Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Anafanya Yale anayoona yanafaida kwake.Asasi mwenyewe amekubali biashara yake iwe sehemu ya siasa kuanzia siasa za Iringa hadi za nchi nzima. Labda amejiandaa baada ya huyu anayemtumia akiondoka itakuwaje kwa biashara zake. Makosa makubwa sana kuhusisha biashara na siasa ya moja kwa moja.
Unahitaji kuelimishwa au?We ulitaka aseme sh ngapi kwa mfano ...
Kwa kuwa serikali inaendeshwa na CDM, Siyo?Chadem na nyie tupostien maendeleo yenu basi au nyie sio waendelezaji
Mengine watajibu wenzangu. Naomba nijikite kwenye kauli ya Dr. Abbas kuhusu ASAS, kwani kakosea wapi?Jana mtu wa CCM anayejiita mchungaji wa Mungu, Masanja Mkandamizaji aliweka picha za mradi wa umeme wa maji huko Lesotho na kuuita wa Stiglers Gorge.
View attachment 1530629
Hiyo ndiyo picha ya Masanja ya jana.
Sasa leo msemaji mkuu wa serikali ameisifia serikali ya awamu ya tano kwa upanuzi wa kiwanda cha ASAS Dairies huku akiita kama juhudi za serikali ya awamu ya tano katika kuongeza ajira na unywaji wa maziwa nchini. Hiki ni kiwanda cha mtu binafsi na serikali haihusiki nacho kwa namna yoyote ile zaidi ya muwekezaji huyo kulipa kodi pale anapouza na kuagiza bidhaa. Kazi kweli kweli!
View attachment 1530634
Kwa siku za hivi karibuni msemaji mkuu wa serikali amekuwa akitoa takwimu za upotoshaji mkubwa hasa baada pia ya jana kuhutubia vyombo vya habari na kusema kuwa kutoka mwaka 2015 hadi mwaka 2020 pato la Tanzania limefikia shilingi za kitanzania TRILIONI 122.5! Sijui kwanini anajiita "Dokta" Hassan Abbas. Haelewi hata maana ya "TRILIONI"
Kutajiwa kiasi sahihi ...Unahitaji kuelimishwa au?
Ana hoja gani huyo wa ukoo wa kuvaibreti?Jibu hoja
Jana mtu wa CCM anayejiita mchungaji wa Mungu, Masanja Mkandamizaji aliweka picha za mradi wa umeme wa maji huko Lesotho na kuuita wa Stiglers Gorge.
View attachment 1530629
Hiyo ndiyo picha ya Masanja ya jana.
Sasa leo msemaji mkuu wa serikali ameisifia serikali ya awamu ya tano kwa upanuzi wa kiwanda cha ASAS Dairies huku akiita kama juhudi za serikali ya awamu ya tano katika kuongeza ajira na unywaji wa maziwa nchini. Hiki ni kiwanda cha mtu binafsi na serikali haihusiki nacho kwa namna yoyote ile zaidi ya muwekezaji huyo kulipa kodi pale anapouza na kuagiza bidhaa. Kazi kweli kweli!
View attachment 1530634
Kwa siku za hivi karibuni msemaji mkuu wa serikali amekuwa akitoa takwimu za upotoshaji mkubwa hasa baada pia ya jana kuhutubia vyombo vya habari na kusema kuwa kutoka mwaka 2015 hadi mwaka 2020 pato la Tanzania limefikia shilingi za kitanzania TRILIONI 122.5! Sijui kwanini anajiita "Dokta" Hassan Abbas. Haelewi hata maana ya "TRILIONI"
Uhaba wa mafanikio unawatesa.
Mwigulu Nchemba aliwahi kupost picha za Reli za Kenya na kudai ni za Tanzania.... Kuna thread nilianzisha kumkanusha
Hiyo Ni serikali ya wanyonge acha wanyonge wanyongwe.
Kwa kiasi flani Kama viongozi wa juu wa serikali wamepanic nashindwa kuwaelewa wanahofu nini.
Walikua na Imani kubwa ya ushindi Ila Saiz naona imepungua.
Shida ni moja kwa Abbas, yeye sio mtaalamu na wala hana uelewa wowote na mambo ya uchumi, halafu anajibu maswali ya kiuchumi kichwa kichwa.
Yaani Abbas ameonyesha ni mweupe kichwani sijawahi kuona.
Nikajua na ASAS nao wako Lesotho! Pumbafu kwel wwJana mtu wa CCM anayejiita mchungaji wa Mungu, Masanja Mkandamizaji aliweka picha za mradi wa umeme wa maji huko Lesotho na kuuita wa Stiglers Gorge.
View attachment 1530629
Hiyo ndiyo picha ya Masanja ya jana.
Sasa leo msemaji mkuu wa serikali ameisifia serikali ya awamu ya tano kwa upanuzi wa kiwanda cha ASAS Dairies huku akiita kama juhudi za serikali ya awamu ya tano katika kuongeza ajira na unywaji wa maziwa nchini. Hiki ni kiwanda cha mtu binafsi na serikali haihusiki nacho kwa namna yoyote ile zaidi ya muwekezaji huyo kulipa kodi pale anapouza na kuagiza bidhaa. Kazi kweli kweli!
View attachment 1530634
Kwa siku za hivi karibuni msemaji mkuu wa serikali amekuwa akitoa takwimu za upotoshaji mkubwa hasa baada pia ya jana kuhutubia vyombo vya habari na kusema kuwa kutoka mwaka 2015 hadi mwaka 2020 pato la Tanzania limefikia shilingi za kitanzania TRILIONI 122.5! Sijui kwanini anajiita "Dokta" Hassan Abbas. Haelewi hata maana ya "TRILIONI"
Ni kiwewe cha kushindwa..
Watulie dawa ya Lissu iwaingie vizuuri
Asasi mwenyewe amekubali biashara yake iwe sehemu ya siasa kuanzia siasa za Iringa hadi za nchi nzima. Labda amejiandaa baada ya huyu anayemtumia akiondoka itakuwaje kwa biashara zake. Makosa makubwa sana kuhusisha biashara na siasa ya moja kwa moja.
Naye anaunga mkono juhudi au CCM Mpya wamemshinikiza akubaliane wafanye kama waliyomfanyia Dillo na StarTV post 2015?Hakika hawa jamaa hawashindwi na jambo lolote(Refer wakulima wa korosho) wanasemekana wamesaidiwa ununuzi wa korosho zao kwa shangazi zao kupigwa.Asasi mwenyewe amekubali biashara yake iwe sehemu ya siasa kuanzia siasa za Iringa hadi za nchi nzima. Labda amejiandaa baada ya huyu anayemtumia akiondoka itakuwaje kwa biashara zake. Makosa makubwa sana kuhusisha biashara na siasa ya moja kwa moja.
Masanja anajiita Mchungaji na kanisani kwake mnaenda kuungama eeeh.