Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 3,106
- 8,101
Hamna kitu hapo. OverratedOverrated producer
Rose Muhando album ya kwanza, Twanga Pepeta, hadi Kijitonyama choir "Hakuna Mungu kama Wewe".. Hapo hujaigusa catalogue yake ya Bongo flava
Brother, jamaa ni smart na ana exposure.
Wewe naona ni Ali Kiba Fan ndio maana umeichukulia personal. Master Jay yawezekana kakosea mara nyingi but huwezi ondoa impact yake kwenye muziki wa Tanzania.. He is one of the best if not the best versatile producer ashawahi kanyaga bongo hii
Alikiba amechoka kudharauliwaAli kiba sio level za bien.
Harmonizer tu mtu wa vimelody na ujanja kampindua Ije kuwa bien anaeimbia tumboni?
Bro kiba bien humuwezi katu, we wabanie pua wabongo ila mziki ni zaidi ya kubana pua
Wanatia aibu😅wafundisheni kuandika hawa wasanii wenu
Acheni kuwaonea bure, ndizo level zao. Unadhani umaarufu ni pamoja na shule? Mswahili mpe mdomo tu, kuandika majanga.Wanatia aibu😅
Empty brainMuulize yeye sasa. Mie nimemuuliza huyo aliyeleta hii taarifa sababu ninawasiliana nae. Kama unaweza kuwasiliana na Kiba mtafute akupe majibu
Like your DaddyEmpty brain