Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Kiba povu limemtoka kweli kweli 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wafundisheni kuandika hawa wasanii wenuAlikiba akerwa na Master J baada ya kukerwa na kuchoshwa na tabia ya Master J kujifanya anafahamu sana muziki kwa kuwasengenya wasanii wa Tz
Alikiba alikereka na kauli ya Master J iliyoruka hewani kuwa Alikiba ana bana sana pua kama Wahindi kitendo ambacho kinaonesha watu kuwa Master J ni mtu mwenye dharau mwisho wake ni kushushiwa heshima na wasanii
Ikumbukwe kuwa Master J anaonekana ni mtu mwenye roho mbaya na chuki kwa wasanii kwasababu tangu tumfahamu amekuwa mtu wa kuwadharau vijana wenye kipaji cha kuimba BSS
View attachment 3255805
Inshort hana uking wowote.... kinachomuweka kwenye ramani ni kuwa compared na Diamond,MJ amekuwa kama activist wa muziki kwa hiyo huwa anapambania quality irudi hususani ya live performance. Kilichotokea Trace Music Awards kwa mtu yoyote mwenye akili atajua master jay alikuwa sahihi muda wote.
By the way ukitoa consitency, Ali Kiba ana impact gani kwenye bongo flava kama genre na kibiashara hadi aitwe King. Au na wewe mkuu umejaa kwenye strategy za kina Seven walivyomrudisha.
Yeye ya master J ana ushahidi au mihemko kama mtoto wa kike yupo period?Una ushahidi? Au story za vijiweni tu.
Muulize yeye sasa. Mie nimemuuliza huyo aliyeleta hii taarifa sababu ninawasiliana nae. Kama unaweza kuwasiliana na Kiba mtafute akupe majibuYeye ya master J ana ushahidi au mihemko kama mtoto wa kike yupo period?
Wasio na hekima ni Master Jay na mke wake P.DiddyAli Kiba hana hekima
Mkuu ukosahih, yaan mond kuna namna anajizuia. Ila kiba nikama ameuvaa uking na hicho kitu kinamfanya asivae uhusika wa mzigo wa mwiba yaani ustaa.Angekosolewa mtoto wa Tandale wala asingeangaika kujibu kabisa, kwasababu huwa ni sehemu ya maisha yake kimziki. Ila kwa kuwa kakosolewa mtu ambaye hapaswi kukosolewa, mfalme wa mziki wa bongo fleva, basi jamaa ameona Master J kamkosea heshima na kaamua amtukane kimtindo kabisa 🤣🤣🤣.
Mkuu nkweli kabsaa hata kama Mj angefungiwa kujihusisha na mziki lro hii, ila haiwez ondoa ukweli kuwa ni miongion mwa mafiga matatu (P Funk, MJ na Mika) yalioupika mziki wa bongo mpaka hapa ulipofika.Overrated producer
Rose Muhando album ya kwanza, Twanga Pepeta, hadi Kijitonyama choir "Hakuna Mungu kama Wewe".. Hapo hujaigusa catalogue yake ya Bongo flava
Brother, jamaa ni smart na ana exposure.
Wewe naona ni Ali Kiba Fan ndio maana umeichukulia personal. Master Jay yawezekana kakosea mara nyingi but huwezi ondoa impact yake kwenye muziki wa Tanzania.. He is one of the best if not the best versatile producer ashawahi kanyaga bongo hii
Mngese sana huyo jamaa.. alipoona game imemshinda akatokea dirishani. Saa hizi kazi mipasho tu na kuwadiss wanaume ambao hana mchango wowote kwenye game yaoMaster yale makopo yake alikuwa anayapiga naye anajiita producer🤣