Elections 2015 Baada ya Masheikh wa Bagamoyo, Wachungaji wamzamia Edward Lowassa kumuomba kugombea Urais

Hawa wachungaji toka kona zote za nchi ni lini walikutana wakaafikiana kuwa mgombea anayefaa ni huyo! Hii ni zaidi ya usanii, ni hatari sana. Vyombo vya usalama viamke.
 
Malata sio hicho tu kama na yeye anaweza kuigiza basi aanze na kuweka MB 200 kwa kila mtanzania ili awe Kiongozi bora😂😂😂😂😂😆😆😆😆
 
"Leo katika hali isiyokuwa ya kawaida"......hii aina ya kuripoti habari kiboko
 
Kwamba msafara umekutana na Sita ikabidi ausubiri kwa muda, what a coincidence! Yale mashinikizo yake ya moyo leo hatopata usingizi.
 
Hayo maandamano yao yana baraka za polisi?
 
Hivi kweli tumefikia hatua hii kama Taifa.......mpk viongozi wetu wa dini nao wameingia kwenye huo mkumbo?
MUNGU ATUSAIDIE.

Tutajuaje kama ni viongozi wa dini kweli? Wanaweza kuwa waganga njaa tu, wamevaa mavazi ya kichungaji. Usanii mwingi siku hizi.
 
Dah,sasa ndo nimeamini kwa sasa hakuna wa kumzuia Luwasa pale Ccm,I was underestimating him
 
Ni hatari sana viongozi wa dini kujiingiza katika siasa ,hembu mwenye quote kutoka kwenye biblia na QUran takatifu wazilete hapa
 
teh teh movie inaendelea kumbe! wale walikuwa mashehe ubwabwa hawa sijui tuwaiteje!
 
Hawa wachungaji toka kona zote za nchi ni lini walikutana wakaafikiana kuwa mgombea anayefaa ni huyo! Hii ni zaidi ya usanii, ni hatari sana. Vyombo vya usalama viamke.

Kwani wakikutana mpk wakupe taarifa?
 
ccm wenyewe ndio mataahira,wacha awavuruge wanashindwa nini kumfukuzilia mbali kama zito,kwani lowassa ana nini ni hizo pesa?so ukiwa na pesa everythings possible? basi bakressa awe rais,wanacheka na nyani haya wacha tuone
 
Watanzania ni kama manyumbu tu,huyu mtu kashafanya dhambi nyingi hadi shetani CCM anamkataa,lakini leo viongozi wa dini uchwara wanamlilia.Very pathetic.
 
Usalama wa Taifa hawaujui ujinga huu?Viongizi wa kuukemea ujinga huu wako wapi?Taifa hili linaenda wapi?Halmshauri kuu ya CCM wanapaswa kutopitisha jina la mtu huyu.
 
Lowasa ndiye Rais, ndugu yangu. Kwa mtu mzima lazima uwe na macho ya kuuona mwisho kabla ya hata huo mwanzo hujauanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…