Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Fundi wa Ving'amuzi alienda kurekebisha dishi la Azam kwenye Nyumba ya Wasomali , Baada ya kufika kwenye nyumba ile alimkuta Binti wa mwenye nyumba akiwa mwenyewe .
Yule binti alikuwa na miaka 20 na yule fundi alivyomuona alitamani walau aonje yaliyomo kwahiyo baada ya kumaliza kazi alianza maneno ya kiuchokozi na Binti yule alielewa ni kipi Fundi alikuwa anataka .
Yule Binti alivyojua lengo la fundi alimwambia "Hebu nenda dukani hapo nje kanunue pipi kifua alafu uzilete hapa "
Fundi alitoka kama umeme hadi dukani si unajua pipi kifua zinasisimua eeh? "Leo ndio leo " alisema hivyo . Ailienda dukani akachukua pipi zile na kurudi ndani.
Fundi alikuja na mfuko mzima na alivyofika yule Binti mwenye umbo la kuvutia na akipita Barabarani lazima ugeuke alimwambia fundi " Naomba tafuna pipi 5"
Fundi akatafuna chapu na kumaliza baada ya hapo Binti yule akamuuliza "Umesikia radha gani" yule fundi akasema "Radha ni ileile" huku mkongojo ukiwa umetuna kwa hasira .
Yule Binti kiupole sana akamuuliza "Wewe si umeoa?" Yule fundi akajibu "Ndio lakini tufanye uliyonihaidi".
Yule Binti akajibu " Kaka ,Tembea na kila Mwanamke kwenye Dunia hii lakini huo mkongojo wako hauwezi kushiba , Utapewa Nandy,Zuchu ,Kajol ,Anjeline Jolie hata Georgina wa Cristiano lakini haitoshiba hiyo "
" Utaishi na maneno"Yule nilienjoy kiuno " lakini mwisho wa Zinaa ni magonjwa, Leo hii unasema umeoa lakini hata nikikupa basi burudani yako mwisho wa siku itakuwa ni kumwaga mbegu tu kama vile unavyomwaga kwa Mke wako " .
Jamaa kitu ililala na alichukua malipo yake na kuondoka
bila kupiga .