Elections 2015 Baada ya Masheikh wa Bagamoyo, Wachungaji wamzamia Edward Lowassa kumuomba kugombea Urais

Elections 2015 Baada ya Masheikh wa Bagamoyo, Wachungaji wamzamia Edward Lowassa kumuomba kugombea Urais

Wee... !!!Weee...!!!!Weee!!!!hayo yatakuwa ni maandamano tofauti kabisa na ya masheikh,wana UDOM nk.Si ajabu ukasikia Champion wa kuzuia maandamano kahamia DOM kikazi kwa muda.Wanajamii musijaribu atawaumiza na hivyo vi simu vyenu.
 
Yaani Lowassa bado anatumia mbinu za kizamani zilizomuingiza Kikwete Madarakani
 
hivi uchaguzi unakaribia akili za watanzania walio wengi zinahamia matumboni au??
 
Mchezo mchafu unaochezwa watu wenye akili zetu tunaujua fika kabisaa ..
Kinachofanyika apo nikumtafutia promo Lowasa ila nakusibitishia Slaa Raisi wangu atamkalisha tu uyu fisadi na izo pesa zake anazogawa ili aweze kufanyiwa promo ya uraisi..
 
Fafanueni, mimi nimeelewa hao ni wachungaji wa ng'ombe yaani wafugaji, nani anabisha!!!
 
Hivi kweli tumefikia hatua hii kama Taifa.......mpk viongozi wetu wa dini nao wameingia kwenye huo mkumbo?
MUNGU ATUSAIDIE.

Kwaiyo unaamini kinachofanyika apo nichakweli....!!??
Shtuka..
Pesa inaongea apo ..
Maigizo matupu ili wapate attention kama yako ili.wakubadilishe akili...
Ila mwaka huu mbona watafurai..
 
Ni wachungaji wa makanisa yapi hao wanaoganga njaa? Maaskofu, mapadre na wachungaji wa makanisa yenye mfumo wa uongozi unaoeleweka na wasio na tamaa ya fedha hawawezi kuingia ktk mchezo wa kuigiza.
Hawa ni viongozi wa dhehebu moja dogo linaloongozwa na ndugu mmoja aitwaye GWAJIMA wa 'kanisa' la ufufuo na uzima. Ni yule anayetukana wakubwa wake hovyohovyo. Alimtukana CAG Prof Assad na hivi karibuni kamtukana Cardinal Polycarp Pengo. Haiwezekani akusanye wachungaji wote wa dhehebu lake wafike Dodoma kwa pamoja wakiwa na mabango. Ninahisi atakuwa na makubaliano fulani na Team EL. Hili zoezi la kwenda kwao Dodoma halina baraka za TEC, CCT, Pentecost Council, wala baraka za makanisa ya kisabato.
Kitendo chao kinatia aibu kwa kanisa la kristu.
 
Tatizo NYOTA yani nyota ya lowasa ina n'gaa kama nyota ya diamond platnumz wewe september ukipewa hii nchi utaipeleka wapi kwanza huna uwezo kifedha na wala bado haujakuwa na mvuto kisiasa....jipange kijana muda wako sio huu. LOWASA twenzetu
 
Mulungulu wa Lowassa umefanya kazi mpaka kwa watumishi wa Bwana.

Halafu haohao utasikia wanamsingizia Mungu kuwa Lowassa ni chaguo la Mungu wakati ni chaguo lao wenyewe kutokana na njaa zao wenyewe.
 
Wachungaji wameuza uchungaji wao kama vile Yuda alivyomsaliti Yesu kwa vipande thelathini vya fedha.

Halafu hawahawa utawakuta wakimwomba Mungu awachagulie rais wakati wameshamchagua tayari kwa kupewa vipande vya fedha.
 
Yaleyale ya Kikwete ni chaguo la Mungu...

Sasa ngoja huyo bwana aingie madarakani awanyooshe maamuma ninyi...

Nyambaffff....
 
Pwahahhahha.....Hatimae wachungaji wa pentekoste kutoka wilaya zote tanzania waenda nyumbani kwa Lowassa dodoma kumshawishi achukue fomu ya urais
Wamesema mungu kawaonyesha na wanamwamini ni kiongozi bora
Acha EL andelee na Sinema!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom