Wapo nyumbani kwa Lowasa wakimshawishi achukue fomu ya kugombea urais wa JMT..
View attachment 237151
Sasa sijui upepo wa huyu jamaa mtauzuiaje..
Point of correction: Ni viongozi wa dini toka sehemu mbalimbali hapa Tanzania..
cc: Moderator
Swali nani aliwakusanya mpaka wafike dodoma siku moja?
Last edited by a moderator: