Elections 2015 Baada ya Masheikh wa Bagamoyo, Wachungaji wamzamia Edward Lowassa kumuomba kugombea Urais

YESU ndiye mchungaji MWEMA yeyote amfuataye hatapotea kamwe.

Kama wewe unawafuata watu na sio NENO la MUNGU hata huko gizani napo kuna uongozi unaoratibiwa na wanadamu kama walio kwenye makanisa.
 
Hivi John Okello wewe ni nani kwa EL?? Samahani ningependa kujua tu mkuu...wala sina nia mbaya kuuliza
Kama na wewe mna umoja wenu m-pm mtumiwe nauli na hela ya chakula na malazi, pia hela mtakayompa ili akachukulie form.
 
Kwakuwa hofu ya Wasiompenda lowasa ipo katika kuibuliwa kilichojili katika Richmond na kunyang'anywa kwa mali za watoto wao zilizopatikana kwa hila, njama ufisadi na ulaghai basi Wacha Lowasa aje muumbuane!
 
Wanaomuunga mkono Lowasa wanaonesha hili kwa vitenda kwa kuandamana kwenda nyumbani kwake hadharani. Hivi wale wasiomkubali Lowasa nao si waandamane kwenda nyumbani kwake kumpinga hadharani wasikike?
 

Acha wivu, we nani kakuambia anaratibu watu? Wivu mwingine hauna maana.
 
Njaa hii itawamaliza. Serikali itunge sheria ya kuanzisha bodi ya wachungaji itakayofanya kazi ya kusajili wachungaji ili kama ni feki wafutwe. Hii itasaidia kuthibiti wachungaji uchwara kama ilivyo bodi ya makandarasi. Tuendako sasa ni kubaya. Kila mwenye kijikanisa uchochoroni atasema ameoteshwa na Mungu juu ya Lowassa kuwa rais
 
Ni huyu msemaji wa Wachungaji wa Pentekosti walioenda dodoma nyumbani kwa el kumrecharge aongeze nguvu za kugombea urais.

Kulikuwa na sababu gani yeye kama kiongozi wa dini kusema mh huyu ni waziri mkuu mstaafu badala ya waziri mkuu mjiuzulu (pm emaritus).?

Kachangiwa sadaka kutoka madhabahuni kwa Bwana aende kusema uongo? Bwana Yesu alishatuasa katika maandiko matakatifu Wachungaji wa mishahara na manabii wa uongo tuwe macho kipindi hiki.
 
Rumors are carried by haters, spread by fools, and accepted by ------.' Good morning Lowasa's ------ haters
 
utendaji wa serikali yetu umekuwa ni maigizo kwa miaka 10, sasa ndo tuje kushangaa maigizo wakati wa kampeni?
Huyo makamba naye upeo wake ni wa kuboreshwa.
 
Rumors are carried by haters, spread by fools, and accepted by ------.' Good morning Lowasa's ------ haters

Mungu aliwapenda akawaumba tofauti na hayawani lakini mmejivua ufahamu na kujivika uhayawani. Kusema mchugaji, kasema uongo hadharani na anapaswa kwenda kutubu ni kuwa na chuki na mtu?
 
Lowasa anafanya propaganda za kitoto. zaidi anawadhalilisha hao wanaojiita wapentekoste na mashehe uchwara.
 
January makamba aache kubwabwaja, huu uhuni unaofanywa na Lowassa ndiyo uliofanywa na Kikwete, ukiratibiwa na January Makamba mwenyewe. Anatia kichefuchefu anapokaa chini na kuiponda mbinu inayotumiwa na mwenzake, huku akijua kwamba alifanya hivyo pia kumpitisha Kikwete.
 
Hivi wafuasi wa Lowassa. JETA wa Monduli Hata kama wanalipwa watakuwa na akili timamu kweli? Sidhani
 
Ndo umeamdika nini sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…