Hivi kweli tumefikia hatua hii kama Taifa.......mpk viongozi wetu wa dini nao wameingia kwenye huo mkumbo?
MUNGU ATUSAIDIE.
Njaa yao tu. Mimi nadhani umefika wakati tunatakiwa kuwa na mashaka na hekima zao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kweli tumefikia hatua hii kama Taifa.......mpk viongozi wetu wa dini nao wameingia kwenye huo mkumbo?
MUNGU ATUSAIDIE.
Nani kakudanganya?
Pesa za ufisadi zinafanya kazi. Waache waigize tu. Rais wa Tanzania hapatikani kwa njia za maigizo
Hawa wachungaji toka kona zote za nchi ni lini walikutana wakaafikiana kuwa mgombea anayefaa ni huyo! Hii ni zaidi ya usanii, ni hatari sana. Vyombo vya usalama viamke.
Wakati wasanii wa CCM wakiwa busy na maigizo ya kilaghai mi nadhani ukawa na opposition kwa ujumla wajiweke thaniti hata kwa udhaufu huu wa maigizo ya CCM wakikosa nafasi hii basiLabda nikuulize mheshimiwa makamba! makundi hayo yooote yangeandamana kukusihi wewe uchukue form ya kugombea urais 2015 ungetoa hilo tamko!!???
![]()
Duh kweli nimeamini njaa mbaya nilidhani hii kitu ipo kwa masheikh kumbe mpaka wachungaji pepo la njaa limewavaa.
![]()
Najisikia aibu kuitwa mkristo kama viongozi wenyewe ndio hawa ?.
We umelewa gongo sasa kwani kuwa organised ni kosa inshu ni utashi kama watu wanakwenda hija kwa Mungu wanakua organised sembuse kwa ngoyai chupi zitawabana mwaka huuLOOK AT THIS DRAMA, MASHEIKH, WANACHUO, WACHUNGAJI.... HOW WAMAWEZA JI ORGANIZE KABLA HAWAJAWA ORGANIZED? WANAJUAJE RATIBA YA low_wa sIR, KWAMBAA ATAKUWEPO THESE DAYS? NAONA DALILI ZA WATU KUPUNGUZA IMANI KWA MAKUNDI YOTE YANAYOTUMIKA KUFANYA MICHEZO HII... KWA IMANI YANGU MUNGU HATA KAA KIMYA JUU YA HAWA LAZIMA AISHUSHE GHADHABU YAKE.. KWA UBATILI WANAOUFANYA KWA UOVU WA UFISADI NA KUCHIKIZA... HAKIKA MUNGU ANAWACHUNGULIA TOKA MBINGUNI, KWA KUWA HAKUNA MMOJA KATI YAO MWENYE MAARIFA ATAWAPITILIZA WAO NA VIZAZI VYAO, HUWEZI KUIGIZA KWENYE MAMBO AMBAYO NI SERIOUS