Wanachukua chumba cha lodge eneo Hilo lakini lodge ya ndanindani kidogo na sio barabarani.
Kisha baada ya hapo mengine ni rahisi tuu.
Wanaenda barabarani wanasimama barabani wakiona wamejaa au wale wanaotembea kwa miguu wakipita wanaenda nao.
Mbinu hii ilifanikiwa kwa kiasi kikubwa.
Askari wanapokuja wanakimbia mtaani wao wanaingia ndani zaidi kulikokuwa na lodge waliyochukua. Wanatulia. Sio rahisi Askari kuja kwenye lodge. Na hata akija kwenye lodge bado muandamaji anakuwa na nafasi ya kuwa salama.
Hapo wakazi wa mtaa huo watajikuta kwenye hali ngumu pia wakishuhudia ugeni mkubwa wa vijana unknown.
Hata ukiwauliza vijana hao wananafasi ya kujitetea na hoja zao ziko wazi na zina mashiko. Watakuambia nilikuwa natoka point A kwenda B maandamano yakatokea njia hazipitiki ndio nimekwama hapa.
d) Kutumia Mtandao kuhamasisha wengine.
Hii ipo wazi. Lengo la kutumia maandamano ni kuwatia hamasa wale waliokuwa wanasita nao watoke.
e) Kutumia Bodaboda.
Bodaboda no usafiri wa kimedani kwenye shughuli za namna hizi. Chocho kwa chocho kusafirisha watu kutoka pointi A kwenda B.
f) Kuchoma Barabarani na kuweka Vizuizi.
Mbinu hii inapendwa na ikifanikiwa hurahisha waandamanaji na vyombo vya dola hupata KAZI ya ziada kufanya movements
Makosa pekee yatakayoamsha maandamano ni shughuli ziendelee kama zilivyo.
8. Mbinu za Askari zinazotarajiwa kutumika kuzuia maandamano;
a) Kuzuia makundi ya watu kutembea au kusimama barabarani.
b) kuufanya mtandao kuwa mzito au kuuzima kabisa.
c) Kupiga lockdown kama kutakuwa na viashiria vya maandamano makubwa au kukosa udhibiti.
d) Kutumia Mabomu ya machozi, maji washa kutawanya waandamanaji au watu wanaoshangaa shangaa barabarani hata kama sio waandamaji.
e) Kuweka Askari kanzu kwenye maeneo korofi. Askari hao watajifanya wenyewe no wakali na wanachochea maandamano yaani kuwa sehemu ya waandamaji kumbe ni kanyaboya.
f) kukagua vitambulisho kwa waendesha bodaboda
g) kupiga risasi za Moto maeneo korofi kama sehemu ya kutoa onyo na kutoa mfano mmoja au watu kadhaa.
h) kutumia Darubini tokea mbali kuona sura halisi za waandamaji wenye msimamo mkali au wenye kuleta vurugu kama kuchoma Moto, kuzuia barabara, kurusha mawe. Hivyo unaweza ukawa upo kituo cha Shekilango Polisi wakawa Big Brother wakawa wanaona kupitia Darubini. Wakakukariri. Wakija shekilango wakati mnakimbiakimbia wao target yao ni wewe. Wanaweza kukariri nguo hasa ya juu ndio rahisi kwenye mambo ya kimedani.
9. Taikon Vipi kama Waandamanaji wakiwa nao wanasilaha za moto?
a) Kwa kweli siombei lakini ikitokea hivyo Hali itakuwa mbaya Sana.
b) kwa sababu raia watakuwa wahanga kwa sehemu kubwa hasa waliobaki majumbani.
c) Askari nao watakuwa kwenye Hali ngumu kwani watakuwa wanapigana na ghost. Na hii itachochea mauaji zaidi mitaani kwani muandamaji mwenye silaha hatothubutu kutumia silaha yake mtaani kwake bali ataitumia mitaa ya wenzake Jambo ambalo Askari wakidhurika eneo hilo wakazi wake watajikuta kwenye shida kubwa wakti muandamaji mwenye silaha alishaondoka.
Hivyo siombei hilo. Na ni muhimu vyombo vya Dola viwe tayari vinajua chakufanya ikitokea hali kama hiyo ili wasidhurike wasiohusika.
d) Waandamanaji pia wanaweza kutumia silaha kufanya uhalifu ili mwisho wa Siku serikali ichafuke.
10. Je tutarajie chochote kuhusu maandamano kutokea?
a) Kwa intelejensia yangu ndogo kama hakutakuwa na lockdown ni wazi wahusika wa makundi mawili kule juu lazima watatoka.
b) Ni muhimu Siku zilizobakia Madhehebu ya dini hasa Katoliki kutoa tamko kuwasihi watu wasiandamane ili kupunguza nguvu au kukatisha tamaa waandamanaji.
C) Kukaa kimya kwa waumini wengine wataelewa kwamba viongoi wao wa Dini wapo upande wa maandamano.
d) viongozi wa chadema wao najua hawawezi kutoa tamko watu wasiandamane na hiyo ni tafsiri kuwa wafuasi wa Chadema wataandamana.
11. Mimi kama mchambuzi binafsi lazima nichukue ripoti. Najua lolote laweza kutokea.
Kufikia hapo sina la ziada.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam.
yes ni kawaida, mfano wakati nyerere aliivamia uganda alitumia wapinzani wakina m7 na wenzake obote, maisha ndo yako ivo! kwa macho unaweza kuona wananchi wanagombania haki lakini wananchi wengi ni wajinga so watafuata trela