AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
Hawa wachungaji mbuzi ndiyo waliosema kikwete ni chaguo la Mungu, hawa akili zao hawatofautiani sana na Pengo sema mavazi tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa baadae ndo wanakuja kutusumbua waumin hali ikiwa mbaya ya kiuchumi ooh hamtoi sadaka kumbe tatzo wanalianzsha wao
Kabisa mkuu. Dini zimevamiwa na wasanii, hii hatari sana.Hawa wachungaji mbuzi ndiyo waliosema kikwete ni chaguo la Mungu, hawa akili zao hawatofautiani sana na Pengo sema mavazi tu.
Hivi kweli tumefikia hatua hii kama Taifa.......mpk viongozi wetu wa dini nao wameingia kwenye huo mkumbo?
MUNGU ATUSAIDIE.
Aya semeni sasa na wachungaji wanahongwa
Masaki
UMEKOSA BUSARA - Wacha watanzania wafanye wanayo yaona ni matumaini kwao�� Wewe kama nani kusema michezo ya kuigiza na una uhakika gani wa kufanya hivyo na kama ww unajua madhubuti siri hiyo ya watanzania kutoka sehemu mbalimbali kuwa wanaigiza basi tunaomba usiongee tu bila vielelezo vya msingi kuthibitisha kauli yako ya kuwapotosha watanzania.
Nilikuwa nikidhani upo vizuri kama kijana na unauwezo mkubwa wa kuchanganyua mambo kumbe bado una siasa kauli which is always detect that, Mr. Politician we don't do drama and listening into it ,but we need and we watch Actions that can run our TZ�� , let Mr. ENL awasikilize Watanzania na afuate nia yawatanzania, sio useme ni mchezo wa kuigiza , if u thnk so then Start your Movie now any am ready to buy each episode wth any currency ��, Thank you wisely am done.
y January Makamba Nafasi ya Urais ni nafasi ya hadhi na heshima kubwa. Unapoiomba hupaswi kufanya michezo ya kuigiza. Huu utaratibu wa kuratibu watu, kuwasafirisha, kuwapa posho na ubwabwa waje kukuomba kugombea ni michezo ya kuigiza ambayo ni aibu kubwa.
Kila mgombea ana uwezo wa kutengeneza WATU wa kumuomba kugombea lakini wengine hatufanyi hivi kwasababu tunaheshimu nafasi tunayoiomba na tunaamini kwamba haipaswi kutafutwa kwa ulaghai na maigizo.
Ni aibu sana kutumia shida na njaa za watu kisiasa. Ni aibu sana kukusanya vijana na wazee wa watu na kuwapangia viti na mahema na kuwapa pesa halafu pesa na kuwapiga picha. Ukiona mtu anatafuta nafasi ya uongozi kwa ujanja na ulaghai ujue atatawala kwa ujanja na ulaghai.
Viongozi wanaokubalika na watu hawangaiki kupanga Viti na mahema na kuwapiga picha watu wanaowakubali.
Mgombea anayehaha na kutumia pesa nyingi kuonyesha anakubalika ukweli ni kwamba hajiamini. Kama unakubalika huwezi kuratibu makundi na kuyalipa na kuwapiga picha na kuita waandishi wa habari waje kushuhudia. Hizo ni mbinu za mfa maji.
Naamini Chama changu hakitatishwa na nguvu za maigizo. Tunataka uongozi safi unaomuogopa mungu. Tunataka uongozi wenye uadilifu na fikra mpya za kuisogeza mbele Tanzania. Tunataka viongozi watakaomaliza shida za Watanzania sio wanaozitumia shida hizo kisiasa.
Hata Mzee Makamba, pamoja na umri wake wa miaka 75, leo akiwa na pesa za kumwaga anaweza kutengeneza makundi yakamuombe kugombea Urais.
Ifike mahali katika nchi yetu tuache hii michezo. Tukiendelea na mambo haya, tunatengeneza taifa linaloendeshwa kwa propaganda tu. Watu wanaotaka kuomba nafasi ya Urais wanapaswa kuwa na ujasiri na wanapaswa kujiamini na kusema wanataka nafasi hiyo na wana fikra gani mpya bila kutumia pesa kuonyesha kwamba wanagombea kwasababu wanahitajika na watu. Uongozi thabiti na shupavu hautokani na michezo ya kuigiza.
January Makamba
Hakuna namna nyingine ni Lowasa tu!! Hata wewe unalijua hilo sema maslahi ndio yanakufanya uwe mnafki hapa.Upepo wa nchi hii unakoelekea ni kubaya ,ikiwa masheikh na wachunga kondoo wa bwana wameingia katika mtego huu nani tena wa kumtumaini kukemea maovu? Nilidhani watu kama hawa wangekuwa neutral ili wawe waamuzi wa haki kwa yale yanayoendelea nchini. Lakini haya yote ni matokeao ya harambee zilizokuwa zikiendeshwa na Lowassa misikitini na makanisani, sasa ni zamu yao kulipa fadhila.
teh teh movie inaendelea kumbe! wale walikuwa mashehe ubwabwa hawa sijui tuwaiteje!
Hana maadili ni msanii tu urais hauombwi huyo ni muigizaji tu
y January Makamba Nafasi ya Urais ni nafasi ya hadhi na heshima kubwa. Unapoiomba hupaswi kufanya michezo ya kuigiza. Huu utaratibu wa kuratibu watu, kuwasafirisha, kuwapa posho na ubwabwa waje kukuomba kugombea ni michezo ya kuigiza ambayo ni aibu kubwa.
Kila mgombea ana uwezo wa kutengeneza WATU wa kumuomba kugombea lakini wengine hatufanyi hivi kwasababu tunaheshimu nafasi tunayoiomba na tunaamini kwamba haipaswi kutafutwa kwa ulaghai na maigizo.
Ni aibu sana kutumia shida na njaa za watu kisiasa. Ni aibu sana kukusanya vijana na wazee wa watu na kuwapangia viti na mahema na kuwapa pesa halafu pesa na kuwapiga picha. Ukiona mtu anatafuta nafasi ya uongozi kwa ujanja na ulaghai ujue atatawala kwa ujanja na ulaghai.
Viongozi wanaokubalika na watu hawangaiki kupanga Viti na mahema na kuwapiga picha watu wanaowakubali.
Mgombea anayehaha na kutumia pesa nyingi kuonyesha anakubalika ukweli ni kwamba hajiamini. Kama unakubalika huwezi kuratibu makundi na kuyalipa na kuwapiga picha na kuita waandishi wa habari waje kushuhudia. Hizo ni mbinu za mfa maji.
Naamini Chama changu hakitatishwa na nguvu za maigizo. Tunataka uongozi safi unaomuogopa mungu. Tunataka uongozi wenye uadilifu na fikra mpya za kuisogeza mbele Tanzania. Tunataka viongozi watakaomaliza shida za Watanzania sio wanaozitumia shida hizo kisiasa.
Hata Mzee Makamba, pamoja na umri wake wa miaka 75, leo akiwa na pesa za kumwaga anaweza kutengeneza makundi yakamuombe kugombea Urais.
Ifike mahali katika nchi yetu tuache hii michezo. Tukiendelea na mambo haya, tunatengeneza taifa linaloendeshwa kwa propaganda tu. Watu wanaotaka kuomba nafasi ya Urais wanapaswa kuwa na ujasiri na wanapaswa kujiamini na kusema wanataka nafasi hiyo na wana fikra gani mpya bila kutumia pesa kuonyesha kwamba wanagombea kwasababu wanahitajika na watu. Uongozi thabiti na shupavu hautokani na michezo ya kuigiza.
January Makamba
View attachment 237107
View attachment 237108
Leo katika Hali isiyo ya kawaida wachungaji wavamia Eneo la Area D ambapo ni Makazi ya viongozi mbali mbali wakimsaka Edward Lowassa. viongozi hao wa dini walikuwa na shauku kubwa na nyuso za furaha wakiimba nyimbo za matumaini Mapya na Edward lowassa.
Aidha misururu hio imesababisaha Ndugu Samwel Sita kusubiri kwa Muda kupisha viongozi hao kwenda kuiona nuru ya MATUMAINI. pia ilimuwia vigumu ndugu Fredric Sumaye kuwahi appointments yake na Spika wa Bunge kupisha msafara takatifu kwenda Jirani yake Edward Lowassa.
Mambo yanazidi kupamba moto kuelekea nuru ya matumaini kwa Watanzania ambao mara zote wamuonapo Edward Lowassa hupata faraja.
Wachungaji hao wametabiri na kuahidi kunena kwa vitendo, na mpaka sasa bado wanaendelea kujieleza ni nini wanacho muahidi bwana Edward Lowassa kama balozi wamuaminiye katika safari ya MATUMAINI,
Nitaendelea kukujuza.
MAAMUZI NA MATUMAINI MAPYA NA EDWARD LOWASSA 2015.